Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

Peacock anaendesha mdg mtu
Iringa wa radio,mashamba makubwa yenye miti,investment kadhaa
Watoto aliwapa elimu
Kuna mmoja ni mtumishi wa umma +shule ipo
Smbdy D.M tunajuana vzr tu..
Ana biashara ya hotel S.A,Mozambique na miezi 2 nyuma alinambia kafungua restaurant yk iko jengo la tanzanite park Victoria,very humble guy
Ngoja tuishie hapa

Ova
Je Peackok ya sasa hivi ni sawa na ile ya 2020 kurudi nyuma?
 
Nampongeza kwa juhudi zake.

Lakini hivi wazee wa zamani na NBC bank kulikuwa na nini!!???

Hapa kuna siri nafanya uchunguzi ipo siku mtaona kitabu changu kuhusiana na ufisadi ulipoanzia mpaka hapa tulipo.
Uchunguzi wako usimruke Mzee Mengi-ni lazima awemo kwenye report yako,
Nje ya hapo utakuwa uchunguzi feki mkuu
 
Peacock anaendesha mdg mtu
Iringa wa radio,mashamba makubwa yenye miti,investment kadhaa
Watoto aliwapa elimu
Kuna mmoja ni mtumishi wa umma +shule ipo
Smbdy D.M tunajuana vzr tu..
Ana biashara ya hotel S.A,Mozambique na miezi 2 nyuma alinambia kafungua restaurant yk iko jengo la tanzanite park Victoria,very humble guy
Ngoja tuishie hapa

Ova
Radio Iringa iliuzwa, jengo la pale Rucu kesi haieleweki
 
Back
Top Bottom