Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

Je Peackok ya sasa hivi ni sawa na ile ya 2020 kurudi nyuma?
 
Nampongeza kwa juhudi zake.

Lakini hivi wazee wa zamani na NBC bank kulikuwa na nini!!???

Hapa kuna siri nafanya uchunguzi ipo siku mtaona kitabu changu kuhusiana na ufisadi ulipoanzia mpaka hapa tulipo.
Uchunguzi wako usimruke Mzee Mengi-ni lazima awemo kwenye report yako,
Nje ya hapo utakuwa uchunguzi feki mkuu
 
Radio Iringa iliuzwa, jengo la pale Rucu kesi haieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…