Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

Safi sana
 
Hii historia haijaandikwa hata kwenye introduction page ya MNH kuna haja ya kufanya hivyo...
 
Jina la kwanza Iliitwa sewahaji hospital kutoka na aliyejenga ndo jina lake.. Wakoloni walivyokuja wakabadili na kuitwa princess Magreth hospital.. Sasa hiyo muhimbili ilitokana na nin?
 
Hospital ya Sewa Haji ilikua karibu na Central Police na Traffic Police
 
Jina la kwanza Iliitwa sewahaji hospital kutoka na aliyejenga ndo jina lake.. Wakoloni walivyokuja wakabadili na kuitwa princess Magreth hospital.. Sasa hiyo muhimbili ilitokana na nin?

Muhimbili ni eneo hospitali ilipo sasa hivi ambapo majengo mengi yalijengwa kwa hisani ya dada wa Malkia Lizabeti aitwaye Magareti. Awali Sewa Hajj ambaye ni muajemi alijenga hospitali hapo opposite na station ya treni kabla haijahamishiwa eneo la Muhimbili. Hata wodi ya Sewa Hajj ya sasa ni jengo lililojengwa na mkoloni na likapewa heshima ya huyu bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…