Vipi mtu MDINI aombe kujengewa msikiti kijiji alikozaliwa?
Huko ni kuufungua rasmi. Ulishaanza kutumika kitambo kabla ya hapo. Unaonaje Mwalimu kumuomba Gadafi ajenge msikiti Butiama na jinsi alivyouchukia UISLAMU na WAISLAMU? Hili ndilo lilikuwa swali langu la wakati ule. Badala yake ukajibu fedha alizikalia, hakuzitafuna hadi Maria alipoona tetemeko!
Jamani hiyo "reportedly kwenye rangi nyekundu inaonyesha anayeandika makala hayo hana uhakika. Nimewaambieni nilikuwepo Butiama kwa mazishi ya Mwalimu. Nimeuona huo msikiti kwa macho yangu ninapoelekea Mwitongo. Jumba kubwa jeupe tena la aina ya kipekee Butiama, nikamwuuliza dreva na hilo jengo gani? Akaniambia ni msikiti uliojengwa kwa hela ambazo Mwalimu alimwomba Qaddafi. Hiyo ilikuwa safari yangu ya kwanza Butiama in more than 20. Iam an eye witness ninyi mnaniletea makala za reportedly. I was there I saw it with my naked eyes! Anyway, at the end of the day and after all arguments ni kwamba msikiti upo, ulijengwa kwa hela ambazo Mwalimu alifikisha kutoka Tripoli and that is that.Naona nyimbo imebadilika sasa, mwenzio aliokuwa anakutetea, kaona haya, aombe msamaha tu kwa kudanganya eti niliuona msikiti kabla ya Nyerere kufa.
Msingi ujengwe ujengwavyo fedha za Gaddafi alikuja kuzitowa Maria Nyerere, na hilo liliripotiwa katika magazeti ya Tanzania wenye kumbukumbu wanalielewa hilo. Usitake kubishana vitu ambavyo viko wazi. Tumesema hizi ni enzi za dot com, hakuna cha kuficha.
His widow, Mama Maria Waningo Nyerere, reportedly saw the project to completion after his death...
Source: Are saints concealed in the ranks of African Heads of State?
This is another lie. Kufunguliwa rasmi kwa msikiti hakuna maana kuwa haujatumiwa bado. Msikiti unaweza kutumika hata kabla ya kufunguliwa rasmi.Tena nataka ufahamu, Msikiti ulifunguliwa tarehe hiyo ili u concide na tarehe ya kifo cha Nyerere kabla haujakamilika (haujaisha) kujengwa sawasawa.
Ulikuwepo Butiama? Umewahi kufika Butiama? Mbona all of a sudden unakuwa an authority on matters Butiama?Msingi ulikuwepo na ulijengwa na waislamu wenyewe kipi kigumu hapo wakuu
Ulikuwepo Butiama? Umewahi kufika Butiama? Mbona all of a sudden unakuwa an authority on matters Butiama?
Hivi unawezaje kujenga msingi kama huna uhakika kuwa una fedha za kujenga nyumba? Inakuingia akilini?Ulikuwepo Butiama -Ndiyo
Wewe unapata wapi authority on matters from Butiama?
Tutakuamini vipi wakati wewe ni mnaazi tu wa kutetea dhulma...
Jamani hiyo "reportedly kwenye rangi nyekundu inaonyesha anayeandika makala hayo hana uhakika. Nimewaambieni nilikuwepo Butiama kwa mazishi ya Mwalimu. Nimeuona huo msikiti kwa macho yangu ninapoelekea Mwitongo. Jumba kubwa jeupe tena la aina ya kipekee Butiama, nikamwuuliza dreva na hilo jengo gani? Akaniambia ni msikiti uliojengwa kwa hela ambazo Mwalimu alimwomba Qaddafi. Hiyo ilikuwa safari yangu ya kwanza Butiama in more than 20. Iam an eye witness ninyi mnaniletea makala za reportedly. I was there I saw it with my naked eyes! Anyway, at the end of the day and after all arguments ni kwamba msikiti upo, ulijengwa kwa hela ambazo Mwalimu alifikisha kutoka Tripoli and that is that.
Hivi unawezaje kujenga msingi kama huna uhakika kuwa una fedha za kujenga nyumba? Inakuingia akilini?
Jamani hiyo "reportedly kwenye rangi nyekundu inaonyesha anayeandika makala hayo hana uhakika. Nimewaambieni nilikuwepo Butiama kwa mazishi ya Mwalimu. Nimeuona huo msikiti kwa macho yangu ninapoelekea Mwitongo. Jumba kubwa jeupe tena la aina ya kipekee Butiama, nikamwuuliza dreva na hilo jengo gani? Akaniambia ni msikiti uliojengwa kwa hela ambazo Mwalimu alimwomba Qaddafi. Hiyo ilikuwa safari yangu ya kwanza Butiama in more than 20. Iam an eye witness ninyi mnaniletea makala za reportedly. I was there I saw it with my naked eyes! Anyway, at the end of the day and after all arguments ni kwamba msikiti upo, ulijengwa kwa hela ambazo Mwalimu alifikisha kutoka Tripoli and that is that.
Hivi unawezaje kujenga msingi kama huna uhakika kuwa una fedha za kujenga nyumba? Inakuingia akilini?
kuna jamii kamwe hawawezi kuridhika,never...
sasa watu wa mtindo huu si wakusumbua kichwa....kama kuna mtu kaona ameonewa,au bibi yake ameonewa,atafute watu wake waanze revolt hata kesho asubuhi,then huyo atakayeshinda atawale hii nchi..si kuambiana watu wanaonewa kila siku hapa
This is another lie. Kufunguliwa rasmi kwa msikiti hakuna maana kuwa haujatumiwa bado. Msikiti unaweza kutumika hata kabla ya kufunguliwa rasmi.
yaani siku zote sisi waislam tunalalamika eti tunaonewa, sheeeeeeenz, twendeni shule tuache malalamiko kama watoto wadogo.
Sisi hufundishwa "sabr" au subira, wala si watu wa kukurupuka, tulipotoka huko hata kusema tulikuwa hatuwezi kwa vitisho, Masheikh wetu wote ambao ndio sauti zetu walipoanza waliswekwa ndani au walihamishwa nchi, hivi sasa, kama alivyosema Sheikh Mohamed Said, tupo Diamond Jubilee baada ya kuzunguka Tanzania nzima tukiyaelezea haya, taratibu ndio mwendo. Mwenda pole hajikwai.
Mohamed Said anasubiri leo mwaka wa 13, kama sikosei, kwa mwana historia aje kuandika kitabu kitachomkosoa, hajatokea.
Faiza bwana!! Mwalimu alifariki Oktoba 14 1999 hadi Oktoba 13 2000 ni mwaka mmoja kamili. Unadhani msikiti ulianza kujengwa baada ya mwalimu kufa na mwaka mmoja baadaye ukakamilika. Unafikiri leo hii Kikwete akienda marekani akaulizwa apewe zawadi atachagua ya kuwajengea waumini wa Kikiristo kijijini kwao Msoga Kanisa? Pardon Me!!Huo uongo uuseme wewe, tazama msikiti umefunguliwa lini:
The late Vice-President, Dr Omar Ali Juma, officially opened the mosque on October 13, 2000.
ff,
nakuhakikishia hatotokea.
Atokeee wapi na aandike nini?
Prof haroub kesha na nyerere kuhusu kutoa majibu ya kitabu changu na aliyomsisitizia ni nafasi yake katka kuanzisha tanu na chuki yake dhidi ya uislam na waislam.
Akamsisitizia kuwa hayo yaloandikwa na mohamed said yatachafua sifa yake ikiwa hayatajibiwa.
Prof. Haroub akamuomba ni lazima na yeye aandike maisha yake na aeleze upande wake.
Nyerere hakuweza.
Leo tupo hapa kuna watu wanajaribu kumjibia nyerere bila ya mafanikio.
Nimewapa changamoto walete kitabu chao na wao atoe mchango wa wazee wao katika kupigana na ukoloni.
Kilasara kaja na hoja kuwa kuna watu walipambana na ukoloni na kama kawaida akajaribu kuwadogosha wazee wangu.
Nimempa jibu "replay" ya hotuba ya nyerere mwaka 1957 katika bank holiday, mtaa wa mvita, dar es salaam aliyotoa katika taarab rasmi ya tanu.
Hajarejea.
Namsubiri insha allah.
Na bado nawasubiri wengine.
Simtukani mtu wala simtolei ukali mtu wala simtishi mtu.
Kama kuna mtu anahisi ana ujasiri wa kupambana na mimi katika historia hii ahlan wasaalan.
Mohamed