FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Vipi mtu MDINI aombe kujengewa msikiti kijiji alikozaliwa?
Kwani hata BAKWATA si alianzisha yeye? nadhani hujawahi kusikiliza kisa cha panya, cha kuuma na kupuliza?
Nyerere alikuwa na sifa hiyo ya kuuma na kupuliza na ndio iliyompelekea kuwageuka Waislaam, wakati wenzake wanamuona mwenzetu, yeye moyoni anasema ngojeni mtanijuwa mie nani.
