Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Vipi mtu MDINI aombe kujengewa msikiti kijiji alikozaliwa?

Kwani hata BAKWATA si alianzisha yeye? nadhani hujawahi kusikiliza kisa cha panya, cha kuuma na kupuliza?

Nyerere alikuwa na sifa hiyo ya kuuma na kupuliza na ndio iliyompelekea kuwageuka Waislaam, wakati wenzake wanamuona mwenzetu, yeye moyoni anasema ngojeni mtanijuwa mie nani.
 
Huko ni kuufungua rasmi. Ulishaanza kutumika kitambo kabla ya hapo. Unaonaje Mwalimu kumuomba Gadafi ajenge msikiti Butiama na jinsi alivyouchukia UISLAMU na WAISLAMU? Hili ndilo lilikuwa swali langu la wakati ule. Badala yake ukajibu fedha alizikalia, hakuzitafuna hadi Maria alipoona tetemeko!

Tena nataka ufahamu, Msikiti ulifunguliwa tarehe hiyo ili u concide na tarehe ya kifo cha Nyerere kabla haujakamilika (haujaisha) kujengwa sawasawa.
 
Naona nyimbo imebadilika sasa, mwenzio aliokuwa anakutetea, kaona haya, aombe msamaha tu kwa kudanganya eti niliuona msikiti kabla ya Nyerere kufa.

Msingi ujengwe ujengwavyo fedha za Gaddafi alikuja kuzitowa Maria Nyerere, na hilo liliripotiwa katika magazeti ya Tanzania wenye kumbukumbu wanalielewa hilo. Usitake kubishana vitu ambavyo viko wazi. Tumesema hizi ni enzi za dot com, hakuna cha kuficha.

His widow, Mama Maria Waningo Nyerere, reportedly saw the project to completion after his death...

Source: Are saints concealed in the ranks of African Heads of State?
Jamani hiyo "reportedly kwenye rangi nyekundu inaonyesha anayeandika makala hayo hana uhakika. Nimewaambieni nilikuwepo Butiama kwa mazishi ya Mwalimu. Nimeuona huo msikiti kwa macho yangu ninapoelekea Mwitongo. Jumba kubwa jeupe tena la aina ya kipekee Butiama, nikamwuuliza dreva na hilo jengo gani? Akaniambia ni msikiti uliojengwa kwa hela ambazo Mwalimu alimwomba Qaddafi. Hiyo ilikuwa safari yangu ya kwanza Butiama in more than 20. Iam an eye witness ninyi mnaniletea makala za reportedly. I was there I saw it with my naked eyes! Anyway, at the end of the day and after all arguments ni kwamba msikiti upo, ulijengwa kwa hela ambazo Mwalimu alifikisha kutoka Tripoli and that is that.
 
Tena nataka ufahamu, Msikiti ulifunguliwa tarehe hiyo ili u concide na tarehe ya kifo cha Nyerere kabla haujakamilika (haujaisha) kujengwa sawasawa.
This is another lie. Kufunguliwa rasmi kwa msikiti hakuna maana kuwa haujatumiwa bado. Msikiti unaweza kutumika hata kabla ya kufunguliwa rasmi.
 
kuna jamii kamwe hawawezi kuridhika,never...
sasa watu wa mtindo huu si wakusumbua kichwa....kama kuna mtu kaona ameonewa,au bibi yake ameonewa,atafute watu wake waanze revolt hata kesho asubuhi,then huyo atakayeshinda atawale hii nchi..si kuambiana watu wanaonewa kila siku hapa
 
Ulikuwepo Butiama? Umewahi kufika Butiama? Mbona all of a sudden unakuwa an authority on matters Butiama?

Ulikuwepo Butiama -Ndiyo

Wewe unapata wapi authority on matters from Butiama?

Tutakuamini vipi wakati wewe ni mnaazi tu wa kutetea dhulma...
 
Ulikuwepo Butiama -Ndiyo

Wewe unapata wapi authority on matters from Butiama?

Tutakuamini vipi wakati wewe ni mnaazi tu wa kutetea dhulma...
Hivi unawezaje kujenga msingi kama huna uhakika kuwa una fedha za kujenga nyumba? Inakuingia akilini?
 
Jamani hiyo "reportedly kwenye rangi nyekundu inaonyesha anayeandika makala hayo hana uhakika. Nimewaambieni nilikuwepo Butiama kwa mazishi ya Mwalimu. Nimeuona huo msikiti kwa macho yangu ninapoelekea Mwitongo. Jumba kubwa jeupe tena la aina ya kipekee Butiama, nikamwuuliza dreva na hilo jengo gani? Akaniambia ni msikiti uliojengwa kwa hela ambazo Mwalimu alimwomba Qaddafi. Hiyo ilikuwa safari yangu ya kwanza Butiama in more than 20. Iam an eye witness ninyi mnaniletea makala za reportedly. I was there I saw it with my naked eyes! Anyway, at the end of the day and after all arguments ni kwamba msikiti upo, ulijengwa kwa hela ambazo Mwalimu alifikisha kutoka Tripoli and that is that.

Aisee! what a joke!

Tumwamwini mtu moja unknown a.k.a jasusu at JF

tena alimuuliza dreva wake (dereva akamjibu) kweli nyinyi ni scholars
 
Hivi unawezaje kujenga msingi kama huna uhakika kuwa una fedha za kujenga nyumba? Inakuingia akilini?

Waislam wanajenga misikiti duniani bila uhakika wa fedha..unachotakiwa kufanya ni kuanza na kuomba dua

Misikiti ni ya Allah na Allah ni mtoa riziki you don't have to wait the who junk of money
 
Jamani hiyo "reportedly kwenye rangi nyekundu inaonyesha anayeandika makala hayo hana uhakika. Nimewaambieni nilikuwepo Butiama kwa mazishi ya Mwalimu. Nimeuona huo msikiti kwa macho yangu ninapoelekea Mwitongo. Jumba kubwa jeupe tena la aina ya kipekee Butiama, nikamwuuliza dreva na hilo jengo gani? Akaniambia ni msikiti uliojengwa kwa hela ambazo Mwalimu alimwomba Qaddafi. Hiyo ilikuwa safari yangu ya kwanza Butiama in more than 20. Iam an eye witness ninyi mnaniletea makala za reportedly. I was there I saw it with my naked eyes! Anyway, at the end of the day and after all arguments ni kwamba msikiti upo, ulijengwa kwa hela ambazo Mwalimu alifikisha kutoka Tripoli and that is that.

Hiyo labda umekosea ilikuwa baada ya 2000, tena nimeweka "references" sio hiyo moja tu. Halafu tukuamini wewe zaidi ya "references" zote hizo? mtu ujiitae jasusi hata jina humu ndani hauna? Unanchekesha!

Msikiti upo na hela za kujengea alipewa katika uhai wake lakini msikiti ulimaliziwa na Mama Maria Nyerere, tena nakumbuka kabisa gazeti lilimnukuu Mama Maria Nyerere akisema hayo baada ya kufa Nyerere. Kumbuka Nyerere aliomba fedha za ku "renovate? msikiti uliokuwepo, Gaddafi akamwambia sina pesa ya ku"renovate" na badala yaka akampa US$ 400,000 za kujenga msikiti mpya. Hii nayo nnayo reference. Tafadhali sana omba msamaha kwa kutaka kupotosha, mimi ulikataa maandishi yangu na mimi ndio nilioleta ushahidi wa maandishi ya "historical papers" za waandishi wengine (zaidi ya mmoja) kuwa Msikiti umejengwa baada ya kufa Nyerere. Wewe kama nani nikuamini?

Halafu ukiendelea ntakuita jina lako la ukweli ndio utajuwa kuwa FF ni kiboko yao.
 
yaani siku zote sisi waislam tunalalamika eti tunaonewa, sheeeeeeenz, twendeni shule tuache malalamiko kama watoto wadogo.
 
kuna jamii kamwe hawawezi kuridhika,never...
sasa watu wa mtindo huu si wakusumbua kichwa....kama kuna mtu kaona ameonewa,au bibi yake ameonewa,atafute watu wake waanze revolt hata kesho asubuhi,then huyo atakayeshinda atawale hii nchi..si kuambiana watu wanaonewa kila siku hapa

Sisi hufundishwa "sabr" au subira, wala si watu wa kukurupuka, tulipotoka huko hata kusema tulikuwa hatuwezi kwa vitisho, Masheikh wetu wote ambao ndio sauti zetu walipoanza waliswekwa ndani au walihamishwa nchi, hivi sasa, kama alivyosema Sheikh Mohamed Said, tupo Diamond Jubilee baada ya kuzunguka Tanzania nzima tukiyaelezea haya, taratibu ndio mwendo. Mwenda pole hajikwai.

Mohamed Said anasubiri leo mwaka wa 13, kama sikosei, kwa mwana historia aje kuandika kitabu kitachomkosoa, hajatokea.
 
This is another lie. Kufunguliwa rasmi kwa msikiti hakuna maana kuwa haujatumiwa bado. Msikiti unaweza kutumika hata kabla ya kufunguliwa rasmi.

Usitie maneno yako kinywani mwangu hakuna mahali nimesema hauwezi kutumika na hiyo ndi point yangu kuwa umefunguliwa kabla haujakamilika sawasawa nikimaanisha hilohilo unalotaka kuligeuza, kuwa msikiti umeanza kutumika kabla haujaisha. Upo hapo ulipo?

Tanzania yetu ni majengo mengi tuu yanaanza kutumika kabla hayajesha si msikiti tu, Hicho sio kitu cha ajabu.
 
Kwa leo nikiuangalia huu mnakasha nakumbuka haya maneno ya jana

quote_icon.png
By Mohamed Said

Ahsante ndugu yangu nadhani tunaelekea ukingoni mwa mnakasha.

Mohamed
 
yaani siku zote sisi waislam tunalalamika eti tunaonewa, sheeeeeeenz, twendeni shule tuache malalamiko kama watoto wadogo.

zumbemkuu,

Ingawa umetuita Waislam "washenzi" mimi napokea matusi yako na nitakujibu kwa kuwa nataka ujue kuwa kwa kusema hatupendi elimu hilo unatusingizia nakuwekea hapa juhudi zetu katika kutafuta elimu na uone jinsi mfumokristo ulivyohujumu juhudi hizo.

Baada ya kukuonyesha hayo utaamua wewe mwenyewe kama Waislam tu "washenzi" au umetuonea bure:
a. In 1968 the EAMWS was declaredby the government of Julius Nyerere himself a devout Catholic, as an 'unlawfulsociety' under the provision of section 6 (1) of the Societies Ordinance; andMufti Sheikh Hassan bin Ameir was expelled from the Mainland because he wasplanning to establish a Muslim University under the auspices of the EAMWS withthe assistance of Muslim countries. b. In 1980's when the Organisationof Islamic Conference (OIC) wanted to build a Muslim University in Tanzania thegovernment refused to issue permit and as a result the university was built inMbale, Uganda. c. In mid 1990s a Muslimorganisation - Darul Iman from Saudi Arabia wanted to build a technical secondaryschool at Coast Region in the mainland. The government was not supportive andthough land was acquired Darul Imanabandoned the project due to hostility shown to it by the government. d. In 1993 the government signedan agreement (Memorandum of Understanding) with the Tanzania EpiscopalConference (TEC) and the Christian Council of Tanzania (TCC). The agreementprovided that the government with the two Christian institutions would jointlyprovide education and other social services. The agreement rendered that itwould allocate a certain amount of funds each year to the Church to implementthe agreement. Muslims were notconsulted nor included in the agreement and their petition to the governmentwas ignored. In order for the agreement to be legally binding the governmentmade amendments to section 30 of the Education Act No. 25 of 1978.

Mohamed
 
Sisi hufundishwa "sabr" au subira, wala si watu wa kukurupuka, tulipotoka huko hata kusema tulikuwa hatuwezi kwa vitisho, Masheikh wetu wote ambao ndio sauti zetu walipoanza waliswekwa ndani au walihamishwa nchi, hivi sasa, kama alivyosema Sheikh Mohamed Said, tupo Diamond Jubilee baada ya kuzunguka Tanzania nzima tukiyaelezea haya, taratibu ndio mwendo. Mwenda pole hajikwai.

Mohamed Said anasubiri leo mwaka wa 13, kama sikosei, kwa mwana historia aje kuandika kitabu kitachomkosoa, hajatokea.

FF,

Nakuhakikishia hatotokea.

Atokeee wapi na aandike nini?

Prof Haroub kesha na Nyerere kuhusu kutoa majibu ya kitabu changu na aliyomsisitizia ni nafasi yake katka kuanzisha TANU na chuki yake dhidi ya Uislam na Waislam.

Akamsisitizia kuwa hayo yaloandikwa na Mohamed Said yatachafua sifa yake ikiwa hayatajibiwa.

Prof. Haroub akamuomba ni lazima na yeye aandike maisha yake na aeleze upande wake.

Nyerere hakuweza.

Leo tupo hapa kuna watu wanajaribu kumjibia Nyerere bila ya mafanikio.

Nimewapa changamoto walete kitabu chao na wao atoe mchango wa wazee wao katika kupigana na ukoloni.

KIlasara kaja na hoja kuwa kuna watu walipambana na ukoloni na kama kawaida akajaribu kuwadogosha wazee wangu.
NImempa jibu "replay" ya hotuba ya Nyerere mwaka 1957 katika Bank Holiday, Mtaa wa Mvita, Dar es Salaam aliyotoa katika taarab rasmi ya TANU.

Hajarejea.

Namsubiri Insha Allah.

Na bado nawasubiri wengine.
Simtukani mtu wala simtolei ukali mtu wala simtishi mtu.

Kama kuna mtu anahisi ana ujasiri wa kupambana na mimi katika historia hii ahlan wasaalan.

Mohamed
 
Huo uongo uuseme wewe, tazama msikiti umefunguliwa lini:

The late Vice-President, Dr Omar Ali Juma, officially opened the mosque on October 13, 2000.
Faiza bwana!! Mwalimu alifariki Oktoba 14 1999 hadi Oktoba 13 2000 ni mwaka mmoja kamili. Unadhani msikiti ulianza kujengwa baada ya mwalimu kufa na mwaka mmoja baadaye ukakamilika. Unafikiri leo hii Kikwete akienda marekani akaulizwa apewe zawadi atachagua ya kuwajengea waumini wa Kikiristo kijijini kwao Msoga Kanisa? Pardon Me!!

Msikiti wa Butiama ni kielelezo cha uungwana wa Mwalimu na ukumbuke kwamba Gaddaffi alikuwa ni 'adui" wa Mwalimu lakini mwisho wa siku Mwalimu anawaombea wananchi wake wa Butiama Msikiti. Hivi inaingia akilini kweli mtu aombe msikiti halafu agome kujenga msikiti!!?
 
ff,

nakuhakikishia hatotokea.

Atokeee wapi na aandike nini?

Prof haroub kesha na nyerere kuhusu kutoa majibu ya kitabu changu na aliyomsisitizia ni nafasi yake katka kuanzisha tanu na chuki yake dhidi ya uislam na waislam.

Akamsisitizia kuwa hayo yaloandikwa na mohamed said yatachafua sifa yake ikiwa hayatajibiwa.

Prof. Haroub akamuomba ni lazima na yeye aandike maisha yake na aeleze upande wake.

Nyerere hakuweza.

Leo tupo hapa kuna watu wanajaribu kumjibia nyerere bila ya mafanikio.

Nimewapa changamoto walete kitabu chao na wao atoe mchango wa wazee wao katika kupigana na ukoloni.

Kilasara kaja na hoja kuwa kuna watu walipambana na ukoloni na kama kawaida akajaribu kuwadogosha wazee wangu.
Nimempa jibu "replay" ya hotuba ya nyerere mwaka 1957 katika bank holiday, mtaa wa mvita, dar es salaam aliyotoa katika taarab rasmi ya tanu.

Hajarejea.

Namsubiri insha allah.

Na bado nawasubiri wengine.
Simtukani mtu wala simtolei ukali mtu wala simtishi mtu.

Kama kuna mtu anahisi ana ujasiri wa kupambana na mimi katika historia hii ahlan wasaalan.

Mohamed

kwani aliyejibu kitabu cha satanic verses yupo??
 
Back
Top Bottom