Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
In 1993 the government signedan agreement (Memorandum of Understanding) with the Tanzania EpiscopalConference (TEC) and the Christian Council of Tanzania (TCC). The agreementprovided that the government with the two Christian institutions would jointlyprovide education and other social services.
Faiza bwana!! Mwalimu alifariki Oktoba 14 1999 hadi Oktoba 13 2000 ni mwaka mmoja kamili. Unadhani msikiti ulianza kujengwa baada ya mwalimu kufa na mwaka mmoja baadaye ukakamilika. Unafikiri leo hii Kikwete akienda marekani akaulizwa apewe zawadi atachagua ya kuwajengea waumini wa Kikiristo kijijini kwao Msoga Kanisa? Pardon Me!!
Msikiti wa Butiama ni kielelezo cha uungwana wa Mwalimu na ukumbuke kwamba Gaddaffi alikuwa ni 'adui" wa Mwalimu lakini mwisho wa siku Mwalimu anawaombea wananchi wake wa Butiama Msikiti. Hivi inaingia akilini kweli mtu aombe msikiti halafu agome kujenga msikiti!!?
kwani aliyejibu kitabu cha satanic verses yupo??
MS,
Kikwete aliwauliza mashehe kushusu MoU ....nyinyi mlikuwa wapi? mliomba mkanyimwa? akasema kama mliomba mkanyimwa si mngepeleka malalamiko yenu kwenye vyombo vya sheria? Hivi badala ya kulalamika na nyinyi mngeandaa MoU yenu na serikali 1993 leo hii mngekuwa wapi?
kwani aliyejibu kitabu cha satanic verses yupo??
Kigarama bado anamsoma na kumsikiliza Al Marhum Sheikh Ahmed Deedat.
Sawa nimekusoma mkuu. Sifa moja ya uislam ni kuhurumiana lakini ndani ya uislam tu . Kwa katoliki kama Nyerere hakuna kuhurumiana.
Sweke34,
Sifa moja ya Uislam ni kuhurumiana nakuomba tumwache rais katika haya. Mimi nilileta hapa ukumbini "Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania Mainland" baada ya meneno hayo ya Mheshimiwa Rais.
JF waliiweka asubuhi maghrib wakaitoa.
Nadhani tumeelewana.
Mohamed
Kama hii inatosha mbona tena Rushdie anasakwa kama paka anavyosaka panya?"Audhu biLlahi minna Shaitwani Rajyim",
Nimechukua time kama nilivyoahidi na phew ! kuna mengi yamesemwa humu hadi kufikia kuchombeza kuwa Mag3 kakimbia mjadala ! Hili wazushi kama kawaida yao wamelirudia si mara moja, na haya ndiyo ninayoyaita porojo kama anayoyasimulia huyo anayejiita Mohamed Said. Mimi ni binadamu, naenda kibaruani, napumzika, nalala, naugua na ninasafiri - sikeshi hapa JF 24/7 kama FaizaFoxy, yeye yupo kibaruani na kwa mpango maalum, ambao hata hivyo sitasita kuwaambia ukweli, hautafanikiwa. Hautafanikiwa si hapa Tanzania ninayoijua fika toka kabla na baada ya uhuru kwani misingi aliyoijenga Mwalimu Nyerere ya upendo na amani bila kubaguana katu hawataweza kuivunja.
Ni porojo tu na kwa hakika zingeweza kupuuzwa kama tu hazikutolewa wakati huu. Hebu tuanze kwa kujiuliza kidogo tu, why now ? Wakati uongozi wote wa juu umeshikwa na Waislamu, kuna kikundi cha Waislaam wamepewa pasi kupita mikoani kupandikiza chuki miongoni mwa wananchi kwa kuchochea mifarakano ya kidini, why now ? Wakati viongozi wote wa juu wa serikali na chama tawala cha CCM ni Waislaam, kuna mchochezi kwa jina Mohamed Said amepewa pasi anaandika magazetini kuwa Baba wa Taifa kwa kuuchukia Uislaam, kwa makusudi aliwakandamiza Waislaam, why now ? Jibu lililo wazo kabisa hata kwa kipofu ni kwa sababu CCM inaelekea kupoteza imani miongoni mwa wananchi.
FaizaFoxy ni mfano halisi wa hali inayotubidi sisi sote wapenda amani wa nchi hii bila kujali dini wala kabila tupambane nayo bila kurudi nyuma. FaizaFoxy represents a symbol, an institution and a state sponsored legion which has all state resources at its disposal. FaizaFoxy hahitaji kulala, kula hata kwenda uani, anachohitaji ni kubadilisha umbo tu kidogo na naona sasa anatishia hata kuwaumbua kwa majina wachangiaji, mimi namwambia bring it on. Huu mpango waliokuwa nao hawa wachochezi umeanza zamani sana lakini kwa sababu ya taifa letu kujengwa katika misingi imara, kazi ya kuibomoa misingi hiyo imekuwa ngumu ila wamepata kaupenyo kadogo kwa kutumia Udini.
Mohamed Said represents a tool and a very convenient tool kwa sababu ni rahisi kuteka sehemu ya jamii kwa kutumia udini. Fikiria mtu anakubaliana na hoja kuwa serikali inayoongozwa na Waislaam inawadhulumu Waislaam hao hao kwa sababu inaongozwa kwa mfumoKristo ! Huu Mfumo Kristo unaowapa nafasi viongozi wote wa juu serikalini kuwa Waislaam kwa nia ya kuukandamiza Uislaam na kudhulumu Waislaam...!..kwa mtu asiye na upungufu wa akili, mambo mengine ni vigumu kuyaamini. Halafu "scholar" anayetoa madai haya eti sasa ameamua kuandika kitabu cha historia na rejea kuu ikiwa ni masimulizi ya wazee wake ambao kwa madai yao ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika, upuuzi mtupu.
Nilionya kuwa hatari ya uwongo ukiachwa unarudiwarudiwa sana bila kukemewa, unaweza kujenga hisia potofu katika jamii kulingana na uwezo binafsi kuupokea bila tafakari. Katika huu mjadala tunawashuhudia watu kama hao na utawatambua tu wanavyomeza hizi hadithi za Mohamed Said na FaizaFoxy kuhusu chuki za Mwalimu dhidi ya Uislaam. Fikirieni jamani dai hili la Mwalimu kumwomba Gadafi hela ya kujenga msikiti halafu kukalia hizo hela (alizifisadi) hadi kufa kwake ndio msikiti ujengwe. Fikirieni hili la Mohaned Said kuwa Chifu Mkwawa alikuwa Muislaam na ndio maana alipambana na Wajerumani halafu kuna watu kama mazezeta wanaitikia chorus, huu kama si utumwa ni nini ?
Lakini narudia tena kusema hawa watu tusiwapuuze, wanayo ajenda na hiyo ajenda yao itafanikiwa tu kama Watanzania katika umoja, mshikamano na upendo tulionao bila kujali dini wala kabila (asante Mwalimu), hatutaupiga vita. Tahadhari ni kuwa tukiwapa nafasi wakafanikiwa basi, sisi kama taifa tumekwisha, tunayoyashuhudia yakitokea kwa mfano Somalia na kwingineko tutakuwa tumeyafungulia mlango. Labda tuanze kwa kujiuliza swali moja zito, wakati hizi mbegu za chuki zikipandwa mchana kweupee, usalama wa taifa uko wapi, serikali iko wapi na CCM iko wapi na kwa nini wako kimya ! Jibu mnalo wana jamvi, ukiona vyaelea vyaundwa na sasa vyarembwa.
Adam angeweza kuwa Muislaam sawa lakini si lazima baba yake Sapi alikuwa Muislaaam na kama na yeye pia alikuwa Muislaam si lazima babu yake Chifu Mkwama alikuwa Muislaam, ndivyo tulivyoishi bila kubaguana katika familia. Mfano mzuri mwingine ni Paul Bomani alikuwa Mkristo lakini baba yake mzazi alikuwa Muislaam au Bob Makani Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema alikuwa Muislaam lakini ndudu zake wa kuzaliwa ni Wakristo. Tofauti na pwani huko bara mambo ni tofauti na ndiyo maana mimi nasema mtu wa pwani tena mzaliwa wa Gerezani asithubutu kudai anaandika historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika, hapana, anaandika simulizi za wazee wake wa Gerezani, period.
Haya tuendelee........................
hapo kwenye bold pole sana....! Kuna evidence ndogo tu nimemuomba anionyeshe akashindwa na kuanza kuleta mambo mengine.Acha uzushi na matisho kuwashambulia FF na Mohammed bure ...
Mohammed ameleta historia and facts based on documented evidence ..(undisputed)
Wewe ndiyo unayeleta vurugu kwa kuchonganisha watu ...wacha watu wasomi wataamua ukweli
Kaka nyerere kadhuluma taifa of course amelisaidia kanisa lako au hata wewe binafsi
He is hero to church and course to our nation..
Nimechukua time kama nilivyoahidi na phew ! kuna mengi yamesemwa humu hadi kufikia kuchombeza kuwa Mag3 kakimbia mjadala ! Hili wazushi kama kawaida yao wameliridua si mara moja, na haya ndiyo ninayoyaita porojo kama anayoyasimulia huyo anayejiita Mohamed Said. Mimi ni binadamu, naenda kibaruani, napumzika, nalala, naugua na ninasafiri - sikeshi hapa JF 24/7 kama FaizaFoxy, yeye yupo kibaruani na kwa mpango maalum, ambao hata hivyo sitasita kuwaambia ukweli, hautafanikiwa. Hautafanikiwa si hapa Tanzania ninayoijua fika toka kabla na baada ya uhuru kwani misingi aliyoijenga Mwalimu Nyerere ya upendo na amani bila kubaguana katu hawataweza kuivunja.
Ni porojo tu na kwa hakika zingeweza kupuuzwa kama tu hazikutolewa wakati huu. Hebu tuanze kwa kujiuliza kidogo tu, why now ? Wakati uongozi wote wa juu umeshikwa na Waislamu, kuna kikundi cha Waislaam wamepewa pasi kupita mikoani kupandikiza chuki miongoni mwa wananchi kwa kuchochea mifarakano ya kidini, why now ? Wakati viongozi wote wa juu wa serikali na chama tawala cha CCM ni Waislaam, kuna mchochezi kwa jina Mohamed Said amepewa pasi anaandika magazetini kuwa Baba wa Taifa kwa kuuchukia Uislaam, kwa makusudi aliwakandamiza Waislaam, why now ? Jibu lililo wazo kabisa hata kwa kipofu ni kwa sababu CCM inaelekea kupoteza imani miongoni mwa wananchi.
FaizaFoxy ni mfano halisi wa hali inayotubidi sisi sote wapenda amani wa nchi hii bila kujali dini wala kabila tupambane nayo bila kurudi nyuma. FaizaFoxy represents a symbol, an institution and a state sponsored legion which has all state resources at its disposal. FaizaFoxy hahitaji kulala, kula hata kwenda uani, anachohitaji ni kubadilisha umbo tu kidogo na naona sasa anatishia hata kuwaumbua kwa majina wachangiaji, mimi namwambia bring it on. Huu mpango waliokuwa nao hawa wachochezi umeanza zamani sana lakini kwa sababu ya taifa letu kujengwa katika misingi imara, kazi ya kuibomoa misingi hiyo imekuwa ngumu ila wamepata kaupenyo kadogo kwa kutumia Udini.
Mohamed Said represents a tool and a very convenient tool kwa sababu ni rahisi kuteka sehemu ya jamii kwa kutumia udini. Fikiria mtu anakubaliana na hoja kuwa serikali inayoongozwa na Waislaam inawadhulumu Waislaam hao hao kwa sababu inaongozwa kwa mfumoKristo ! Huu Mfumo Kristo unaowapa nafasi viongozi wote wa juu serikalini kuwa Waislaam kwa nia ya kuukandamiza Uislaam na kudhulumu Waislaam...!..kwa mtu asiye na upungufu wa akili, mambo mengine ni vigumu kuyaamini. Halafu "scholar" anayetoa madai haya eti sasa ameamua kuandika kitabu cha historia na rejea kuu ikiwa ni masimulizi ya wazee wake ambao kwa madai yao ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika, upuuzi mtupu.
Nilionya kuwa hatari ya uwongo ukiachwa unarudiwarudiwa sana bila kukemewa, unaweza kujenga hisia potofu katika jamii kulingana na uwezo binafsi kuupokea bila tafakari. Katika huu mjadala tunawashuhudia watu kama hao na utawatambua tu wanavyomeza hizi hadithi za Mohamed Said na FaizaFoxy kuhusu chuki za Mwalimu dhidi ya Uislaam. Fikirieni jamani dai hili la Mwalimu kumwomba Gadafi hela ya kujenga msikiti halafu kukalia hizo hela (alizifisadi) hadi kaufa kwake ndi msikiti ujengwe. Fikirieni hili la Mohaned Said kuwa Chifu Mkwawa alikuwa Muislaam na ndio maana alipambana na Wajerumani halafu kuna watu kama mazezeta wanaitikia chorus, huu kama si utumwa ni nini ?
Lakini narudia tena kusema hawa watu tusiwapuuze, wanayo ajenda na hiyo ajenda yao itafanikiwa tu kama Watanzania katika umoja, mshikamano na upendo tulionao bila kujali dini wala kabila (asante Mwalimu), hatutaupiga vita. Tahadhari ni kuwa tukiwapa nafasi wakafanikiwa basi, sisi kama taifa tumekwisha, tunayoyashuhudia yakitokea kwa mfano Somalia na kwingineko tutakuwa tumeyafungulia mlango. Labda tuanze kwa kujiuliza swali moja zito, wakati hizi mbegu za chuki zikipandwa mchana kweupee, usalama wa taifa uko wapi, serikali iko wapi na CCM iko wapi na kwa nini wako kimya ! Jibu mnalo wana jamvi, ukiona vyaelea vyaundwa na sasa vyarembwa.
Adam angeweza kuwa Muislaam sawa lakini si lazima baba yake Sapi alikuwa Muislaaam na kama na yeye pia alikuwa Muislaam si lazima babu yake Chifu Mkwama alikuwa Muislaam, ndivyo tulivyoishi bila kubaguana katika familia. Mfano mzuri mwingine ni Paul Bomani alikuwa Mkristo lakini baba yake mzazi alikuwa Muislaam au Bob Makani Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema alikuwa Muislaam lakini ndudu zake wa kuzaliwa ni Wakristo. Tofauti na pwani huko bara mambo ni tofauti na ndiyo maana mimi nasema mtu wa pwani tena mzaliwa wa Gerezani asithubutu kudai anaandika historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika, hapana, anaandika simulizi za wazee wake wa Gerezani, period.
Haya tuendelee........................
Kigarama anajiandaa kuzungumza na wazee wa kalenga ili kuthibitisha dini ya mkwawa.
Wewe bado tunakusubiri uthibitishe ni nani alifanya utafiti na kuandika kitabu kupinga kile cha satanic versies.
Mkuu Jasusi achana na huyu mpuuzi, tatizo ni kwamba watu wengi makini wamekuwa wakiyapuuzia haya makala yake ya kichochezi na hatari yake ni kuwa uwongo ukiachiwa nafasi ya kujirudia rudia mwisho wapo watakaoamini kuwa ni kweli vile. Mimi wakati naanza shule 1953, huyo Mohamed Said alikuwa hata hajazaliwa kama alivyokiri kwenye majibu yake hapo nyuma.
Kitu kinacho nishangaza hapa JF aidha kwa Waislaam au Wakristo au wasiokuwa na imani ya upande wowote, ni pale nilipobaini kuwa Mzee Mwanakijii ameipandikiza (ameibandika) aya ya Qur'an isivyo. Si Muislaam wala asiye Muislaam aliyeweza hata kufunguwa mdomo kusema au kushtuka.
Maswali mengi sana kuliko majibu. Huu ndio mshikamano wa Waislaam na wasio Waislaam hata pale tunapoona makosa? hata mmoja kati ya wachangiaji wa JF kusema n9i kweli Mzee Mwanakijiji, omba msamaha kwa makosa uliyoyafanya, kama anavyoshikiza FF. Badala yake kitu nilichokiona ni hata Mohamed Said kumsifu Mzee Mwanakijiji kuwa ni Heavy Weight. Haaa! Ma heavy weight hawana makosa hata wanapokosea? hii ndio JF au huu ndio usomi??
Sasa inanifanya niamini maneno ya Zomba (my cousin) ameni PM na kuniambia hakuna cha Mohamed Said wala Mwanakijiji wote hao ni system na wanawacheza shere.
Ahsate Zomba kwa kunitanabahisha hayo, sasa sitopoteza usingizi wangu.
Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako, na hata Uislaam unapoandikwa ndivyo sivyo hukuweza hata kutanabahi na japo kuuweka msimamo wako Kiislaam na wala kusema kweli hapo kuna kosa.
Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.
Naamini Waislaam mlichokipanda ndio mnachokivuna. Mmeshindwa hata kuitetea aya ya Qur'an ilivyobandikwa ndivyo sivyo, mtaweza kuutetea Uislaam. Mtabaki kutetea wazee wenu, alifanya hivi walikuwa hivi wakawa vile, na hao wazee wenu kwa unafik wao ndio wakawapa msemo na nguvu watu kama kina Nyerere. Kawawa na Songambelena Mustafa Nyang'anyi walitokea wapi? Uislaam tu hautoshi na vitendo na mshikamano wa Waislaam ndio unaoonesha Uislaam wa kweli.
Leo mmeshindwa kutetea aya ya Qur'an inayosimamisha Uislaam, mtaweza kuwateteta Umma wa Kiislam. Wanafik wakubwa.
Faiza unakosea kutuhukumu.
Kwanza fahamu katika uislamu kuna kila mtu na kazi yake na majukumu yake. Mie nazungumzia elimu ya mantiki na utafiti ndio elimu mmungu alionijaalia. Mwengine atazungumzia historia na jinsi alivyofahamu. Wewe faiza umejaaliwa kuifahamu Quran na kugundua makosa ya Mwanakijiji. Sasa ni vigumu mie nisiyeifahamu tafsiri ya quran kujua nani mkosa kwasababu sina elimu hiyo. Hivyo kabla hujawaita watu wanafiki basi kwanza waulize kwanini hawajasema kitu katika hilo.
Tusamehe sana ila nadhani umepotea hapa....
Wewe kama mtafiti ungekwenda kuitafiti hiyo aya na ungeuona ukweli, japo ungeunga mkono au ungekosoa. Wote ni wanafik. Hamna ithbati katika nyoyo zenu na mnakaa kazi kulumbana yasiyokuwa kwenye msingi wa Kiislaam. Msingi, muujiza, mshikamano wa Waislaam uko kwenye Qur'an. Kam hujuwi kuwa Qur'an imenukuliwa au imepachikwa ndivyo sivyo, huna cha kutetea ila tumbo na matakwa yako, na huo ni unafik.