Natoa ushauri kwa wanaouliza maswali, badala ya kuanza kuto hadithi ndeeeefu inayoweza kuandika kitabu au vitabu vingine, kwanini hamuulizi swali moja moja? Nna uhakika italeta raha zaidi. Mwanakijii, Nguruvi, Ogah, na wenzenu wote changamoto hiyo.
Ulizeni wali moja moja likishajibiwa tuendelee na lingine, Mohamed Said kasema ana mengi ya kueleza, tukienda kwa mpango huo tutaweza kujadili kwa mantiki. Na maswali atayokwepa kuuliza tutajuwa kwanini.
Tuanze.
Safi sana nakubaliana nawe. Pia mkumbushe Mohamed kuwa akiulizwa swali hakuna haja ya kujaza ukurasa mzima kwa nukuu za simulizi zake zisizo na uhusiano na swali. Asikimbie swali kwa kusahihisha nukta (...)Natoa ushauri kwa wanaouliza maswali, badala ya kuanza kutoa hadithi ndeeeefu inayoweza kuandika kitabu au vitabu vingine, kwanini hamuulizi swali moja moja? Nna uhakika italeta raha zaidi. Mwanakijii, Nguruvi, Ogah, na wenzenu wote changamoto hiyo.
Ulizeni swali moja moja likishajibiwa tuendelee na lingine, Mohamed Said kasema ana mengi ya kueleza, tukienda kwa mpango huo tutaweza kujadili kwa mantiki. Na maswali atayokwepa kuuliza tutajuwa kwanini.
Tuanze.
Safi sana nakubaliana nawe. Pia mkumbushe Mohamed kuwa akiulizwa swali hakuna haja ya kujaza ukurasa mzima kwa nukuu za simulizi zake zisizo na uhusiano na swali. Asikimbie swali kwa kusahihisha nukta (...)
Tuanze hapa
Swali. Mohamed Said, kuna uhusiano gani kati ya uvunjaji wa mabucha ya nguruwe na umasikini wa Tabora, Kilwa, Mtwara na Kigoma?
Natoa ushauri kwa wanaouliza maswali, badala ya kuanza kutoa hadithi ndeeeefu inayoweza kuandika kitabu au vitabu vingine, kwanini hamuulizi swali moja moja? Nna uhakika italeta raha zaidi. Mwanakijii, Nguruvi, Ogah, na wenzenu wote changamoto hiyo.
Ulizeni swali moja moja likishajibiwa tuendelee na lingine, Mohamed Said kasema ana mengi ya kueleza, tukienda kwa mpango huo tutaweza kujadili kwa mantiki. Na maswali atayokwepa kuuliza tutajuwa kwanini.
Tuanze.
Safi sana nakubaliana nawe. Pia mkumbushe Mohamed kuwa akiulizwa swali hakuna haja ya kujaza ukurasa mzima kwa nukuu za simulizi zake zisizo na uhusiano na swali. Asikimbie swali kwa kusahihisha nukta (...)
Tuanze hapa
Swali. Mohamed Said, kuna uhusiano gani kati ya uvunjaji wa mabucha ya nguruwe na umasikini wa Tabora, Kilwa, Mtwara na Kigoma?
FF,
Mimi nimeamua kuendelea na historia hivi sasa nishamaliza ugomvi wa Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere, nikaingia AMNUT hiyo 1958/59 sasa nakwenda Muslim Congress 1962 uhuru ushapatikana.
Mohamed
Mwamedi Saidi, where exactly did you receive your formal training in historical research methods? Maana ni wazi umeishiwa weledi wa kutetea fiction zako. You're nothing but a fraud, mzee weye. By the way, even academic impostors do get invited to speak and present phony papers at mediocre Universities around the World.
Bahati mbaya au nzuri, hadithi za bwanako Mwamedi Saidi don't stand up to intellectual rigorousness, integrity and scrutiny. Wewe huna hoja yoyote na ni mpumbavu fulani tu.
Nguruvi3,
Sasa hivi nasonga mbele.
Nilikuwa katika ugomvi wa Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere, kisha nikaja AMNUT.
Hii ni 1959 sasa.
Nataka kuendelea mbele nisomeshe historia ile ambayo si wengi wanaifahamu.
Tuingie uhuru ushapatikana 1961 na Muslim Congress 1962 tukutane na Sheikh Hassan bin Amir.
Hakuna mtafiti yeyote aliyepata kuandika haya.
Hutaki kujua mambo mapya?
Mohamed
............Ghafla tu SheikhTakadir alisimama wima akishikilia fimbo yake ya kutembea akimuelekezea Nyererehuku akisema, ëHuyu mtu katu hatakuja kutujali sisi atakuja kuwajali nduguzake. Usipoziba ufa utajenga ukutaí.
.........Sheikh Takadir aliiambia kamati hiyo kuwa Nyerere alikuwa akitumiasharti la elimu katika uchaguzi wa kura tatu ili kuwaweka Wakristo wenzakemadarakani kwa hoja kwamba wanazo zile sifa zitakiwazo kushika majukumu yaserikali. .............
.........Kuingizwa kwa watu kama Eliofoo,Mwakangale, Sijaona, Bomani, Kahama na wengine katika Baraza la Kutunga Sheriaili kuwakilisha TANU kuliwatia wasiwasi idadi kubwa ya wanachama Waislamwaliokuwepo makao makuu ya TANU. .....................Mohamed
Halafu ghafla unakuja kueleza yafuatayo...Ogah,
Hebu tuachane na hoja kwanza.
Tuisoome historia iliyosahauliwa.
Tukishaijua tutakaa vyema Insha Allah.
Mohamed
Nguruvi3,
Sasa hivi nasonga mbele.
Nilikuwa katika ugomvi wa Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere, kisha nikaja AMNUT.
Hii ni 1959 sasa.
Nataka kuendelea mbele nisomeshe historia ile ambayo si wengi wanaifahamu.
Tuingie uhuru ushapatikana 1961 na Muslim Congress 1962 tukutane na Sheikh Hassan bin Amir.
Hakuna mtafiti yeyote aliyepata kuandika haya.
Hutaki kujua mambo mapya?
Mohamed
Brother MS,... utasemaje umemaliza kuelezea mgogoro wa Sheikh Takadir na JKN...wakati kuna udadisi amabo hukuujibu...
Hivi hicho chama kilianzishwa kwa masilahi ya Waislamu peke yao?.......iweje mtu ajiulize kuwa huyu bwana hatakuja kutujali? kutujali alikuwa akimaanisha akina nani? na kwa misingi ipi?.....ya uanzilishi wa chama au Uislamu wao?
Hizi ndizo huitwa "prejudices"
Kwa nini watu waingie wasiwasi Watanganyika wengine kuingia Barazani?........huo umoja wa Kitaifa la Tanganyika unakuwaje hapo?
..........Sheikh Takadir alihitaji nini hasa.....kwa kuwa yeye na Waislamu wenzake walianzisha chama basi wasije wengine kuongoza chama? ambacho madhumuni yake ni kushika uongozi wa nchi yenye watu wenye imani na makabila mbali mbali.......ambao nao pia walipigana vilivyo ili kupata uhuru wa Tanganyika..........
Badala ya Kujibu au kutoa ufafanuzi...Ukaja na kuandika yafuatayo...
Halafu ghafla unakuja kueleza yafuatayo...
kama unavyodai tusonge mbele...Tutasongaje mbele ikiwa maandishi yako yakiwa-questioned hutaki kujibu...tutafika kweli...
Ogah, it's now abundantly clear that Mwamedi Saidi has all along been engaging in prepostestorous, fictional and fraudelent claims that he has neither the intellectual authority nor the training to seriously defend. That applies not only to his 'hadiths" or "simulizis" in the Kiswahili language, but more so to the fraudulent, so-called scholarly body of work in English that he obviously has neither the intellect nor the training to produce.
Clear to whom? to you arrogant and incompetent
Mohammed remains to be an intellectual of international standards,
and his academic work is "recognized" by peer reviewed Journals ...
Leta paper hata moja ambayo wewe ume publish kwenye hata journal ya CBE???
Kama ni kweli usemayo, iweje Mwamedi Saidi ameshindwa na kujaribu kwa kila namna kukwepa kujibu maswsali na hoja husika kuhusu maandishi yake mwenyewe? Kwa kweli ushahidi usiopingika unaonyesha kuwa Mwamedi Saidi ni msomi feki kwa vigezo vyote vya kimataifa isipokuwa vile vya madrassah.