Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Kwani hii thread inamhusu Tuntemeke Sanga? Unanchekesha!!!!

Kadri nilivyosoma posts zenu nyingi, nilimuona mtu mmoja tu ndo anachekeshwa, sasa naona na wewe umeanza kuchekeshwa na mmekuwa wawili. Hali hii ya kuchekeshwa ikiendelea mjadala wote utaishia kuwa kichekesho.
 
Sheikh Mohaed,

Bila shaka hili la EPA na ndege ya raisi ni mambo ya juzi juzi hapa kwa kikwete na mkapa!

Hapa tunazungumzia enzi za Nyerere. Lakini si kweli kwamba mfumo huo (wa ufisadi) una athari za moja kwa moja katika mnakasha huu?
You guys are not getting the big picture. Mohamed hawezi kuzungumzia ufisadi wa EPA, eti ndege ya rais n.k. n.k kwa sababu havihusiki kabisa na kudhulumiwa kwa Waislamu. The guy is on a crusade, or jihad.
 
Tanganyika hiyo,huyu mzungu naona baadaye alifundishwa kuvaa suruali-hapo yeye ndio boss
5404720835_a8ea27eff7_b.jpg
 
Kadri nilivyosoma posts zenu nyingi, nilimuona mtu mmoja tu ndo anachekeshwa, sasa naona na wewe umeanza kuchekeshwa na mmekuwa wawili. Hali hii ya kuchekeshwa ikiendelea mjadala wote utaishia kuwa kichekesho.

Unataka watu wakae "siriyas" wamekunja uso hawacheki wakati wowote sasa kutakuwa kuna maana ya "nyepesinyepesi"? Unankasirisha!
 
You guys are not getting the big picture. Mohamed hawezi kuzungumzia ufisadi wa EPA, eti ndege ya rais n.k. n.k kwa sababu havihusiki kabisa na kudhulumiwa kwa Waislamu. The guy is on a crusade, or jihad.

Jasusi,

Umepatia kwelikweli.

Waislam tunadai uhuru anakuja mtu anatueleze ati sijui Gavana kanunua Rolls Royce mpya na ma Pronvicial Commissioner wote katika majimbo kawamwaga na ma Humber.

Sisi hilo tatizo letu?

Tunadai uhuru kwanza hilo ndilo la kutushughulisha sisi. EPA nk hizo ofisi zote wamekalia wao sie tumo huko?

Hatuna muda wa kucheza mkole usio kuwa wetu.

Kwani wenye ngoma yao wametualika?

Mohamed
 
Kadri nilivyosoma posts zenu nyingi, nilimuona mtu mmoja tu ndo anachekeshwa, sasa naona na wewe umeanza kuchekeshwa na mmekuwa wawili. Hali hii ya kuchekeshwa ikiendelea mjadala wote utaishia kuwa kichekesho.

Sikiliza Bwanamkubwa/Bimkubwa,

Jasusi anafahamu kwanini kauliza vile namie nafahamu kwanini nimeuliza hivyo. Hii nyuzi ni historia ya mohamed said yakosolewa sasa akitaka aanzishe thread ya Tuntemeke Sanga na Nyerere tutajadili kwa kina. Huwezi kukubali utakatifu wa Nyerere lakini huku unakubali Tuntemeke Sanga aliteswa na Nyerere. Unakuwa mtu huna misimamo.
 
Kaka/Dada mdondoaji,

Mimi siko hapa kuutetea utakatifu wa Nyerere ama kuukata.Kwani umeniulizamsimamo wangu kuhusu Nyerere? au unataka kuwa msemaji wangu bila idhini yangu? Swali kaulizwa chogo, kama ulikuwa na jibu ungejibu, kwanini uongeze swali juu ya swali? Ima nimekumbuka, watanzania ndivyo tulivyo; mtu anaulizwa sawali, anajibu kwa kuuliza swali!!
 
Tanganyika hiyo,huyu mzungu naona baadaye alifundishwa kuvaa suruali-hapo yeye ndio boss
5404720835_a8ea27eff7_b.jpg

Umesha sema mzungu.

Halafu mnapenda kurudi nyuma kwenye huu mjadala, huwa hampitii posts? hayo yameshajibiwa, na nikafahamishwa kuhusu kaptura za Nyerere siku hizo kuna waliosema ilikuwa fashion, kuna waliosema ilikuwa uniform kwa wafanya kazi wa serikali, kuna waliosema lilikuwa vazi la wasomi, ili mradi kila mmoja kaja na jibu lake, isipokuwa mimi hawakunielewa nikayaacha kama yalivyo, point yangu ilikuwa "alikuja na kaptura Dar na alivuliwa na wazee wa Dar". Iwe ilivyo, "fashion", "uniform", "usomi", "ushamba", kama na wewe sasa hivi "uzungu", yote nimekubali.

Naona hakuna abishae kuwa "alikuja na kaptura Dar."
 
Naam Shekhe! Maana tunaambiwa mara nyingi tu kuwa Nyerere alikuwa "anavaa kaptula" na kuwa ati wakati wa Dar ndio walimfundisha "kuvaa suruali". Sasa hawa wanaosema sijui wanazungumzia Dar ya wapi maana kaptula enzi hizo haikuwa jambo la fedheha kwa watu wasomi na hata kwenye ajira mbalimbali (ninazo picha za madaktari wakiwa wamevaa kaptula). Maana kama Nyerere kuvaa kaptula ilikuwa ni aibu na fedheha na hao wazee wetu wengine kwao ilikuwa nini?

Nashukuru kwa kuweka hili suala maana hoja hii imefika wakati ife.
Kimsingi hapa kulikuwa hakuna hoja ya kaptula, aliye ileta ni FF ambaye watu makini wamekwishampuuza na kumuweka kwenye ignore list.

[h=2] This message is hidden because FaizaFoxy is on your ignore list. [/h] View Post
Remove user from ignore list
 
Kimsingi hapa kulikuwa hakuna hoja ya kaptula, aliye ileta ni FF ambaye watu makini wamekwishampuuza na kumuweka kwenye ignore list.

Mbona watu makini "ignore list" inawa "ignore" wao? Unanchekesha!
 
FF,kaptura kaja nayo dar akitokea scotland kwa akina david livingstone ambaye aliwakuta watupu akawaonyesha ustaarab wa kuvaa nguo[/QUOT

Mungu wangu....huu ni msiba
Kaka SOA,ustaarabu wa kiisilam ulikuwapo kabla ya kuja kwa wamissionari katika pwani yetu....huwezi kuswali kama hujawa nadhifu kwa mwanaume nguo safi selawili chini ya magoti ,(sio kaptura),Livingstone kaja baadae saaana.
 
Tanganyika hiyo,huyu mzungu naona baadaye alifundishwa kuvaa suruali-hapo yeye ndio boss
5404720835_a8ea27eff7_b.jpg
Eeeh bwana weee! yaani mtu mweusi kapiga linen suit nyeupeee!..halafu mnataka kuleta maneno machafu?....Yap, nimemkubali jamaa sijui nani huyu!
 
FF,kaptura kaja nayo dar akitokea scotland kwa akina david livingstone ambaye aliwakuta watupu akawaonyesha ustaarab wa kuvaa nguo[/QUOT

Mungu wangu....huu ni msiba
Kaka SOA,ustaarabu wa kiisilam ulikuwapo kabla ya kuja kwa wamissionari katika pwani yetu....huwezi kuswali kama hujawa nadhifu kwa mwanaume nguo safi selawili chini ya magoti ,(sio kaptura),Livingstone kaja baadae saaana.

mwarabu na selawili wapi na wapi? mwaarabu ustaarabu wake kanzu, hao wavaa suruali waliiona kwa mkoloni wale ma masters ndio walio kuwa wanavaa selawili hususana kwenye tafrija, wakiwa kazini ni mwendo wa kaptura, sasa wale walio jiona wazungu weusi ndio haiba yao ikawa kuvaa sarawili mida yote kuonyesha kwamba wanafana au wapo karibu na mthungu
 
Back
Top Bottom