Tuntemeke Sanga alikuwa Muislamu?
Kwa hiyo umekubali Nyerere alikuwa dikteta kwanza? Jibu hilo ndipo chogo matata atakujibu jibu lako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuntemeke Sanga alikuwa Muislamu?
Kwa hiyo umekubali Nyerere alikuwa dikteta kwanza? Jibu hilo ndipo chogo matata atakujibu jibu lako.
Kwani wewe ndiye chogo matata? au ni msemaji wake?
Kwani hii thread inamhusu Tuntemeke Sanga? Unanchekesha!!!!
You guys are not getting the big picture. Mohamed hawezi kuzungumzia ufisadi wa EPA, eti ndege ya rais n.k. n.k kwa sababu havihusiki kabisa na kudhulumiwa kwa Waislamu. The guy is on a crusade, or jihad.Sheikh Mohaed,
Bila shaka hili la EPA na ndege ya raisi ni mambo ya juzi juzi hapa kwa kikwete na mkapa!
Hapa tunazungumzia enzi za Nyerere. Lakini si kweli kwamba mfumo huo (wa ufisadi) una athari za moja kwa moja katika mnakasha huu?
Kadri nilivyosoma posts zenu nyingi, nilimuona mtu mmoja tu ndo anachekeshwa, sasa naona na wewe umeanza kuchekeshwa na mmekuwa wawili. Hali hii ya kuchekeshwa ikiendelea mjadala wote utaishia kuwa kichekesho.
You guys are not getting the big picture. Mohamed hawezi kuzungumzia ufisadi wa EPA, eti ndege ya rais n.k. n.k kwa sababu havihusiki kabisa na kudhulumiwa kwa Waislamu. The guy is on a crusade, or jihad.
Kadri nilivyosoma posts zenu nyingi, nilimuona mtu mmoja tu ndo anachekeshwa, sasa naona na wewe umeanza kuchekeshwa na mmekuwa wawili. Hali hii ya kuchekeshwa ikiendelea mjadala wote utaishia kuwa kichekesho.
Sikiliza Bwanamkubwa/Bimkubwa,
Jasusi anafahamu kwanini kauliza vile namie nafahamu kwanini nimeuliza hivyo. Hii nyuzi ni historia ya mohamed said yakosolewa sasa akitaka aanzishe thread ya Tuntemeke Sanga na Nyerere tutajadili kwa kina. Huwezi kukubali utakatifu wa Nyerere lakini huku unakubali Tuntemeke Sanga aliteswa na Nyerere. Unakuwa mtu huna misimamo.
Unataka watu wakae "siriyas" wamekunja uso hawacheki wakati wowote sasa kutakuwa kuna maana ya "nyepesinyepesi"? Unankasirisha!
Tanganyika hiyo,huyu mzungu naona baadaye alifundishwa kuvaa suruali-hapo yeye ndio boss
![]()
Kimsingi hapa kulikuwa hakuna hoja ya kaptula, aliye ileta ni FF ambaye watu makini wamekwishampuuza na kumuweka kwenye ignore list.Naam Shekhe! Maana tunaambiwa mara nyingi tu kuwa Nyerere alikuwa "anavaa kaptula" na kuwa ati wakati wa Dar ndio walimfundisha "kuvaa suruali". Sasa hawa wanaosema sijui wanazungumzia Dar ya wapi maana kaptula enzi hizo haikuwa jambo la fedheha kwa watu wasomi na hata kwenye ajira mbalimbali (ninazo picha za madaktari wakiwa wamevaa kaptula). Maana kama Nyerere kuvaa kaptula ilikuwa ni aibu na fedheha na hao wazee wetu wengine kwao ilikuwa nini?
Nashukuru kwa kuweka hili suala maana hoja hii imefika wakati ife.
Kimsingi hapa kulikuwa hakuna hoja ya kaptula, aliye ileta ni FF ambaye watu makini wamekwishampuuza na kumuweka kwenye ignore list.
FF,kaptura kaja nayo dar akitokea scotland kwa akina david livingstone ambaye aliwakuta watupu akawaonyesha ustaarab wa kuvaa nguo[/QUOT
Mungu wangu....huu ni msiba
Kaka SOA,ustaarabu wa kiisilam ulikuwapo kabla ya kuja kwa wamissionari katika pwani yetu....huwezi kuswali kama hujawa nadhifu kwa mwanaume nguo safi selawili chini ya magoti ,(sio kaptura),Livingstone kaja baadae saaana.
Eeeh bwana weee! yaani mtu mweusi kapiga linen suit nyeupeee!..halafu mnataka kuleta maneno machafu?....Yap, nimemkubali jamaa sijui nani huyu!Tanganyika hiyo,huyu mzungu naona baadaye alifundishwa kuvaa suruali-hapo yeye ndio boss
![]()
FF,kaptura kaja nayo dar akitokea scotland kwa akina david livingstone ambaye aliwakuta watupu akawaonyesha ustaarab wa kuvaa nguo[/QUOT
Mungu wangu....huu ni msiba
Kaka SOA,ustaarabu wa kiisilam ulikuwapo kabla ya kuja kwa wamissionari katika pwani yetu....huwezi kuswali kama hujawa nadhifu kwa mwanaume nguo safi selawili chini ya magoti ,(sio kaptura),Livingstone kaja baadae saaana.
mwarabu na selawili wapi na wapi? mwaarabu ustaarabu wake kanzu, hao wavaa suruali waliiona kwa mkoloni wale ma masters ndio walio kuwa wanavaa selawili hususana kwenye tafrija, wakiwa kazini ni mwendo wa kaptura, sasa wale walio jiona wazungu weusi ndio haiba yao ikawa kuvaa sarawili mida yote kuonyesha kwamba wanafana au wapo karibu na mthungu