Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Mdondoaji,
Mbona solution rahisi sana? Kama serikali haina trust ya Muslims anymore vote those bastards out. Use your vote, your power to put in place a government you will trust. Serikali kamwe haiwezi kujichunguza. Inarespond kwa shinikizo. Wewe unadhani kweli Kikwete alitaka katiba mpya? Ni baada ya kuona nguvu mpya za CHADEMA.

Jasusi,

Waislamu wengi hawapigi kura wamepoteza imani kabisa na nchi hii. Nguvu ya chadema ni cha mtoto tu kulinganisha na nguvu ya waislamu mkuu. Umejuliza ile 53% ya wapiga kura ambao hawajapiga kura ni akina nani? Hakuna wa kusikiliza madai ya waislamu nchi hii, vile vile waislamu wenyewe wamegawanyika, pia kuna tatizo la ufahamu wa umuhimu wa kupiga kura. Vyote hivyo vimechangia waislamu wengi hawapigi kura mkuu. Wanalalamika but wengi wao wamekata tamaa. Waislamu wakiungana na kuweka sauti ya pamoja hakuna chama kitashinda uchaguzi nchi hii bila ya support yao nakuhakikishia ndugu yangu.
 
Jasusi,

Mshikamano ndiyo ule wazee wetu walivyompokea Nyerere Dar es Salaam hadi wakamfikisha walipomfikisha wamekufa wengine hawasemi naye, wengine kawatia kizuizini, Sheikh Hassan bin Amir akamfukuza nchini, Shariff Hussein Badawy na mdogo wake Mwinyibaba akawafukuza nchini vilevile, ikawa hataki kusikia chochote kuhusu Waislam wala Uislam.

Akavunja jumuia za Kiislam akawahujumu vijana wa Kiislam katika elimu akalijenga Kanisa Katoliki sasa ni serikali ndani ya serikali.

Haya ndiyo malipo yetu kwa hisani waliyomfanyia wazee wetu.

Mshikamano utarudi tu kama hii dhulma itatokomezwa na nyie ndugu zetu mna jukumu la kuitanabaisha serikali na Kanisa kuwa wasipuuze kilio cha Waislam.

Mohamed
Mohamed,
Mimi sijui kwa nini Nyerere alimfukuza/aliwafukuza mashehe kutoka Tanzania mbali na kile nilichosoma kwenye kitabu chako ambacho kwa hakika ni one sided. Jumuiya pekee ya Kiislamu iliyovunjwa, na hapa bado kuna debate kama mvunjaji alikuwa Nyerere, kwa sababu kuna ushahidi walishiriki Waislamu mashuhuri tu katika juhudi hizo, ni EAMWS. Sasa ni asasi gani nyengine alizovunja Nyerere? Hii ya hujuma ya vijana wa Kiislamu bado ni dhana tu bila ushahidi. Unawezaje kuwahujumu vijana wa Kiislamu wakati unataifisha shule za misheni ili nao wasome? It is debatable. Na hapa mlishakubali kuwa Waislamu walikuwa nyuma kielimu wakati wa ukoloni. You have your opinion and I have mine. Lakini ukiangalia Africa ya 1960-70 unaona jinsi nchi progressive za Kiafrika zilivyokuwa zinapinduliwa. Ingekuwa rahisi kutangaza mapinduzi Tanzania kwa kuteka tu Radio Tanzania. The fact that Nyerere regime survived inatufanya tumpe benefit of the doubt kwa baadhi ya hatua alizochukua ikiwa ni pamoja na kuwafukuzilia mbali hao mashehe wa Kiislamu. Lakini ninachosema hapa ni kwamba mshikamano ni muhimu. Hata katika hayo malengo yenu hamtafika mbali bila kuwashirikisha Wakristo. Mkitangaza vita dhidi ya Wakristo hakutakuwa na mshikamano na hamtafanikiwa katika lengo lenu. Hichi si kitisho. Ni statement of fact.
 
Prof. Haroub Othman alimuonya Nyerere kuhusu niliyosema dhidi yake na akamuomba na yeye aseme upande wake.

Kwanza nafasi yake katika kuunda TANU na tuhumu za yeye kuwachukia Waislam na kuhujumu maendeleo yao.

Hakuweza hadi alipofariki.

Wala hajatokea mtu kupinga kitabu changu sasa mwaka wa 13 kimesimama peke yake.

Lakini kwa mujibu wako Nyerere alisema upuuzwe. Kwamba hakuna atakayekuamini. Tunashuhudia hapa majibu ya Nyerere.
 
Jasusi,

Prof. Haroub yeye aliona shutuma zile lazima zipate jibu lake yeye mwenyewe Nyerere.

Sasa Nyerere mwisho aliona umuhimu wa kueleza upande wake wa kisa na akamwomba Prof. Haroub amtengenezee kamati ya kama watu sita hivi na yeye atazungumza nao maisha yake na wao wataandika.

Kamati ikaundwa chini ya Prof. Haroub lakini Nyerere maradhi yakawa yamemtopea Nyerere hakuweza kutimiza ile azma yake.

Nyerere hakuweza kunipuuza si rahisi kupuuza kitabu kile.

Hakupata mtu kusimama na Nyerere uso kwa uso na kumueleza ukweli kwa kiwango kile.

Kila aliyesoma kazi ile alitoka ndani ya kurasa zile sivyo alivyoingia.

Mohamed
 
Ahsante kwa kunipa sifa njema.

Kwani hata hii nchi inaongozwa kwa kutumia nini? Soma preface ya Mwembechai Killings umsikie Nyerere anajibu nini alipoulizwa, alisema anatumia "Gospel of Jesus", sasa hicho ni nini?

Wewe ni mdini mno. Ninyi ndo watu hatari kwa taifa...
 
Mdini ni Nyerere na Kanisa Katoliki waliowahujumu Waislam.

Ushahidi wote tumeuweka hapa ukumbini kwa wote kuuona.

Ikiwa Kanisa Katoliki linabisha watujibu basi au lije na ushahidi wapi Waislam walikaa na kupanga mipango dhidi ya Ukristo.

Wakati wa propaganda na "niceities" umepita sasa tuambiane kweli tuiepushe nchi yetu na janga linalotunyemelea.

Mohamed
 
Hakuna mpaka sasa aliyesema hao wazee anaowaandika Mohamed Said kuwa walikuwa si wa ukweli na wakubuni.

Kinachopingwa ni nini?

Iwe ukweli au kubuni... Kinachoulizwa 'NIA' ya kuandikwa hayo ni nini???? Aiweke wazi dhamira yake. Wananchi (waislamu, wakristu, wahindu, wabaniani n.k) tutaipima, kisha tutaona kama ana dhamira njema kwa taifa ama la. Mpaka sasa mimi binafsi nikisoma maneno yake naona uharibifu zaidi kuliko ujenzi. "Mtu anayetaka kutubagua kwa namna yeyote ile HATUFAI"
 
Mdini ni Nyerere na Kanisa Katoliki waliowahujumu Waislam.

Ushahidi wote tumeuweka hapa ukumbini kwa wote kuuona.

Ikiwa Kanisa Katoliki linabisha watujibu basi au lije na ushahidi wapi Waislam walikaa na kupanga mipango dhidi ya Ukristo.

Wakati wa propaganda na "niceities" umepita sasa tuambiane kweli tuiepushe nchi yetu na janga linalotunyemelea.

Mohamed

Janga lipi??? Hilo uliloleta wewe??
 
Maneno yako mazuri sana. Tunaomba tuwekee hapa hayo "maneno yake" yenye uharibifu nasi tuyachambuwe.
 
Si vibaya hata Jakaya akitumia miongozo ya Quran kuongozea nchi kwani kwenye Quran hakuna mahali kumeandikwa viongozi wanatakiwa kuwalinda mafisadi, badala yake Quran inahimiza kulinda haki na kuwatendea haki wanyonge. Kama Kweli Kikwete angewatendea haki wanyonge na kupambana na mafisadi basi bila shaka wote tungesema Kikwete anatumia Quran kuongoza nchi!!

Halafu kwani Mwalimu alikuwa anajibu kuhusu Mwembechai au kipande hicho cha maneno ya Mwalimu kilichomekwa ili kuweka msisitizo wenu kuhusu Nyerere. Nyie wote mnajua kwamba bila ya kulitaja jina la Nyerere maandiko yenu yote hayatasisimua.

Mtu akisifiwa kwa lolote wanamtafuta wajue dini yake kwanza. HUO NDIO UDINI WENYEWE. Hata kama ni wa dini yangu, ninakwambia maana ndio ukweli. Dini tunaiheshimu, ila taifa ni taifa
 
Taifa linaloongozwa kwa kutumia "gospel of jesus christ" kama alivyosema Nyerere?
 
Maneno yako mazuri sana. Tunaomba tuwekee hapa hayo "maneno yake" yenye uharibifu nasi tuyachambuwe.

Uchambue nini?? Unafikiri watu wanaposoma yanawasaidia kujenga au kubomoa taifa?? Taifa letu limejengwa kwa misingi ya umoja. Chambua wewe eleza namna taifa linavyofaidika na hayo maneno......
 
Mdini ni Nyerere na Kanisa Katoliki waliowahujumu Waislam.

Ushahidi wote tumeuweka hapa ukumbini kwa wote kuuona.

Ikiwa Kanisa Katoliki linabisha watujibu basi au lije na ushahidi wapi Waislam walikaa na kupanga mipango dhidi ya Ukristo.

Wakati wa propaganda na "niceities" umepita sasa tuambiane kweli tuiepushe nchi yetu na janga linalotunyemelea.

Mohamed
hilo janga linalotunyemelea ndiyo vita alivyokuwa anasema nguruvi au ?
 
Mtu akisifiwa kwa lolote wanamtafuta wajue dini yake kwanza. HUO NDIO UDINI WENYEWE. Hata kama ni wa dini yangu, ninakwambia maana ndio ukweli. Dini tunaiheshimu, ila taifa ni taifa

Taifa linaloongozwa kwa kutumia "gospel of jesus christ" kama alivyosema Nyerere?

Taifa la 83% vs 17%?
 
Iwe ukweli au kubuni... Kinachoulizwa 'NIA' ya kuandikwa hayo ni nini???? Aiweke wazi dhamira yake. Wananchi (waislamu, wakristu, wahindu, wabaniani n.k) tutaipima, kisha tutaona kama ana dhamira njema kwa taifa ama la. Mpaka sasa mimi binafsi nikisoma maneno yake naona uharibifu zaidi kuliko ujenzi. "Mtu anayetaka kutubagua kwa namna yeyote ile HATUFAI"

Nia ya kuandika kwanza ni kuonyesha kuwa wazee wetu walipambana na wakoloni ili wananchi wa nchi hii wapate heshima wanayostahili kama binadamu na pawepo na haki na usawa kwa wote.

(Watoe Wahindu nk hawana moja katika haya).

Hii ni kati ya Waislam na serikali na wale waliyohodhi serikali na kuchukua nafasi ya wakoloni.

Waislam tunabaguliwa na tumeieleza serikali kwa zaidi ya miaka 30 sasa imetupuuza.

Fanya uchunguzi wako mwenyewe kuhusu ubaguzi. Wakristo wanahodhi 83% za fursa katika nchi hii kwa hila na ubaguzi.

Ushahidi tunao.

Mohamed
 
Uchambue nini?? Unafikiri watu wanaposoma yanawasaidia kujenga au kubomoa taifa?? Taifa letu limejengwa kwa misingi ya umoja. Chambua wewe eleza namna taifa linavyofaidika na hayo maneno......

Umoja wa 83% vs 17%?
 
Back
Top Bottom