Mdondoaji,
Mbona solution rahisi sana? Kama serikali haina trust ya Muslims anymore vote those bastards out. Use your vote, your power to put in place a government you will trust. Serikali kamwe haiwezi kujichunguza. Inarespond kwa shinikizo. Wewe unadhani kweli Kikwete alitaka katiba mpya? Ni baada ya kuona nguvu mpya za CHADEMA.
Jasusi,
Waislamu wengi hawapigi kura wamepoteza imani kabisa na nchi hii. Nguvu ya chadema ni cha mtoto tu kulinganisha na nguvu ya waislamu mkuu. Umejuliza ile 53% ya wapiga kura ambao hawajapiga kura ni akina nani? Hakuna wa kusikiliza madai ya waislamu nchi hii, vile vile waislamu wenyewe wamegawanyika, pia kuna tatizo la ufahamu wa umuhimu wa kupiga kura. Vyote hivyo vimechangia waislamu wengi hawapigi kura mkuu. Wanalalamika but wengi wao wamekata tamaa. Waislamu wakiungana na kuweka sauti ya pamoja hakuna chama kitashinda uchaguzi nchi hii bila ya support yao nakuhakikishia ndugu yangu.