Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Nataka ieleweke kuwa sipo hapa kutete unafik wa yeyote awaye. Awe anjiita Mkristo au Muislaam au haamini mnavyoamini waislaa au wakristo.

Imani yangu ni kwa Allah na kitabu chake cha mwisho Qur'an na ataetokea kumtetea baba, mama, bibi, babu, shangazi, mjomba, kaka, dada, wifi shemeji au yeyote yule, kabla ya kutetea maneno ya Allah, huyo na mimi ni Mbingu na Ardhi.
 
Kitu kinacho nishangaza hapa JF aidha kwa Waislaam au Wakristo au wasiokuwa na imani ya upande wowote, ni pale nilipobaini kuwa Mzee Mwanakijii ameipandikiza (ameibandika) aya ya Qur'an isivyo. Si Muislaam wala asiye Muislaam aliyeweza hata kufunguwa mdomo kusema au kushtuka.

Maswali mengi sana kuliko majibu. Huu ndio mshikamano wa Waislaam na wasio Waislaam hata pale tunapoona makosa? hata mmoja kati ya wachangiaji wa JF kusema ni kweli Mzee Mwanakijiji, omba msamaha kwa makosa uliyoyafanya, kama anavyoshinikiza FF. Badala yake kitu nilichokiona ni hata Mohamed Said kumsifu Mzee Mwanakijiji kuwa ni Heavy Weight. Haaa! Ma heavy weight hawana makosa hata wanapokosea? hii ndio JF au huu ndio usomi? Au huu ndio unafik wa Waislaam?

Sasa inanifanya niamini maneno ya Zomba (my cousin) ameni PM na kuniambia hakuna cha Mohamed Said wala Mwanakijiji wote hao ni system na wanawacheza shere.

Ahsante Zomba kwa kunitanabahisha hayo, sasa sitopoteza usingizi wangu. Na nimeona ukweli.

Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako, na hata Uislaam unapoandikwa ndivyo sivyo hukuweza hata kutanabahi na japo kuuweka msimamo wako Kiislaam na wala kusema kweli hapo kuna kosa.

Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.

Naamini, Waislaam mlichokipanda ndio mnachokivuna. Mmeshindwa hata kuitetea aya ya Qur'an ilivyobandikwa ndivyo sivyo, mtaweza kuutetea Uislaam? Mtabaki kutetea wazee wenu, alifanya hivi walikuwa hivi wakawa vile, na hao wazee wenu kwa unafik wao ndio wakawapa msemo na nguvu watu kama kina Nyerere. Kawawa na Songambele na Mustafa Nyang'anyi walitokea wapi? Uislaam kwa jina tu hautoshi na vitendo na mshikamano wa Waislaam ndio unaoonesha Uislaam wa kweli.

Leo mmeshindwa kutetea aya ya Qur'an inayosimamisha Uislaam, mtaweza kuwateteta Umma wa Kiislam. Wanafik wakubwa.

Gademu unamruka tena mwenzio ambaye anawakilisha maslahi ya Waislamu na Uislamu nchini? Yaani kwa vile hakubaliani na wewe basi tayari ushamuona kuwa si Muislamu mzuri? Una kazi si ndogo.
 
Nisamehe Faiza nitaipitia hiyo aya niifahamu zaidi kama kuna kitu cha kusema nitasema nipe muda wa kuifanyia utafiti ila usituhukumu Faiza unapata dhambi kufanya hilo. Ni nasaha tu.

utapata kazi ya bure tu.. kasome hizo aya na nilichokisema utaona ni kwanini sijasukumbuka kumsaidia FF kuelewa.
 
Nataka ieleweke kuwa sipo hapa kutete unafik wa yeyote awaye. Awe anjiita Mkristo au Muislaam au haamini mnavyoamini waislaa au wakristo.

Imani yangu ni kwa Allah na kitabu chake cha mwisho Qur'an na ataetokea kumtetea baba, mama, bibi, babu, shangazi, mjomba, kaka, dada, wifi shemeji au yeyote yule, kabla ya kutetea maneno ya Allah, huyo na mimi ni Mbingu na Ardhi.

Faiza,

Punguza munkari na hasira sote hapa hatujuani na wala hatuna ill intentions ya watu fulani. Mie nipo hapa kama binaadamu, mtanzania, mwislamu. Huu ni mjadala achana na hasira tuendelee na mjadala kwa hisani yako.
 
Gademu unamruka tena mwenzio ambaye anawakilisha maslahi ya Waislamu na Uislamu nchini? Yaani kwa vile hakubaliani na wewe basi tayari ushamuona kuwa si Muislamu mzuri? Una kazi si ndogo.

God damned ni wewe, na si mimi, na wala simruki mtu ila nawatanabahisha walioshindwa kusema ukweli ulipotowa aya ndivyo sivyo na hilo unalijuwa, ama kwa makusudi kabisa ama kwa unafik wako.
 
Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako.

Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.

I wish you had stopped right there ! But not even all the perfumes of Arabia can cleanse those little hands ! Look and you shall see, listen and you shall hear !
 
Faiza,

Punguza munkari na hasira sote hapa hatujuani na wala hatuna ill intentions ya watu fulani. Mie nipo hapa kama binaadamu, mtanzania, mwislamu. Huu ni mjadala achana na hasira tuendelee na mjadala kwa hisani yako.

Mjadala uendelee lakini mnapowekewa aya isivyo na hata mnapotanabahishwa si mara moja au mara mbili, mnakaa kimya hamkemei wala hata kusema, hiyo ni ku "ignore" ukweli na hilo silikubali, muone malumbano mengine ni bora kuliko Qur'an?
 
I wish you had stopped right there ! But not even all the perfumes of Arabia can cleanse those little hands ! Look and you shall see, listen and you shall hear !

Keep your distance.
 
God damned ni wewe, na si mimi, na wala simruki mtu ila nawatanabahisha walioshindwa kusema ukweli ulipotowa aya ndivyo sivyo na hilo unalijuwa, ama kwa makusudi kabisa ama kwa unafik wako.

Hebu ni PM hizo aya nitazipitia weekend au zibandike tena nitazicopy. Nina tafsiri nne kuu katika maktaba yangu Tafsir ya Jalalyn (Imam Suyuti). Tafsir ya Ibn Kathir, Tafsir Qutb na pia Tafsir ya Sheikh Abdallah Yusuf Ali. Nitazisoma hizo aya na kuwauliza wanazuoni na nitakupatia mtazamo wangu.
 
Mjadala uendelee lakini mnapowekewa aya isivyo na hata mnapotanabahishwa si mara moja au mara mbili, mnakaa kimya hamkemei wala hata kusema, hiyo ni ku "ignore" ukweli na hilo silikubali, muone malumbano mengine ni bora kuliko Qur'an?

Faiza,

Lakini umesahau wakhtasimu bi habli lilahi jamia. Sote ni kamba moja hivyo kamba inapovutwa na mwanadamu huwa inajilinda huku na huku ili iweze kukaa muda mrefu. Nimekuuliza mbona Mohamed Said tumemuachia peke yake azungumze kuhusu historia? Yeye amejitahidi kwa upande wake na wewe allah amekuruzuku elimu ya Quran tunufaishe!!! Usitulaumu sie kwa ufakiri wetu wa elimu ndio mtihani mungu ametupa but usitulaumu kwa kutozungumza kitu tusichokifahamu.
 
Sawa nimekusoma mkuu. Sifa moja ya uislam ni kuhurumiana lakini ndani ya uislam tu . Kwa katoliki kama Nyerere hakuna kuhurumiana.
Naona kwa sasa watu wanajadili mambo yanayohusu imani zao bila kuwa na jazba saana kama hapo awali kwa hiyo tujaribu kuwaomba MODS wairudishe hii thread("Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania Mainland") au kama bado unayo ibandike upya tuone upepo utavuma vipi!
NA mimi ipigie debe thread yangu irudishwe hapa jamvini; manake ni heri hiyo ya mohamed ilikaa asubuhi hadi maghrib...ya kwangu haikukaa hata sekunde moja!!! ya kwangu, iliwahusu wana magwanda na tabia yao ya kupenda kutukana watu kwa kuona yeyote asiyekubaliana nao basi hajasoma na mpumbavu. mbaya zaidi, ni pale wanaokuwa kwenye kampeni zao na kujifanya wanajuwa sana kuchapa watu!!! huko igunga, nackia wana magamba wakachoka na wao wakaamua kuwashushia kipondo magwanda!!! kwangu mimi, hiyo niliona ni welldone na kuhamisisha heri chapane tu ili tuheshimiane!!!! mods bana, eti hawakuitoa......eti hii nayo wakaiona ni uchochezi !!! nikaleta ya "mtaani kwetu na vituko vya asha ngedere"; nayo wakaipeleka sijui chai chat cjui kufanya nini cjui!!! cjui ni umbumbumbu wa fasihi au ni makusudi tu.....!
 
Faiza,

Lakini umesahau wakhtasimu bi habli lilahi jamia. Sote ni kamba moja hivyo kamba inapovutwa na mwanadamu huwa inajilinda huku na huku ili iweze kukaa muda mrefu. Nimekuuliza mbona Mohamed Said tumemuachia peke yake azungumze kuhusu historia? Yeye amejitahidi kwa upande wake na wewe allah amekuruzuku elimu ya Quran tunufaishe!!! Usitulaumu sie kwa ufakiri wetu wa elimu ndio mtihani mungu ametupa but usitulaumu kwa kutozungumza kitu tusichokifahamu.

Sina haja ya ku pm, ulikuwa husomi posts? na huyo Mohamed Said alikuwa hasomi posts? kama hamsomi posts yanini mnaingia kwenye mnakasha unaohusu Uislaam? kama mtarudi nyuma na kusoma someni kama hamuwezi, kaeni na unafik wenu wa kuingia mijadala mkawa mnazipitia posts zenu au zinazowajibu nyinyi tu.

Naongelea Qur'an, imebandikwa ndivyo sivyo na posts zaidi ya tano nimetanabahisha na nimesema Mwanakijiji omba msamaha, omba msamaha, mpaka nikachomekea kwa majibu mengine na kuwaambia wenzake wamuambie aombe msamaha, kama nyinyi Waislaam hamkutanabahi mnatagemea nani aje kutanabahi?
 
Kitu kinacho nishangaza hapa JF aidha kwa Waislaam au Wakristo au wasiokuwa na imani ya upande wowote, ni pale nilipobaini kuwa Mzee Mwanakijii ameipandikiza (ameibandika) aya ya Qur'an isivyo. Si Muislaam wala asiye Muislaam aliyeweza hata kufunguwa mdomo kusema au kushtuka.

Maswali mengi sana kuliko majibu. Huu ndio mshikamano wa Waislaam na wasio Waislaam hata pale tunapoona makosa? hata mmoja kati ya wachangiaji wa JF kusema ni kweli Mzee Mwanakijiji, omba msamaha kwa makosa uliyoyafanya, kama anavyoshinikiza FF. Badala yake kitu nilichokiona ni hata Mohamed Said kumsifu Mzee Mwanakijiji kuwa ni Heavy Weight. Haaa! Ma heavy weight hawana makosa hata wanapokosea? hii ndio JF au huu ndio usomi? Au huu ndio unafik wa Waislaam?

Sasa inanifanya niamini maneno ya Zomba (my cousin) ameni PM na kuniambia hakuna cha Mohamed Said wala Mwanakijiji wote hao ni system na wanawacheza shere.

Ahsante Zomba kwa kunitanabahisha hayo, sasa sitopoteza usingizi wangu. Na nimeona ukweli.

Mohamed Said, nimekutetea sana na ni mwandishi mzuri sana, lakini kweli hukuwa unatetea Uislaam wala Waislaam, unatetea na kuandika Historia ya wazee wako, na hata Uislaam unapoandikwa ndivyo sivyo hukuweza hata kutanabahi na japo kuuweka msimamo wako Kiislaam na wala kusema kweli hapo kuna kosa.

Nilichokitathmini, ni kuwa unataka ieleweke kuwa Wamanyema na Wazulu ndio waliokuja kuwafungua macho wenyeji na wenyeji wote ni hamnapo hakunapo.

Naamini, Waislaam mlichokipanda ndio mnachokivuna. Mmeshindwa hata kuitetea aya ya Qur'an ilivyobandikwa ndivyo sivyo, mtaweza kuutetea Uislaam? Mtabaki kutetea wazee wenu, alifanya hivi walikuwa hivi wakawa vile, na hao wazee wenu kwa unafik wao ndio wakawapa msemo na nguvu watu kama kina Nyerere. Kawawa na Songambele na Mustafa Nyang'anyi walitokea wapi? Uislaam kwa jina tu hautoshi na vitendo na mshikamano wa Waislaam ndio unaoonesha Uislaam wa kweli.

Leo mmeshindwa kutetea aya ya Qur'an inayosimamisha Uislaam, mtaweza kuwateteta Umma wa Kiislam. Wanafik wakubwa.

Hee! Yameshakuwa haya? Bibie umekunywa nini?
 
Historia dunia nzima imepindishwa sana, mfano miongoni mwa watu wa mwanzo kutua mwezini siyo mwamerika Armstrong bali alikuwa Muqatar ibn walid al islam raia wa yemen, mtu wa mwanzo kuvuka bahari ya atlantic na kuiona amerika na kuitangaza hakuwa Christopher columbus bali marwan hussein mujahid al saudi raia wa saudi arabia, vile vile mgunduzi wa simu alikuwa hassan islamihiya al tikrit raia wa turkey na siyo Graham. Historia imepindishwa sana na makafir akina nyerere na kundi lake ndo maana tunaambiwa eti mtanzania aliyekwenda UN kudai uhuru alikuwa Nyerere wakati alikuwa ni Rashid mfaume kawawa simba vya vita, hata raisi wa kwanza wa JMT ni Mkukufu sana alhaj ali hassan mwinyi na bado tunalazimishwa kuamini kuwa alikuwa kafir nyerere. Haya mambo ya kupindisha pinda historia ili kufanya allah na waja wake wasipate haki stahili haifai na inapelekea watu waungwana wanaamua kuchukua sharia mikononi mwao na kuwajihad makafir

Haya sasa mwanahistoria mwingine kaibuka tena na dondoo za dunia nzima jiandaeni kumpa support kwa argument zake manake ni mwislam pia huyu.
 
Sina haja ya ku pm, ulikuwa husomi posts? na huyo Mohamed Said alikuwa hasomi posts? kama hamsomi posts yanini mnaingia kwenye mnakasha unaohusu Uislaam? kama mtarudi nyuma na kusoma someni kama hamuwezi, kaeni na unafik wenu wa kuingia mijadala mkawa mnazipitia posts zenu au zinazowajibu nyinyi tu.

Naongelea Qur'an, imebandikwa ndivyo sivyo na posts zaidi ya tano nimetanabahisha na nimesema Mwanakijiji omba msamaha, omba msamaha, mpaka nikachomekea kwa majibu mengine na kuwaambia wenzake wamuambie aombe msamaha, kama nyinyi Waislaam hamkutanabahi mnatagemea nani aje kutanabahi?

Faiza,

Post 1310 unazipitia zote kwa siku 14 (tangu mjadala uanzishwe tarehe 17 October, 2011)? Unafanya kazi saa ngapi, kula saa ngapi, kulala saa ngapi? (Kwani average number of posts per day kwenye hii thread ni post 94!!!!) Basi mie naona wacha yaishe.
 
Nyerere ni A+ student, no matter katokea wapi, alikuwa ni msomi na anakipaji namwerevu. Huo ni ukweli usiopingika.Capacity yake ndio ilimfanye awe wa maana hata alipokuja Dar.

Na hiyo capacity yake ndio ilimuwezesha kuona weakness za wenyeji wake. Na ndio aliitumia na kuwazidi ujanja, si kwa kupenda bali kwa makusudi kabisa, "hivi hawa wanafik" tukiwaacha watawale si wataleta balaa. Na ndivyo ilivyokuwa na ndivyo ilivyo mpaka sasa.
 
Faiza,

Post 1310 unazipitia zote kwa siku 14 (tangu mjadala uanzishwe tarehe 17 October, 2011)? Unafanya kazi saa ngapi, kula saa ngapi, kulala saa ngapi? (Kwani average number of posts per day kwenye hii thread ni post 94!!!!) Basi mie naona wacha yaishe.

Kazi yangu kwa sasa ni moja tu. Kuutetea Uislaam kwa nguvu zangu zote, nalala mda mchache sana, kwa nini niupoteze umri wangu usingizini?
 
Sina haja ya ku pm, ulikuwa husomi posts? na huyo Mohamed Said alikuwa hasomi posts? kama hamsomi posts yanini mnaingia kwenye mnakasha unaohusu Uislaam? kama mtarudi nyuma na kusoma someni kama hamuwezi, kaeni na unafik wenu wa kuingia mijadala mkawa mnazipitia posts zenu au zinazowajibu nyinyi tu.

Naongelea Qur'an, imebandikwa ndivyo sivyo na posts zaidi ya tano nimetanabahisha na nimesema Mwanakijiji omba msamaha, omba msamaha, mpaka nikachomekea kwa majibu mengine na kuwaambia wenzake wamuambie aombe msamaha, kama nyinyi Waislaam hamkutanabahi mnatagemea nani aje kutanabahi?

Hebu muombeni msamaha ninyi watu, mnankasirisha.
 
Tanzania hakuna shaka tumeonewa sana, lakini tumeonewa tu, kwa weakness zetu. Mbona Ithnasharia hawaonewi, nyie pigeni kelele wao wanapeta, mbona mabohora hawaonewi, nyie pigeni kelele wao wanapeta, ,bona mbaniani hawaobewi? nyie pigeni kelele wao wanapeta.

Uislaam si unafik. Mpaka leo unafik wa Waislaam upo Kariakoo, kuna Masjid Manyema, kuna Masjid Wamanga (ibadhi) kuna Masjid Makonde. Mbona sijaona Kanisa Makonde wala Kanisa Sukuma? kama si unafik ni nini?

Kuweni Waislaam.
 
Back
Top Bottom