Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Ujumbe wangu ni kwa "Mohamed Said", na wewe siyo "Mohamed Said". Hata hivyo, kwa kukumbushana tu, nasubiri video ya "Mohamed Said" akitoa mchango wowote kwa lugha ya Kiingereza kwa mbwembwe zake zote kama anavyoandika kwenye "Papers" na "Vitabu" vyake akitumia lugha hiyo.

Hii ni Open Forum, ungetaka usijibiwe na mimi ungetumia kifungo cha kum "PM". Jifunze kutumia hii "forum" kiukamilifu wake.

Ubandike tangazo lako ukumbi wa wazi halafu useme hii ni Mohamed Said tu?

Unaweza google, zipo nyingi tu.
 
Kama una access na video yoyote ya "Mohamed Said" akichangia maada kwa lugha ya Kiingereza tuwekee hapa, kama hunayo kaa kimya!
 
Kama una access na video yoyote ya "Mohamed Said" akichangia maada kwa lugha ya Kiingereza tuwekee hapa, kama hunayo kaa kimya!

Nikuwekee hapa wewe kama kama nani? kama hujui pakuipata wewe ndio ukae kimya, tushakueleza namna ya kuipata bado unataka uwekewe hapa. Unanchekesha, kadeke kwenu huko hapa hadekezwi mtu.
 
Nikuwekee hapa wewe kama kama nani? kama hujui pakuipata wewe ndio ukae kimya, tushakueleza namna ya kuipata bado unataka uwekewe hapa. Unanchekesha, kadeke kwenu huko hapa hadekezwi mtu.

Wee huna jipya. Kaa pembeni tu. Nitamsubiri "Mohamed Said" ajibu hoja yangu.
 
Huna hoja una viroja.

While you're at it, why not take the time to show us any video of "Mohamed Said" akihutubia kadamnasi yoyote kwa Kiarabu fasaha, lugha ya Quran? All that craptalk about "Mfumo Kristo" anayodai "kuandika" kutumia lugha ya Kiingereza, kwa faida ya nani? Kwa nini hakuandika hiyo "Biography of Abdulwahid Sykes" kutumia Kiswahili au Kiarabu ili ujumbe uweze kuwafikia "umma" mkubwa zaidi wa Kiislamu?
 
Ndjabu,

Maalim wangu Sheikh Haruna (Mungu amrehemu) amenifunza anasema ukiwa katika mnakasha na mtu kisha ukaona ameghadhibika basi wewe ondoka kwani litakalofatia ni shari anaweza akakutoa ngeu.

Nami nakuona ushapandisha hamaki "craptalk" yote haya ya nini ndugu yangu (sina haja ya kufanya fasiri ya neno hili).

Waungwana hawatukanani katika mazungumzo.

Endapo ghadhabu zako zitapoa na utapenda kurudi tena katika mstari kwa ustaarabu Insha Allah ahlan wasaalan.
Nakukaribisha.

Mohamed
 
Jibu hoja "Mohamed Said", siyo unaanza kuleta la kuleta! Weka ushahidi wowote kuhusu madai yangu hapo juu, kwa maana ya kutuwekea video zinazoonyesha michango au mchango wako kwa lugha za Kiingereza na Kiarabu kwenye mikutano, warsha au chochote kile unachodai kuhudhuria au kualikwa kama "Mohamed Said" ndani na nje ya nchi.

Pia si vibaya kama ukitufahamisha iweje uitwe "Mohamed Said" tu? Jee, ni sababu gani zinazokufanya hadi uamue kutojitambulisha kwa jina lako la ukoo au la kikabila kama Watanganyika waliyo wengi?
 
Hili kwangu ni jambo la akida.
Huwa nasimamisha mnakasha ninapohisi mwenzangu amekasirika.

Tulia kwanza.

Mohamed
PS: Haifai kuanza siku kwa kisirani.
Mohamed
 
Ndjabu,

Hili kwangu ni jambo la akida.
Huwa nasimamisha mnakasha ninapohisi mwenzangu amekasirika.

Tulia kwanza.

Mohamed
PS: Haifai kuanza siku kwa kisirani.
Mohamed

Acha hizo "Mohamed Said". Una maana gani kwa kusema "ninapohisi mwenzangu amekasirika?" Kisirani kwa maana gani? Hiyo ndiyo "measure of objectivity"unayotumia kwenye maandishi yako ya "Kisomi?" Kama kweli wewe ni Mwanazuoni aliyekubuhu unayedai kuwa ndiyo, basi sipaswi kukukumbusha kuwa hoja hujibiwa kwa hoja.
 
Acha hizo "Mohamed Said". Una maana gani kwa kusema "ninapohisi mwenzangu amekasirika?" Kisirani kwa maana gani? Hiyo ndiyo "measure of objectivity"unayotumia kwenye maandishi yako ya "Kisomi?" Kama kweli wewe ni Mwanazuoni unayedai kuwa ndiyo, basi sipaswi kukukumbusha kuwa hoja hujibiwa kwa hoja.

Punguza ghadhab.
 
Ukiniluiza mimi kama wewe kweli ndiyo Mwandishi wa hivyo vitabu na "papers" kwenye lugha ya Kiingereza, nitapinga kabisa. Vyote hivyo ni ghostwritten kwani uwezo huo wa Uandishi na Usomi huna Mohamed Said. Navyoweza kusema kazi ulizoandika mwenyewe ni simulizi kwa lugha ya Kiswahili kama zile zinazochapishwa kwenye gazeti la "Mwananchi". Narudia tena, wewe si lolote bali ni intellectual imposter tu na mpotoshaji tu.

Ndjabu,

Umenipa heshima kubwa sana kwa kusema hizo kazi haziwezi kuwa zangu ni kazi nilizoandikiwa. Hilo la kwanza. Pili huamini kama nina uwezo wa kuandika kwa Kiingereza.

Hitimisho ni kuwa wapo "ghost writters" walofanya kazi hiyo.
Alhamdulilah.

Sikuwa najua kama hii ndiyo darja aloniweka Allah kuwa itafika siku watu watanisoma kisha wakatae wasema huyu si Mohamed Said huyu anaandikiwa na watu wajuzi.
Alhamdulilah.

Nkrumah alipatapo kuambiwa hivyo kuwa vitabu vyake anaandikiwa na "ghost writers" utafiti ukafanywa.
Ikagundulika si kweli.

Sitokuambia wewe ufanye utafiti ila nitakupa kauli yangu moja.

Vyote hivyo ni mkono wangu mwenyewe.

Mohamed Said

PS: Namuona masikini marehemu mama yangu Mwanaidi bint Mohamed ananambia, "Mohamed we kalia huo mpira uone utakupaleka wapi unaacha kushika kitabu hapo ukasoma kutwa kwenye mpira" (wakati ule kijana mdogo hamu yangu nije kuvaa jezi ya Sunderland (Simba) kisha timu ya taifa). MS
 
.................Watu wote wanaolalamikiwa na Mohamed Said kuwa walisahauliwa, wengi wao walikuwa wakazi wa Dar es Salaam eneo la Gerezani.............

ambao ni Mamluki..........na Brother MS ni uzao wao..........ni grudges tu zinaendelea hapa..........its very clear.......
 
Ndiyo maana nilimueleza mohamed said kama anataka kuendekeza makundi makundi basi ajikite kwenye Ukabila na koo na sio dini. Hakuna sehemu afrika watu walipigania uhuru kwa misingi ya Dini. Hata Matatizo yaliyopo somalia yenye 99.9% muslim na historia yake imejengeka kikoo na sio kidini.

Lakini Mohamed said anajua akiongela propagangda za wamanyema, wazaramu kutengwa na Nyerere hatapa kile anachokitaka. Anaamua kutumia dini ili aguse hisia zaa wale wa kigoma tbora lindi mwanza kagera. Lkini Mohamed said sidhanikama kweli anataa kusimaia historia ya historia ya waislam wa kigoma, Tabora, kagrea na Kwingineko.

Kama ni kundi au jamii ya watu wanatakiwa kuwa wa kwanza kumnyoshea Nyerere Kidole basi ni wale machief wa makabila na mila mbali mbali alizovunja. Lakini hilo halina nguvu sababu wote tunazijua.

@ Swali kwa Mohmed said
Je

  • Ulikuwa uamauzi mzuri kufutiliaa mbali tawala za machief wa mila na tamaduni mbali mbali za Tanzania ?
  • ilikuwa sahii serikali kufuta mfumo wa sheria za tawala za machief hawa kama kina kuwa na mahakama zao?
Ndiyo maana kila siku Namuuliza Mohamed Said kwamba yeye ni Mmanyema? Ananuna!!! Mimi tangu mwanzo nimefuatilia kuna kikundi fulani cha baadhi ya wamanyema wana ajenda yao ambayo siielewi lakini kwa bahati mbaya wanaipitishia kwenye Uislamu. Asilimia kubwa ya wale wanaoisimamia hii hoja ya Nyerere kuwagandamiza Waislamu mara baada ya Uhuru wengi wao (siyo wote) ni wamanyema.
 
Likija suala la Uislaam hakuna Mmanyema wala Mpogoro.
 
1) Naamini kwa Kreist umemaanisha kina Kleist kama ndio sawa basi huyo Abdul Wahid ni Kleist pia.

2) Waliojulishwa kama wawakilishi wa kanisa, maarufu sana ni Nyerere na ndio maana kwa sasa kawa mwenye "heri" na anaelekea kwenye "utakatifu", kwa kulitumikia kanisa.
Ally Hassan Mwinyi ni Alhaji kwani alipokuwa Rais wetu alikuwa anawakilisha Waislamu!!
 
Naamini nikikuwekea miji hii hapa ndiyo nitakufukuza kabisa utasema, "Hakika mtu huyu kafuzu kwa uongo." Ilimchukua "Immigration Officer" mmoja zaidi ya saa moja kupekua pasi yangu na kujiridhisha kuwa nilikuwa msafiri wa kawaida tu napita na safari zangu.

Kanambia watu hawasafiri namna hii. Hiyo ni zaidi ya miaka 25 iliyopita na nilikuwa bado mtoto sana. Kitabu cha maulid kila mtu anataka kunisoma.

Mohamed

Mohamed
Alidhani wewe ni Gaidi nini au alidhani ni Mpelelezi wa wakomunisti. lakini hayo ya kusifiwa kusafiri sana hayana maana unasafiri kwa tija na watu wenye kutaka kusikia hoja mpya duniani si haba hata kama hoja hizo hazina mashiko.
 
Mohamed Said kuna swali nataka kukuuliza, lakini kabla ningependa kujua kama hii profile inayopatikana hapa ni yako?

Mohamed Said Salum Abdallah
Tanzanian transport specialist and author

Positions

Positions listed are those which are held currently or have been held in the past. Dates are given wherever possible. Where there are no dates, positions are ordered alphabetically.

* Principal Marketing Officer - Tanga (1997 - )

* Senior Commercial Officer - Dwell Time Office, Container Term.-Special Duties (1996 - 1997)

* Senior Marketing Officer (1993 - 1995)

* Senior Commercial Officer - Directorate of Operations (1988 - 1992)

* Assistant Insurance Manager - Directorate of Finance (1980 - 1988)

* Insurance Clerk - East African Cargo Handling Services (1972 - 1980)

Selected Works

Where there are no dates, works are ordered alphabetically
Publication

* Terrorism in East Africa: the Tanzanian Experience [Conference Papers, 2006]
Paper presented at the conference on Islam, Terrorism and African Development, University of Ibadan, 8th - 10th February 2006

* The Torch on Kilimanjaro [Children's Literature, Oxford University Press, Nairobi, 2006]

* Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 - 1995) [Conference Papers, 2004] (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004)

* Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 - 1968) [Conference Papers, 2004]
(Paper presented at Youth Camp organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February - 4th March 2004)

* Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa 'Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 - 2000' [Conference Papers, 2003]
(Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th - 17th 2003)

* The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle [Conference Papers, 2003]
(Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003)

* Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza [Non-fiction book, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002]

* The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika [Non-fiction book, Minerva Press London, 1998]

* Tanzania - The "Secular" Unsecular State [Journalistic essays, Change (Dar es Salaam), 1995]

* The Plight of Tanzanian Muslim [Journalistic essays, Change (Dar es Salaam), 1993]

* Islam and Politics in Tanzania [Research Paper, Al Haq International (Karachi), 1989]

* Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement [Research Paper, Africa Events (London), 1988]

* In Praise of Ancestors [Research Paper, Africa Events (London), 1987]

Achievements

Where there are no dates, achievements are ordered alphabetically

* Post-Graduate Diploma in Maritime Studies - University of Wales (1992)

* Certificate of Appreciation for research into political history of Tanganyika - United States Information Services (USIS)

While you're at it, why not take the time to show us any video of "Mohamed Said" akihutubia kadamnasi yoyote kwa Kiarabu fasaha, lugha ya Quran? All that craptalk about "Mfumo Kristo" anayodai "kuandika" kutumia lugha ya Kiingereza, kwa faida ya nani? Kwa nini hakuandika hiyo "Biography of Abdulwahid Sykes" kutumia Kiswahili au Kiarabu ili ujumbe uweze kuwafikia "umma" mkubwa zaidi wa Kiislamu?

Hapa maswali ni mawili tu na si lazima ajibu Mohamed Said ila kama atapenda kufanya hivyo yeye mwenyewe nitashukuru sana au kama atatokea mtu anayeweza kujibu kwa niaba yake pia itakuwa sawa;
  • Je Mohamed Said mwandishi wa historia ya kweli ndiye huyo kaelezwa hapo juu ?
  • Je ushahidi wa video wa Mohamed Said unaweza kupatikana akishusha hizo nondo zake kwa kiingereza na kiarabu huko ughaibuni ?
Ni hayo tu kwa sasa.
 
Mwenyewe ansema hivi, kule ulipokimbia:

user-online.png
Mohamed Today 06:14 #1473

Ndjabu,

Umenipa heshima kubwa sana kwa kusema hizo kazi haziwezi kuwa zangu ni kazi nilizoandikiwa. Hilo la kwanza. Pili huamini kama nina uwezo wa kuandika kwa Kiingereza.

Hitimisho ni kuwa wapo "ghost writters" walofanya kazi hiyo.
Alhamdulilah.

Sikuwa najua kama hii ndiyo darja aloniweka Allah kuwa itafika siku watu watanisoma kisha wakatae wasema huyu si Mohamed Said huyu anaandikiwa na watu wajuzi.
Alhamdulilah.

Nkrumah alipatapo kuambiwa hivyo kuwa vitabu vyake anaandikiwa na "ghost writers" utafiti ukafanywa.
Ikagundulika si kweli.

Sitokuambia wewe ufanye utafiti ila nitakupa kauli yangu moja.

Vyote hivyo ni mkono wangu mwenyewe.

Mohamed Said

PS: Namuona masikini marehemu mama yangu Mwanaidi bint Mohamed ananambia, "Mohamed we kalia huo mpira uone utakupaleka wapi unaacha kushika kitabu hapo ukasoma kutwa kwenye mpira" (wakati ule kijana mdogo hamu yangu nije kuvaa jezi ya Sunderland (Simba) kisha timu ya taifa). MS
 
Mkuu mbona majina yote ya wale waliosilimu ni ya kiasili? hawa hawakuwa na dini kabla ya hapo kama ndugu zao Wakristu ambao hawakusilimu?...
Nitaweka majina yao ya kiasili inshaalah!!
 
Back
Top Bottom