Mr. Right!
Huko nyuma, kwenye thread hii umeishashauriwa kuwa usikurupukie maongezi. Nguruvi3 alikwambia haya ni maji mazito. He was right japo ulimpuuza. Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana. Jifunze. Kama hutaki kujifunza kwetu, basi jifunze walau kwa mdondoaji na Mohamed Said. Hawa tunakuwa na mtazamo tofauti lakini wanajitahidi sana ukilinganisha na wewe.
Umedai ni tusi kwa watu wa pwani kumwita mtu BABA kama sio baba mzazi. Hapo ulichemsha, period. Na indirectly ukawa umemtukana MS. Nimejaribu kukueleza jinsi neno Baba wa Taifa (Father of the Nation) lilivyotumika kama "Founding father", hujaelewa, umeenda ku-google kama lilivyo na kukutana na mambo ya wamarekani, na sasa unadai neno "father" lina principles za kikristo. Labda nikuulize tena; Umesoma shule gani wewe????!!!??
Sasa nakueleza tena, neno "founding" limetokana na verb "found". Found could be past participle of find.
Found (verb) also means to start something, to establish something...
To found something=kuanzisha, kuasisi;
Founder=muasisi, muanzilishi...
Nyerere is the founder of this Nation, He is the founding father of this nation
Na kwa lugha yenu ya pwani, Nyerere ni Baba wa Taifa.
Natamani uelewe lakini sasa nimeingiwa na wasi wasi na uelewa wako.
Unajua saa nyengine unaposema neno kuwa na point. Huyo kaka yako Nguruvi3 nilikuwa namwambia anaandika maneon mengi bila ya mpangilio mpaka inafikia hatua ya kusinzia unaposoma maandiko yake.
Pili, nimekutolea mfano kutoka kwa Marekani maana kamili hili neno. Wewe unasoma maana ya founder lakini hujui maana kamili kwa nini imetumika hilo neno la father. Bado umeshikilia ni muasisi. Lakini unashindwa kuelewa connection kati ya religion ideal na utumikaji wa hili neno la " Baba wa Taifa" Hiyo ndiyo toafauti kati yako wewe na mimi.
Unauliza nimesoma shule gani?? nimesoma na ninasoma ktk better University than your Tumaini University.