Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Mr. Right!
Huko nyuma, kwenye thread hii umeishashauriwa kuwa usikurupukie maongezi. Nguruvi3 alikwambia haya ni maji mazito. He was right japo ulimpuuza. Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana. Jifunze. Kama hutaki kujifunza kwetu, basi jifunze walau kwa mdondoaji na Mohamed Said. Hawa tunakuwa na mtazamo tofauti lakini wanajitahidi sana ukilinganisha na wewe.

Umedai ni tusi kwa watu wa pwani kumwita mtu BABA kama sio baba mzazi. Hapo ulichemsha, period. Na indirectly ukawa umemtukana MS. Nimejaribu kukueleza jinsi neno Baba wa Taifa (Father of the Nation) lilivyotumika kama "Founding father", hujaelewa, umeenda ku-google kama lilivyo na kukutana na mambo ya wamarekani, na sasa unadai neno "father" lina principles za kikristo. Labda nikuulize tena; Umesoma shule gani wewe????!!!??

Sasa nakueleza tena, neno "founding" limetokana na verb "found". Found could be past participle of find.
Found (verb) also means to start something, to establish something...

To found something=kuanzisha, kuasisi;
Founder=muasisi, muanzilishi...
Nyerere is the founder of this Nation, He is the founding father of this nation
Na kwa lugha yenu ya pwani, Nyerere ni Baba wa Taifa.

Natamani uelewe lakini sasa nimeingiwa na wasi wasi na uelewa wako.

Unajua saa nyengine unaposema neno kuwa na point. Huyo kaka yako Nguruvi3 nilikuwa namwambia anaandika maneon mengi bila ya mpangilio mpaka inafikia hatua ya kusinzia unaposoma maandiko yake.

Pili, nimekutolea mfano kutoka kwa Marekani maana kamili hili neno. Wewe unasoma maana ya founder lakini hujui maana kamili kwa nini imetumika hilo neno la father. Bado umeshikilia ni muasisi. Lakini unashindwa kuelewa connection kati ya religion ideal na utumikaji wa hili neno la " Baba wa Taifa" Hiyo ndiyo toafauti kati yako wewe na mimi.

Unauliza nimesoma shule gani?? nimesoma na ninasoma ktk better University than your Tumaini University.
 
Ujamaa umeshindwa; WTZ wakaukataa. Nchi imebadilika haitaki kufuata tena mambo yote aliyofanya Mwalimu Nyerere.
Maisha kwa MTZ yalikuwa magumu wakati wa Mwalimu Nyerere.

Hivi kwanini hawa ndugu zetu Wakristo wanampa Mwalimu Nyerere U-Saint "utukufu"? wakati nchi ilishindwa vibaya kuichumi?

Je aliwafanyia nini mpaka wampe U-Saint?
 
Hizo nukuu kwenye comment No #2543 kweli zinaonyesha utata wa histtoria inayosimuliwa na MS.

Historia hii imeweka documented evidence undisputed ...

Ukitaka ku-dispute hii historia unatakiwa ulete documented evidence ku-prove otherwise

Na ipitie kwenye peer review journal kama hii ya Mohammed..

Mpaka hapo sijaona anayejitahidi kufanya hivyo zaidi ya kulazimisha kwa mistari miwili mitatu..

Mohammed endelea kutupa nondoz
 
Ujamaa umeshindwa; WTZ wakaukataa. Nchi imebadilika haitaki kufuata tena mambo yote aliyofanya Mwalimu Nyerere.
Maisha kwa MTZ yalikuwa magumu wakati wa Mwalimu Nyerere.

Hivi kwanini hawa ndugu zetu Wakristo wanampa Mwalimu Nyerere U-Saint "utukufu"? wakati nchi ilishindwa vibaya kuichumi?

Je aliwafanyia nini mpaka wampe U-Saint?

Alisaidia sana kanisa lake akiwa rais wa Tanzania..24yrs hakuna tena rais wa nchi yoyote duniani aliyesaidia kanisa kama yeye..anastahili u-saint papa ok
 
Ujamaa umeshindwa; WTZ wakaukataa. Nchi imebadilika haitaki kufuata tena mambo yote aliyofanya Mwalimu Nyerere.
Maisha kwa MTZ yalikuwa magumu wakati wa Mwalimu Nyerere.

Hivi kwanini hawa ndugu zetu Wakristo wanampa Mwalimu Nyerere U-Saint "utukufu"? wakati nchi ilishindwa vibaya kuichumi?

Je aliwafanyia nini mpaka wampe U-Saint?

Alisaidia kanisa lake kuwa linachota mafedhwa bila ya kipimo wakati wa utawala wake. Alipokuja mzee mwinyi wakawekewa mkataba wawe wanachukua Billioni 60 tu! JK kawaongezea sasa hivi wanapewa Billioni 91 unafikiri wataacha kumpa usaint!!!!! Lowassa katoa milioni 12 tu askofu anampigia debe kuwa Lowassa ni mtu safi sembuse nyerere aliyekuwa anawapa mabilioni yasiyohesabika wakati wa utawala wake? Ndio maana utawaona mapovu yanawatoka kutetea wizi na unyonyaji nchini huku nafsi zao zikiwasuta. Wacha niendele na historia ya Mkwawa mie maana sijaona point hata moja ya maana inayotolewa na Mag3, Nguruvi na wenzie ndio maana sijishughulishi kujibu kitu.
 
Unajua lazima utofautishe kwamba kuna watu wanaita "Baba" kwa heshima, na kuwa wale wanaita "Baba" as Saint "Mtukufu"

Nyerere anaitwa "Baba" as Saint, na hii ni Christian Ideal ambayo inamfanya yule mtu aitwe atukuzwe kama "Saint" "Mtukufu"

Umeshindwa kuonesha uungwana kwa kufuta kauli yako na hapa chini hii ni "christian ideal"?

Kuna...

  • Sheikh Zayed bin Sultan al-Nahyan who was the President of the United Arab Emirates was frequently referred to as the father of the nation.
Source: Mohammed Bin Rashid Al Maktoum (2005) Gulf News - 02 November 2005 See ::Welcome to Zayed Prize International::

Pia kuna hawa,
  • Ahmad Shah Durrani baba wa taifa wa Afghanistan.
Source: Singh, Ganda (1959) Ahmad Shah Durrani: Father of Modern Afghanistan Asia Publishing House, London,
  • Sheikh Mujibur Rahman baba wa taifa (a.k.a Bangabandhu) wa Bangladesh.
Source; Dr. Mozammel H. Khan (2007) Sheikh Mujib: The Father of the Nation.

Bahati mbaya kwako ni kwamba tunaweza kurudi katika post yako na kusoma tena na tena ulichoandika.

Ujamaa umeshindwa; WTZ wakaukataa. Nchi imebadilika haitaki kufuata tena mambo yote aliyofanya Mwalimu Nyerere.
Maisha kwa MTZ yalikuwa magumu wakati wa Mwalimu Nyerere.

Hivi kwanini hawa ndugu zetu Wakristo wanampa Mwalimu Nyerere U-Saint "utukufu"? wakati nchi ilishindwa vibaya kuichumi?

Je aliwafanyia nini mpaka wampe U-Saint?

Acha kuchanganya mambo hii inaonyesha alili za chuki mpaka unahama kwenye hoja
  • Mambo ya usaint ni utaratibu wa wakatoliki sio wa wakristu wote. Sasa sijui hapa kwenye siasa inakuje.
  • Sabau ya ushabiki na chuki zisizo na hoja unaaza kuhusanisha mambo ya dini na ya uchumi. Very Low
  • Ukitaka kujua Nyerere alifanya nini mpaka kuingizwa kwenye mchakato wa wakatoliki basi fungua uzi mpya .
 
Kigarama tunaendelea kuhusu Mkwawa,

Malavanu Mwambalinga mtawala wa kaskazini mashariki mwa Uhehe kwa kushirikiana na baadhi wanaukoo wa karibu na Munyigumba walimshauri Mkwawa arudi nyumbani kupambana na Mwambambe. Hapo pakaanza mapambano ya utawala na majeshi ya Mkwawa na Mwambalinga yakashinda na kumuangusha Mtumbikavana. Mkwawa akajenga ngome yake ya kwanza Kalenga dhidhi ya mahasimu wao wakuu ambao walikuwa Wangoni waliotoka katika kabila la wazulu South Africa na kuhamia Kusini mwa Tanzania. Baada ya muda Mwambambe aliuwawa na baadhi ya wafuasi wake na Mkwawa na ilipofika mwaka 1883 Mkwawa alikuwa mtawala wa wahehe ambaye hakuwa na mpinzani kutoka miongoni mwa wahehe.

Vita vya wangoni vilidumu hadi mwaka 1881 ambapo watawala wa makabila haya mawili (Wahehe na Wangoni) waliwekeana makubaliano kuwa hawatapigana tena. Hata hivyo makubaliano hayo hayakudumu kwani wajerumani kwa kutumia ushawishi kwa wasangu waliweza kuwashawishi kuwa wapigane na wahehe. Hii ilikuwa baada ya wahehe kuvamia misafara ya biashara iliyokuwa ikipita kwa Sangu. Wasangu wakisaidiwa na wajerumani wakawa wanapigana dhidi ya Wahehe waliokuwa wakisaidiwa na waarabu na waswahili. Mkwawa aliwahi pia kupigana na wamasai na wagogo maeneo ya Ruaha, Usagara na Mpwawa. Hadi mwaka 1880 Wahehe walikuwa wakivamia misafara ya biashara inayopita maeneo ya Mpwapwa hadi Kondoa. Wao na wamasai walikuwa wakijulikana kama wavamizi maarafu maeneo hayo (A.Schynse, 1890).

Wahehe walikuwa wakifanya biashara sana na waarabu na waswahili kutoka Kondoa na Kilosa. Walijenga ukaribu na utamaduni wa karibu na waswahili na waarabu kiasi kwamba jambo likitokea pwani ya Tanganyika basi habari huwafikia wahehe siku hiyo hiyo (Hadithi za Tip Tip (Hamid bin Muhameed Al-Murjebi a.k.a Tip tip), 1958 and 1959 edition). Hata alipouwawa Abushiri 1888 habari zake zilimfikia kwa haraka Mkwawa.

Arguments kwanini Mkwawa anaweza kuwa mwislamu. Kwanza inasemekana baada ya kugundua Wajerumani walikuwa wanawaua waafrika Mkwawa alianza kujenga ngome za kujilinda mwenyewe. Akili ya kujenga ngome ilikuwa baada ya kupita kwa Wanyamwezi ambao walijukana kuwa na ukaribu mno na waarabu na waswahili kitabia. Wanyamwezi walijulikana kuwa wengi ni waislamu na kutokana mila na desturi zao Mkwawa alipendezewa na mila hizo pamoja na teknolojia yao kujenga ngome ya mawe (Alison redmayne, 1968). Vile vile wajerumani walipovamia maeneo ya wagogo mfanyabiashara maarufu anayejulikana kama Mohamed Ibn Khalfan a.k.a Rumaliza alikimbia na kuhamia kwa wahehe ambapo alijenga urafiki wa undugu na Mkwawa na kuwa ndugu walioshibana (B.g. Martin, 1969). Rumaliza licha ya kuwa alikuwa mfanyabiashara mkubwa vile vile alikuwa kiongozi wa daawa (mtangaza dini) na vile vile mfuasi wa tariqa ya Qadiriyya. Tariqa ya Qadiriyya walikuwa wakitangaza dini mikoa ya kati ya Tanganyika tangu karne ya 18 na 19 na walikuwa wana wafuasi mbali mbali uhehe. Wanahistoria wanahitilafiana kuhusu wahehe na uislamu wakati baadhi yao wanasema kuwa wahehe wengi wanadai walikuwa waislamu wakati wengine wanasema hapana walikuwa wanapenda kuvaa mavazi ya waswahili (Kathleen M Stahl, 1961). Vile vile 7 August , 1963 Bonifas mtoto wa Mkwawa alisema kuwa Mkwawa alimtuma Mtaki kwenda pwani kujifunza ufundi na mila na desturi za waarabu na waswahili pwani. Isitoshe alipiga marufuku kulia katika msiba, alikataa kuonana na wamissionari na wajerumani but alikuwa karibu na waarabu na waswahili (Alison Redmayne, 1968).

Nitarudi siku nyengine kutoa argument nyengine zinasupport mtazamo wa kwanini Mkwawa anaweza kuwa alikuwa mwislamu na vile kumalizia arguments zinapinga madai ya kuwa Mkwawa hakuwa mwislamu Tunaendelea Kigarama
 
Ujamaa umeshindwa; WTZ wakaukataa. Nchi imebadilika haitaki kufuata tena mambo yote aliyofanya Mwalimu Nyerere.
Maisha kwa MTZ yalikuwa magumu wakati wa Mwalimu Nyerere.

Hivi kwanini hawa ndugu zetu Wakristo wanampa Mwalimu Nyerere U-Saint "utukufu"? wakati nchi ilishindwa vibaya kuichumi?

Je aliwafanyia nini mpaka wampe U-Saint?
Mr. Right,
Sio Urais utakaompa U-Saint Mwalimu. Hili tungewaachia Wakatoliki wenzake wanaofahamu mchakato wake ukoje. Sisi tujikite kwenye historia ya nchi yetu nje ya IMANI zetu. Hakuna aliyedai uhuru wa nchi hii kwa kutumwa na DINI yake. Ndio maana hata wazee wa Mohamed walichanganya na UGAGULA kwenye harakati hizi.
 
WC,

Nishakueleza mara nyingi sana jitulize utajifunza mengi kutoka kwangu.
Lakini na sijui ni kitu gani kinakufanya uwe hivyo.

Umejaa kejeli.

Hii si hulka nzuri.
Tabia nzuri ni silaha utapendwa popote.

Unadhani hivyo kwa kutoa kejeli ndiyo kupambana na kitabu changu?

Mohamed
 
Umeshindwa kuonesha uungwana kwa kufuta kauli yako na hapa chini hii ni "christian ideal"?

Kuna...
  • Sheikh Zayed bin Sultan al-Nahyan who was the President of the United Arab Emirates was frequently referred to as the father of the nation.
Source: Mohammed Bin Rashid Al Maktoum (2005) Gulf News - 02 November 2005 See ::Welcome to Zayed Prize International::

Pia kuna hawa,
  • Ahmad Shah Durrani baba wa taifa wa Afghanistan.
Source: Singh, Ganda (1959) Ahmad Shah Durrani: Father of Modern Afghanistan Asia Publishing House, London,
  • Sheikh Mujibur Rahman baba wa taifa (a.k.a Bangabandhu) wa Bangladesh.
Source; Dr. Mozammel H. Khan (2007) Sheikh Mujib: The Father of the Nation.

Bahati mbaya kwako ni kwamba tunaweza kurudi katika post yako na kusoma tena na tena ulichoandika.

Mgalanjuka,

Ni vizuri sana ukajua ili kuitwa baba wa Taifa ni lazima uwe umelifanyia makubwa sana taifa husika sio tu katika uhuru wake bali pia kuinua hali halisi ya kiuchumi wa taifa husika.

Hawa wote uliowataja walijitolea kwa hali na mali zao zote ikiwa pamoja na kupambana na kuhakikisha kuwa watu wao walikuwa huru sio tu kiutawala bali pia uchumi wao kuwa huru.

Hebu pitia habari zao kila mmoja.

Nikirudi kwa Nyerere.

Labda tumuangalie je alitoa mali yake kuhakikisha Tanganyyika inakuwa huru? Je alitoa nini kuchangia uhuru huo wakti Tanganyika ilipewa uhuru wake ofisini.

Je ni yeye alianzisha vuguvugu la Uhuru Tanganyika? Je wale waliompa hifadhi kwa kutoa nyumba zao yeye kuweza kuishi na familia yake? Je wale waliotoa nyumba zao kuzifanya ofisi za Tanu na kumbi za mikutano? Je wale waliohakikisha anapata mahitaji yake yote pale alipo amua kuacha kazi? Vipi wale ambao walijitolea fadha zao kuhakikisha wanampatia tiketi ya kwenda UNO kudai uhuru? Je hao watakuwa sio Babu wa Taifa. Kwani Nyerere kama mfadhiliwa akiitwa Baba basi hao waliomfadhili katika hizo harakati nao watakuwa Mababu wa Taifa.

Suala la kujiuliza hapa kwanini hao wote wasipewe heshima hizo husika anapewa yule tu aliyefadhiliwa? naomba mtafakari hapo.

Hata wewe umenasa kwenye huo mtego wa watu wa Kivukoni, Kwani unaposema "Tatizo ni kuwa vita vyote vilipiganwa TANU office,New street na vilianza khasa 1950 na Nyerere kavikuta katikati............" una maanisha nini?

Gwalihenzi,

Maana yangu ni hii mipango yote ya kupambana na Waingereza ilifanyika pale na nyaraka zipo ukipenda fanya utafiti na wewe.

Kama huoni tabu naweza nikaweka darsa la hayo kuanzia mwaka 1950 nini kilifanyika pale.

Kwa haraka haraka angalia hapo chini hivyo vichwa.

Humo ndani nimeeleza harakati zilizokuwapo pale New Street ofisi ya TAA na nimetumia Nyaraka za Sykes na nyaraka kutoka Tanzania National Archives (TNA ) pamoja na mahojiano.

Ikiwa kipo kitu kingine sawa na hiki nje ya Dar es Salaam na kiwekwe hapa tutakisoma Insha Allah:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] · The Tanganyika African Association, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] · TAA Political Subcommittee, 1951 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] · Tanganyika as a Mandate Territory [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] · Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] · TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 744, bgcolor: transparent"] · The Meru Land Evictions, 1950
Nakuwekea na footnotes hapa chini ziweze kukusaidia ikiwa utapenda:
[1] Information from Dossa who was witnessto the fracas. [1] Information from Dossa Aziz interviewed in1987. Also see Iliffe, ‘A Modern History...’pp. 507-508. Mtamila survived the turmoil and was the elder politician whowelcomed John Hatch of the Labour Party of Great Britain when he visitedTanganyika in 1955 as guest of TANU. [1] Annual Report of the Secretary ofTanganyika African Association, 7 January, 1951. Sykes' Papers. [1] For a detailed discussion on thesubject see Cranford Pratt, The CriticalPhase in Tanzania 1945-1968, Cambridge University Press, London, 1976, pp. 29-31. [1] Ibid p. 30.[1]Theauthor was for the first time informed of the existence of this document by oneof Mwapachu's children, Juma Volter Mwapachu. He was informed that Mwapachutook great pride in having participated in the drafting of this document. Inher book Listowel mentioned this document and its historical significance tothe political history of Tanganyika. But it was Pratt who analysed the documentin detail. The document was first consulted by Pratt in 1959 in a file of theCommittee on ‘Constitutional Development Report/and Despatches to the Secretaryof State’ no. 1146-6, Dar es Salaam Secretariat Library. Although this file isavailable at the Tanzania National Archives, the document is missing. The author was informed that a microfilm ofthe document was available but that too could not be traced. For moreinformation on loss of historical documents see M. Said, ‘In Praise ofAncestors Revisited’ in Africa Events,London March, 1989, pp. 50-51. [1] Annual Report of the secretary of TAA,ibid. [1] Pratt op. cit. p. 30. [1] Thereare old men, TANU veterans, who believe to this day that the March 1955 speechby Julius Nyerere before the Trusteeship Council was written by Abdulwahid, andso was the constitution of Tanganyika. The author has come across this storyseveral times in his interviews with early members of TANU. The reason for thisbelief is that the document was drafted by the TAA Political Subcommitteein 1950.

Mohamed
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Unafiki wetu uko wapi? Au sielewi maana ya neno unafiki? Kuna uhusiano gani kati ya kumwita Nyerere "baba wa Taifa" na kutomwita Mandela baba wa Taifa la A.kusini? Kwani ni lini tumemfanya Mandela kuwa Official reference kwa mambo ya ubaba wa Taifa? Yaani tukiwa tunasifia kikosi cha Taifa stars cha akina Peter Tino, Jela Mtagwa, utasema ni unafiki kwa vile hatujasifia timu ya Afrika kusini? Nyie vipi lakini???

On the other hand, Naomba sincere answer from you:
Hivi unaumiaje Nyerere akiitwa baba wa Taifa? Unasikia uchungu gani? kitu gani kinapungua kwenye mwili wako au maisha yako
?

Nanren,

Kumwita Nyerere baba wa taifa kama kweli alistahikhi swifa hiyo hakuna shida lakini kama hakustahikhi bali wale aliowafadhili kwa aina moja au nyingine ndio waliopenda aitwe hivyo kwa kuwa wapo kwenyye power ni makosa makubwa sana.

Hata mtu akiwa dikteta lazima kuna watu wake aliwabeba na kuwatazama kwa namna moja au nyingine wakimzunguka na kumsifia katika utawala wake kuwa anafanya mema. Na watu hao hata siku moja hawatathubutu kuona mtawala yule dikteta anaondolewa madarakani na hata kama ataamua kuachia madaraka hao hao watu wake watataka azidi kupewa hishima za kutukuka na kukumbukwa.

Nikirudi kwa Nyerere na uhuru wa tanganyika. Hapa cha msingi ni kuwa Tanganyika walipewa uhuru wao ofisini sio kwa mapambano au kuigania kwa vita kama nchi nyingi nyingine ambapo viongozi majemadari wa vita vile ndio waliokuwa viongozi wa kwanza mara baada kumshinda na kumng'oa mkoloni. Kwa tanganyika hakukuwa na rabsha zozote zile.

Nyerere anajulikana fika alikuwa mwl pale Pugu Secondary tena mwl wa kawaida na mwenye kipato cha kawaida sana. Tunakubaliana wazi kuwa yeye sio muasisi wa vuguvugu la uhuru wa Tanganyika. Tukumbuke kuwa kulikuwa na TAA na vyama vingine vya siasa ambavyo vilikuwapo wakti huo na vyote vilikuwa na maofisi yao.

Sasa tuwaangalie hawa wafadhili wa hivi vyama hata TANU, nani alitoa nyumba yake kuwa ofisi ya Tanu? Nani alitoa nyumba yake kuja kukaa Nyerere pale alipoacha kazi na kuhamia Dar es salaam? Nani alihakikisha anapata fedha na mahitaji yake ya kila siku nyumbani kwake na familia yake? Na alihakikisha wanapata fedha na wale waliojitolea fedha zao kuhakikisha Nyerere anakwenda UNO kudai uhuru?

Kumbuka lazima kulikuwa na watu waliojitolea kwa hali na mali kuhakikisha Nyerere anakwenda kudai uhuru na kuisha salama kabisa mpaka ukapatikana uhuru.

Je watu hao waliojitolea mali zao wamepewa hishma gani? Kwanini hishma apewe pekee mfadhiliwa na mfadhili asipewe hishma hiyo? naomba jibu lako hapo.

Labda sielewi maana ya Hishma. Lakini kwa uelewa wangu mdogo ninaona kuwa tunawaenzi na kuwaheshimu wazee wetu wote waliopigania uhuru bila kujali walikuwa na imani gani. Ila si lazima kila mtu aandikiwe details mpaka kusema alikuwa ananunua soko gani na kula mara ngapi kwa siku. Na si lazima kila mtu atajwe, roles walizo-play ndio zinazo-matter na zina-determine kufahamika na kuenziwa kwake .

Hebu nikupe mfano wa familia ya Mfanyakazi wa kawaida ambaye anafanya kazi kwa tajiri-mfanyabiashara. Kwenye familia ya mfanyakazi, mtoto au mgeni analetewa chakula na mke wa huyo mfanyakazi, sasa hapa ni kuwa mtoto baada au kabla ya kula, anamshukuru mama kwa chakula. Lakini hawezi akaanza kumshukuru Mume (Mfanyakazi) kwa kutoa pesa za chakula, mkaa na viungo, halafu amshukuru Mwajiri wa yule Mume kwa kumpa mshahara alioleta Nyumbani, halafu awashukuru wateja wote waliomuwezesha yule mwajiri (mfanyabiashara) na baadaye awashukuru watu wanaowapa pesa hao wateja. Na tena awashukuru wachoma mkaa kwa kuhakikisha mkaa unapatikana... Japo logic inasema lazima kutakuwa na wadau wengine mbali na mama, lakini shukrani kwa mama tu inatosha.

Je unataka kwa kumuenzi Sykes, tumshukuru baba yake kwa kuja Tanzania, tuwashukuru wajerumani kwa kumdhamini kama mamluki, halafu tumshukuru na kiongozi wa ujerumani wakati huo? Mimi nafikiri kwa kumtaja Sykes kuwa alishiriki kwenye vuguvugu la uhuru, inatosha. Tunaweza kuwataja wengi, lakini katika hao tutakao wataja, tukija kwenye "Roles" zao utaona wanazidiana. Na ndipo hapo Nyerere anapowazidi wengine. Yaani hapo kwa Nyerere, hata mmchukie vipi, HAKUNA ATAKAYE LINGANA NAYE kwenye hizo "ROLES". Mnachoweza kukifanya na ndio mnachokifanya ni Kum-demonize tu.

Meanwhile, naomba urejee tena kwenye post yangu pale juu, hujanijibu maswali niliyouliza:
Naomba sincere answer from you:
Hivi unaumiaje Nyerere akiitwa baba wa Taifa? Unasikia uchungu gani? kitu gani kinapungua kwenye mwili wako au maisha yako?
 
Kumwita mtu baba wa Taifa ni lazima awe ameifanyia nchi yake makubwa sana kwani hiyo ni title kubwa sana kwa dahr na dahr. Kumwita kiongozi wa kwanza na muasisi wa uhuru ni swifa sahihi kabisa. ndio maana hata Mandela hajapewa title hiyo.

Lakini hebu tudadavulie Nyerere alifanya role gani kubwa katika uhuru wa Tanganyika? Mind you alikuwa mwl wa kawaida na wa kipato cha kawaida sana. hakuwa na mali wala nyumba ya kukaa huko Dar es salaam na wala pesa za kupanga na kulisha familia yake?

na upande mwingine mwangalie kiuchumi aliisaidia nini tanganyika baada ya uhuru?

naomba jibu lako hapo.

Na huyu (Mohamed Said) ndiyo muasisi wa hoja ya MFUMO KRISTO ambayo waislamu wameishupalia sana nowadays!!! Kuna kitu kimoja kinanishangaza sana!!! Kwanini wanazuoni wa uislam wamepamba moto sana kipindi hiki ambacho Kikwete ni rais na always hoja zao ni za kuvuruga umoja wa kitaifa!!! Mbaya zaidi serikali haijawahi kutoa tamko juu ya wanazuoni hawa( aidha kwa kuwaunga mkono kama wako sahihi au kuwakosoa kama hawako sahihi). Ukimya kama huu wa serikali ulichangia sana RWANDAN GENOCIDE OF 1994.
Shida kubwa ya Mohamed Said ni namna alivyouvaa UISLAMU kwa kila kitu. Anadhani watu waliamka kudai uhuru kwa UISLAMU wao. Hii inampunguzia sana nguvu ya hoja zake nyingi. Kingine kinachomhangaisha ni pale anapojaribu kuandika upya historia ya NCHI hii kwa kuhangaika sana na Mwalimu.
 
Na huyu (Mohamed Said) ndiyo muasisi wa hoja ya MFUMO KRISTO ambayo waislamu wameishupalia sana nowadays!!! Kuna kitu kimoja kinanishangaza sana!!! Kwanini wanazuoni wa uislam wamepamba moto sana kipindi hiki ambacho Kikwete ni rais na always hoja zao ni za kuvuruga umoja wa kitaifa!!! Mbaya zaidi serikali haijawahi kutoa tamko juu ya wanazuoni hawa( aidha kwa kuwaunga mkono kama wako sahihi au kuwakosoa kama hawako sahihi). Ukimya kama huu wa serikali ulichangia sana RWANDAN GENOCIDE OF 1994.

Hardwood,

Historia yetu imeanza mbali sana na haikuwa kazi nyepesi.
Tulianza kupambana na Nyerere toka miaka ya 1970.

Sasa unatusikia hadhir kwa kuwa Waislam wameamka wanadai haki zao.

Mauaji ya Rwanda tafuta chanzo chake.
Haikuwa kwa serikali kukaa kimya.

Chanzo ni jamii moja kujiona bora.
Serikali hii iko kimya kwa kuwa imepwelewa.

Wanaujua ukweli ila hawana bado ujasiri wa kufanya mazungumzo ya kuondoa dhulma.
Wanategemea labda tatizo hili litajiondosha lenyewe.

Mohamed
 
Na huyu (Mohamed Said) ndiyo muasisi wa hoja ya MFUMO KRISTO ambayo waislamu wameishupalia sana nowadays!!! Kuna kitu kimoja kinanishangaza sana!!! Kwanini wanazuoni wa uislam wamepamba moto sana kipindi hiki ambacho Kikwete ni rais na always hoja zao ni za kuvuruga umoja wa kitaifa!!! Mbaya zaidi serikali haijawahi kutoa tamko juu ya wanazuoni hawa( aidha kwa kuwaunga mkono kama wako sahihi au kuwakosoa kama hawako sahihi). Ukimya kama huu wa serikali ulichangia sana RWANDAN GENOCIDE OF 1994.
Serikali ya CCM haiwezi kusema kitu kwa sababu hawa jamaa ndiyo mtaji wao wa kubaki madarakani kwa sasa...!
 
Back
Top Bottom