KALAMAZOO1
Senior Member
- Nov 23, 2011
- 119
- 6
Kwani huyo Mtume Mohamad( SAW) alikuwa Mzaramo, Mkurya? Hiyo mizimu na sanamu ndizo zilikuwa DINI zenyewe Mohamad( SAW) na Yesu Kristo walifanya maboresho tu kama ambavyo akina Mzee wa Upako, Kakobe, Mwingira,..., wanaboresha Ukristo sasa.
Msitusumbue na DINI zenu hizi za kuletewa. Fanyeni haya kama mambo binafsi na Mungu wenu.
Sijasema hazikuwa dini.Kwa nijuavyo mimi Dini maana yake ni njia ya maisha,kwa maana hiyo hata upagani ni dini tofauti ni kwamba dini ya upagani ni kuabudu mizimu na masanamu na hivi ndivyo vinavyo waongoza katika maisha.mojawapo ya madhara ya upangani ni kwamba mwenye nguvu ndio mwenye haki,pale makka waarabu kabla ya Uisalamu walikuwa wanawazika watoto wao wa kike wakiwa hai eti wana mikosi na kuogopa wasiwaletee aibu.sasa kama dini ya namna hii sio ya kijinga tuiiteje? ninakuunga mkono uliposema kuwa Mtume Muahammad aliboresha dini kwani Uislam ndo ilikuwa dini ya mitume waliomtagulia akina Ibrahim,Ismail,Is-haq na wengine.Kama ni hivyo upangani ulikujaje? Binadamu kwa asili ana kawaida ya kutaka short cut pia ni msahaulifu,hivyo kila mara binadamu alipokuwa anaacha ile njia sahihi ya maisha anayoridhia Mungu basi alikuwa akiletwa Mtuma kuwakumbusha wanadamu asili yao ya maumbile na kufuata njia(dini) sahihi ya maisha