Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Kwani huyo Mtume Mohamad( SAW) alikuwa Mzaramo, Mkurya? Hiyo mizimu na sanamu ndizo zilikuwa DINI zenyewe Mohamad( SAW) na Yesu Kristo walifanya maboresho tu kama ambavyo akina Mzee wa Upako, Kakobe, Mwingira,..., wanaboresha Ukristo sasa.
Msitusumbue na DINI zenu hizi za kuletewa. Fanyeni haya kama mambo binafsi na Mungu wenu.

Sijasema hazikuwa dini.Kwa nijuavyo mimi Dini maana yake ni njia ya maisha,kwa maana hiyo hata upagani ni dini tofauti ni kwamba dini ya upagani ni kuabudu mizimu na masanamu na hivi ndivyo vinavyo waongoza katika maisha.mojawapo ya madhara ya upangani ni kwamba mwenye nguvu ndio mwenye haki,pale makka waarabu kabla ya Uisalamu walikuwa wanawazika watoto wao wa kike wakiwa hai eti wana mikosi na kuogopa wasiwaletee aibu.sasa kama dini ya namna hii sio ya kijinga tuiiteje? ninakuunga mkono uliposema kuwa Mtume Muahammad aliboresha dini kwani Uislam ndo ilikuwa dini ya mitume waliomtagulia akina Ibrahim,Ismail,Is-haq na wengine.Kama ni hivyo upangani ulikujaje? Binadamu kwa asili ana kawaida ya kutaka short cut pia ni msahaulifu,hivyo kila mara binadamu alipokuwa anaacha ile njia sahihi ya maisha anayoridhia Mungu basi alikuwa akiletwa Mtuma kuwakumbusha wanadamu asili yao ya maumbile na kufuata njia(dini) sahihi ya maisha
 
mohamed said said:
Fahari,

Mimi sina taarifa kuwa falsafa ya majimaji ilikuwa ya kipagani.
Tafadhali nielimishe.

Mohamed

Mohamed Saidi
Inawezekana mimi historia niliyofundishwa ya nyerere ni ya uwongo na ina makosa. Ebu mwanahistoria tuwagie ilimu ya historia ya vita ya maji maji.
kabla na baada ya mapigano wapiganaji walienda kusali msikiti gani au kanisa gani? kabla na baada ya vita walifanya tambiko gani za dini gani?

Je ni sahihi kumuita mtu mwenye imani tofauti mjinga. Na hili ndi tatizo sugu. Dini za ukirstu na uislam ni kuletwa inakufanya udharau na kukejeli asili yako. Hizi dini mbii kuu ni sehemu ya ukoloni tulioachiwa. kaa ukijua hilo.
Jasusi,

Ahsante kwa mawazo yako.
Mimi naomba kujitoa katika huu mjadala wa upagani.

Waislamu tumeonywa na Allah kuwa tujiweke mbali pale Mungu atakapofanyiwa shere.
Sasa hii ni post yangu ya mwisho kuhusu somo hili.

Tuendelee na historia ya uhuru.

Mohamed

Wewe sio mwana historia . Huwezi kujadili historia huku unakimbia maswali ya msingi. Wewe ni mwanaharakati wa dini. Yaani unataka kuongelea historia huku ukiwana wapagani , tamaduni mila na taratibu za masiha ya watu yaliyo nje ya dini yako. Wewe huyo huyo unamlaumu nyerere kwa kuficha historia. Na wewe mwenyewe unataka uficha historia ya wapagani na wazee wetu sababu tu ya msimamo wa dini yako.

Chagua moja na uwe wazi na mkweli
Waeleze wasomaji wazi wazi unaadika historia ya dini fulani Vs dini fulani. Usitumie kivuli cha hitosria ya uhuru huku unakwepa kujadili historia kama historia na badala yake unajadili dini na unachambua watu na mchango wao kwa mtazamo wa dini.

Umeambiwa toka mwazo hakuna shemu historia ya uhuru barani afrika mchango wake umetokana a dini. Uhuru wa nchi za afrika umetafutwa, umepiganiwa na umepatikana, kwa mchango wa koo makabila, mila na desturi za kijadi.

Fuatilia historia ya kweli ya nchi kama Somalia, libya na hata , Mali nchi zenye zidi ya 90 % ya waislam.

Shame on you umewadhailisha wazee wetu

Tuletee historia ya wamanyema na mchango wao kwenye uhuru tutakuelewa
 
Ogah,

Utafiti kwa kawaida unaongozwa na "general rule" siyo "exceptions."

Ndiyo mara kwa mara nasisitiza watu kusoma hivi vitu na kujua sheria zake.

Kuhusu mzee wetu kwa kweli kuna mengi ya kujiuliza kwani mtu hajinasibu kwa upagani.
Si sifa.

Upagani ni ujinga "jahilia."
Sasa mtu aliyesoma kwa kiwango hicho na kuonekana muungwana vipi atakuwa jahil?
Panatakikana maelezo ya kina.

Mohamed

Ama kweli hizi dini za kuja hazitufai kabisa...kuna wakati nilikuambia Brother MS kuwa wewe una dharau sana...ukasema hapana...ona sasa!!
 
Ama kweli hizi dini za kuja hazitufai kabisa...kuna wakati nilikuambia Brother MS kuwa wewe una dharau sana...ukasema hapana...ona sasa!!

Ogah,

Ikiwa umekusudia kuwa mimi nina dharau kwa hayo maneno hapo juu basi hayo maneno si ya kwangu.
Maneno hayo ni yake mwenyewe Allah SW.

Ila nakuomba kwa hili la upagani tuishie hapa tusije tukajiingiza katika kufru.

Katika maisha yangu nishakutana na mambo ya ajabu kabisa na yamenifunza mengi.

Mohamed
 
Mohamed Saidi
Inawezekana mimi historia niliyofundishwa ya nyerere ni ya uwongo na ina makosa. Ebu mwanahistoria tuwagie ilimu ya historia ya vita ya maji maji.
kabla na baada ya mapigano wapiganaji walienda kusali msikiti gani au kanisa gani? kabla na baada ya vita walifanya tambiko gani za dini gani?

Je ni sahihi kumuita mtu mwenye imani tofauti mjinga. Na hili ndi tatizo sugu. Dini za ukirstu na uislam ni kuletwa inakufanya udharau na kukejeli asili yako. Hizi dini mbii kuu ni sehemu ya ukoloni tulioachiwa. kaa ukijua hilo.

Wewe sio mwana historia . Huwezi kujadili historia huku unakimbia maswali ya msingi. Wewe ni mwanaharakati wa dini. Yaani unataka kuongelea historia huku ukiwana wapagani , tamaduni mila na taratibu za masiha ya watu yaliyo nje ya dini yako. Wewe huyo huyo unamlaumu nyerere kwa kuficha historia. Na wewe mwenyewe unataka uficha historia ya wapagani na wazee wetu sababu tu ya msimamo wa dini yako.

Chagua moja na uwe wazi na mkweli
Waeleze wasomaji wazi wazi unaadika historia ya dini fulani Vs dini fulani. Usitumie kivuli cha hitosria ya uhuru huku unakwepa kujadili historia kama historia na badala yake unajadili dini na unachambua watu na mchango wao kwa mtazamo wa dini.

Umeambiwa toka mwazo hakuna shemu historia ya uhuru barani afrika mchango wake umetokana a dini. Uhuru wa nchi za afrika umetafutwa, umepiganiwa na umepatikana, kwa mchango wa koo makabila, mila na desturi za kijadi.

Fuatilia historia ya kweli ya nchi kama Somalia, libya na hata , Mali nchi zenye zidi ya 90 % ya waislam.

Shame on you umewadhailisha wazee wetu

Tuletee historia ya wamanyema na mchango wao kwenye uhuru tutakuelewa

Fahari,

Ama hilo la mchango wa Wamanyema katika uhuru wa Tanganyika halina wasiwasi nakuomba kwanza usome kitabu changu kisha soma na kitabu cha August H. Nimtz "Islam and Politics in East Africa," University of Miannapolis, 1980 vilevile seminar paper ya Ismail Choka kuhusu Sheikh Mohamed Ramia hii ipo East Africana Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Kwa kunipa mifano ya Somalia, Libya na Mali umenidhihirishia kuwa wewe si mweledi katika mambo haya.

Kuhusu historia ya Majimaji nakuwekea hapa kitu kidogo uone juhudi zilizopitika katika kuivuruga historia hiyo:
ALI SONGEA MBANO

JEMADARI WA VITA VYAMAJI MAJI

Njekidogo ya mji wa Songea kuna kitongoji kinaitwaMahenge, hapokuna sehemu ya kumbukumbu ya vita vya Majimaji. Jambo kubwa la mahalahapo ni kaburi kubwa la halaiki ambamo askari zaidi ya sitini na saba walizikwakwa pamoja. Na kando ya kaburi hilo la pamoja kuna kaburi la Ally Songea Mbanoambae yeye alizikwa peke yake. Kwa maraya kwanza nilitembelea makumbusho hayo mwishoni mwaka 2007. Baada ya kusainikitabu cha wageni na kulipa ada ya kituo muhudumu wa kituo hicho alitupakaratasi yenye orodha ya majina ya wale wote walionyongwa na kuzikwa hapo.Ukiitazama orodha hiyo na hasa ukiwa Mwislam jambo moja litakustuwa. Robo tatuya walionyongwa na kuzikwa hapo ni Waislaam. Linaanza jina lake la Kiiislam, kishakwenye mabano kuna jina la Kikristo na mwishoni linaishia jina la kiasili,mfano Abdulrahman [Dominic] Mputa Gama. Muhudumuakatueleza kuwa hawa mashujaa wa vita vya Maji Maji kabla ya kunyongwaalikuwako padri ambae aliwabatiza na kuwapa majina ya Kikristo na baadaekunyongwa, wengi walibatizwa kwa hadaa kuwa wakibatizwa wataachiwa huru, wotekatika hao walionyongwa walikuwa ni Waislam. Uzuri ni kwamba katika orodha hiyokulikuwa na jina na sahihi ya yule padri aliyewabatiza, na kwa mkono wake[huyo padri] aliiyaandika hayo majina. Karatasi yenyewe ilihifadhiwa vizurikwenye fremu ngumu ya kioo. Tuliomba kwa nguvu zote kupatiwa hiyo karatasi ya majina hata kwa kununua lakini haikuwezekana pamoja na kuwaona na kuwaonawakubwa wa kituo hicho. Niliporudi kwamara ya pili mwezi July 2009 nilipata mstuko. Karatasiiliyohifadhiwa kwenye fremu ngumu ya kioo, iliyokuwa na majina ya Kiislaam ya mashujaa wa vita vya Maji Maji, haikuwapo,na badala yakeimewekwa karatasi nyingine ombayo ndani ya karatasi hiyo majina ya Kiislaam yamashujaa hao wa vita vya Maji Maji yameondolewa na kuachwa majina ya ubatizo nayale ya kiasili tu, jina la padri, sahihi yake na wadhifa wake katika KanisaKatoliki pia vimeondolewa na karatasi yenyewe haikuwa kwenye fremu ya kioo nailikuwa katika fotokopi tu.Nilimuulizamuhudu kulikoni? Akasema, "Songea pana mzee mmoja maarufu sana katika historiaya TANU na historia ya kuasisiwa Bakwata anaitwa kwa kifupi M. S. Mzeehuyu ana binti yake ambaye ameolewa na Mzungu wa Kijerumani. Binti huyu na namumewe wa Kijerumani walikuja hapa Songea matembezi. Hivyo kwa shinikizo lahuyu mzee M.S. karatasi hiyo alipewa huyu Mzungu kwa ahadi kwamba anaipelekaUjerumani na atairudisha. Hivyo ndivyo karatasi ile asilia ilivyotoweka. Kubwakatika karatasi ile ni ule ushahidi wa majina kuwa wote katika walewalionyongwa na kuzikwa hapo ni Waislaam, wengi katika hao walihadaiwa kuachwahuru hivyo wakabatzwa ispokuwa wachahe sana waligoma kama shujaa Ally SongeaMbano. Huyu kwa ushujaa wake wa kupambana na Wajerumani aligoma na akasumbuasana kiasi akanyongwa siku yake na peke yake na ndio sababu akazikwa peke yake.Ukiingiandani ya kinyumba cha ghorofa, unaanza kuona picha za mashujaa wa Maji Majiwakiwa wamevaa mavazi ya vita mithili ya mahujaji wanavyovaa Ihraam wakati wahija. Kinachoongezeka kwao ni vilemba kichwani. Chini ya kila picha kuna jinala aliyekuwa kwenye picha ile. Ukipanda gorofani utaona silaha za kiajadi kamamikuki, pinde, ngao n.k. Kinachosisimua zaidi ni mavazi ya vita. Mavazi ya vitaya askari wa Maji Maji wengi walivaa kanzu za Kiislaam na vilemba. Jambojingine linalosisimua ni kile ambacho watu wa kituo hicho wameandika"rosary" hili ni jina la Kikristo, hasa la Kikatoliki, ni zile shangaambazo huning'inia msalaba lakini unapotazama hicho kilichoitwa "rosary" utaonasi "rosary," bali ni tasbihi hasa ya Kiislaam yenye kupangika hasa shanga zake,33, 33, 34. Maneno yaliyoandikwa kuelezea "rosary" hizo ambazo ni tasbihi ni: "Hizi nirosary ambazo wapiganaji wa majimaji walikuwa wakitumia KUTAMBIKA kabla yakwenda vitani kwa kuamini kwamba zitawakinga na risasi." Ukwelini kwamba hawa askari wa Maji Maji wengi walikuwa ni Waislaam hivyo hawakuwaWAKITAMBIKA bali walikuwa wakitumia tasbihi hizo kufanya dhikri kwa Allah kablaya kwenda vitani. Midhali sisi Waislaam hatujawa tayari kuandika historia yetukama Waislaam wanaotuandikia watapotosha na kupindisha nakutuzulia wanavyotaka. Hapo gorofani kunajambo jingine la kusisimua. Kuna magudulia na makopo. Wameandika kuwa, haya ndiomakopo ambayo askari wa Maji Maji walikuwa wakiyatumia KUNAWA kabla ya kwendavitani [kushika udhu na sio kunawa] pia kwa kuamini kuwa maji hayo yatawakinga.Muhudumu alitueleza kuwa kumbukumbu nzuri na za kuaminika ziko Jimbo Kuu laWakatoliki Peramiho. Tulikwendajimboni lakini hatufanikiwa kwa sababu za ki-urasimu tu.Tulitakiwa tupatekibali cha Askofu Mkuu. Hatukukipata. Kwa yale tuliyoyaona na kuyashudiayafuatayo:
i. Vita vya Maji Maji havikuwa ni vitavya kizalendo, kwamba wazalendo walikuwa wakipigania nchi yao. La. Vilikuwa nivita vya Waislaam wakipigana na Wakristo wa Kijerumani waliovamia maeneo asiliaya Waislaam kwa lengo la kuuwa Uislam na kusimamisha Kanisa kwani mazingirayote utayoyaona ya mashujaa wa vita vya Maji Maji ni mazingira ya Kiislaam,kingine ni kwamba hukuti mahala yalipo makaburi ya askari wa Kijerumani ilakatika miji ya Waislaam kama Kilwa, Bagamoyo n.k. Kwa nini wauliwe maeneo yaWaislaam tu? Walifuata nini huko? ii. Kuna upotoshaji mkubwa sana wahistoria ya vita vya Maji Maji. Vinaoneshwa kama ni vita vya wazalendowakipigana na wakoloni wa Kijerumani, wakati ukweli si hivyo. Ukweli ni kwambavita vya Maji Maji vilikuwa ni vita baina ya Waislaam na Wakrito wa Kijerumani,Waafrika Wakristo wa Songea walijiunga na Wakristo wenzao wa Kijerumani dhidiya Waafrika wenzao wa Kiislam. iii. Wakristo wameitafiti hakika hii nawakaijua kisha wameificha kwa maslahi yao.
i. Vita vya Maji Maji havikuwa ni vitavya kizalendo, kwamba wazalendo walikuwa wakipigania nchi yao. La. Vilikuwa nivita vya Waislaam wakipigana na Wakristo wa Kijerumani waliovamia maeneo asiliaya Waislaam kwa lengo la kuuwa Uislam na kusimamisha Kanisa kwani mazingirayote utayoyaona ya mashujaa wa vita vya Maji Maji ni mazingira ya Kiislaam,kingine ni kwamba hukuti mahala yalipo makaburi ya askari wa Kijerumani ilakatika miji ya Waislaam kama Kilwa, Bagamoyo n.k. Kwa nini wauliwe maeneo yaWaislaam tu? Walifuata nini huko? ii. Kuna upotoshaji mkubwa sana wahistoria ya vita vya Maji Maji. Vinaoneshwa kama ni vita vya wazalendowakipigana na wakoloni wa Kijerumani, wakati ukweli si hivyo. Ukweli ni kwambavita vya Maji Maji vilikuwa ni vita baina ya Waislaam na Wakrito wa Kijerumani,Waafrika Wakristo wa Songea walijiunga na Wakristo wenzao wa Kijerumani dhidi ya Waafrika wenzao wa Kiislam.
iii. Wakristo wameitafiti hakika hii nawakaijua kisha wameificha kwa maslahi yao.

Ama hilo la mie kutumia neno "ujinga" kwa hakika hayo si maneno yangu. Angalia Insha Allah jibu nilompa Ogah.

Mohamed

Anapozungumzia uhuru upi maana uhuru nulianza kudaiwa tangu enzi na enzi za mababu ,sasa akisema nwatu wa gerezani walikuwa na mchangho mkubwa katika harakatai mza kudai uhuru wa tanfganyika ,anawasahao wapi waliokuwa wanapinga uvamizi wa mipaka yetu ,anawasahau waliopinga kunyang'anywa ardhi yenye rutuba,anawasahau wapi walipinga unyonyaji na kuzuiwa kulima mzao ya biashara haya ni machache waliyofanya babu zetu wakina kinjeketile ngwale ,wakina mkwawa ,wakiana songea ,said mohamedi anapaswa kuchunmguzwa akili yake

Hayo ndiyo hasa ninayosema wakti wote. kama unaona kuwa kuna mushkeri wowote katika makala yake basi mtu makini anachukua jukumu la kwenda kuwahoji hao uliowataja na kuja na majibu muafaka wa makala ake na kuleta weledi mkubwa wa kuonyesha kuwa umeifanyika kazi waraka wake katika kuweka historia iliyo sahihi na kusiwe na kuchakachuwa kwa aina yoyote.

sasa suala hilo linabaki kwetu hadhira kuwauliza hao ili kujua ukweli au uchakachuaji wa makala yake ili tuweze kumpongeza au hata kumlaani kwa kupotosha historia.

ndio maana kila wakti nasimama kusema kuwa kazi ya mwandishi ni kuandika pasi na kuegemea upande wowote ila kazi ya uamuzi ni a wasomaji.

Sasa tusimame na kuamua kwa hoja zenye mashiko.

Ahsante kwa ufafanuzi wako.[/QUOTE]
 
Mohamed said said:
Kwa kunipa mifano ya Somalia, Libya na Mali umenidhihirishia kuwa wewe si mweledi katika mambo haya.
hapa ndio wewe tukienda zaidi utaonyesha sio mwanahistoria na hujui chochote kuhusu historia. Nakumbia hivi ibya kule katolewa gaddfai zaidi ya 90 ni waislam lakini strng bond ya watu sio dini ni koo na kabila.

Somalia ni hivyo zaidi ya 90 ni waislam . Historia yao inaonyesha bond na tofauti zao ni za kikooo na kimila. Google hata historia za kina Mansa Khan Khan Musa inagwa wana majina ya kiislam na tawala zoo walikuwa waislam chanzo cha tofauti au mapigano yao yaliongozwa na misingi ya nini . Ni kooo na makabila. Hiyo ndiyo historia Kama unataka kuanzisha historia ya dini anzisha lakini usifukie hitoa ya mila, tamaduni na wapagani. Ipo haitafutika.
Hata kama wapagani wote utasilimisha kwa kuwa ni mashujaa tutakuuliza matendo waliyofanya yako kwenye aya gani ya Qoran

Unaweza kuniona sina weledi sababu hutaki ukweli. Ukweli historia ya ukmbozi wa afrika haina dini. Ni wewe tu unapchika. Ebu kwa weledi wako nipe historia ya ukombozi wa Somalia kama unaifahamu.

Mohamed said said:
i. Vita vya Maji Maji havikuwa ni vitavya kizalendo, kwamba wazalendo walikuwa wakipigania nchi yao. La. Vilikuwa nivita vya Waislaam wakipigana na Wakristo wa Kijerumani waliovamia maeneo asiliaya Waislaam kwa lengo la kuuwa Uislam na kusimamisha Kanisa kwani mazingirayote utayoyaona ya mashujaa wa vita vya Maji Maji ni mazingira ya Kiislaam,kingine ni kwamba hukuti mahala yalipo makaburi ya askari wa Kijerumani ilakatika miji ya Waislaam kama Kilwa, Bagamoyo n.k.

Sawa aksante kwa eimu nzuri ila naomba kukuuliza maswali haya

  • Neno maji maji chanzo chake ni nini? na ni sheikh gani au imamu gani aliwapa nguvu askari
  • Kasumba utabiri, madawa, matambiko waliyokuwa wanatumia mashujaa wetu wa kisslam kujipaka ili risasi za mjerumani mkristo ziwe maji ni mafundisho ya aya gani ya Qoran
  • Je Uislam unatambua matambiko ,uaguzi na kupiga ramli kama yamefanaywa na mashujaa na kama aliyeyafanya na mtu anaitwa Ali, Khamis au yahya? Maana hizi ndizo zilikuwa mbinu za vita za wazee wetu kama nimekosea nifafanuie walitumia mbunu gani ,walienda kuswali wapi kabla na baada ya kupigana
Kingine kutokuta makaburi ni huko sababu moja waislam na uislam by nature hauna utamaduni au utratibu wa kuwaenzi marehemu. Hilo liko wazi . Usishangae aburi la kawaw ukakuta limeshaanza kufichika kwenye nyasi ukadhani ni sababu ya kanisa. usidhani kaburi la nyerere lina mkono wa kanisa. mambo mengine mafundisho ya dini yanachangia

Mohamed Saidi said:
Kuna upotoshaji mkubwa sana wahistoria ya vita vya Maji Maji. Vinaoneshwa kama ni vita vya wazalendo wakipigana na wakoloni wa Kijerumani, wakati ukweli si hivyo.Ukweli ni kwambavita vya Maji Maji vilikuwa ni vita baina ya Waislaam na Wakrito wa Kijerumani,Waafrika Wakristo wa Songea walijiunga na Wakristo wenzao wa Kijerumani dhidiya Waafrika wenzao wa Kiislam. iii. Wakristo wameitafiti hakika hii nawakaijua kisha wameificha kwa maslahi yao.

Ninashukuru sana kwa kuja kutupa ukweli wa historia yako lakini ili kuondoa utata na mkanganyiko naomba ufafanuzi li historia iweke

  • Je wasilam na kizazi cha waislma waliowasaidia wakristo wajerumani( Eg Sykes) kuwapiga na kuwafyeka mashujaa wenzao wa kiislam( Eg Mkwawa's) tuwaweke kundi gani au tuwaiteje?
  • Je si sahihi waislam hawa wasaliti kuwaomba msamaha waislam wenzao

Baba yangu mzazi alikuwa akiandika kwa irabu za kiarabu, alivaa kanzu na kofia, na pia aliweza kuongea kiasi (fairly) kiarabu na bado alikuwa mpagani mpaka kifo chake.........watoto wake tumegawanyika wengine bado wapagani, wengine Waislam na wengine ni Wakristo
Maneno yako yanakusuta kuwa unasema uongo. Wewe tuambie ukweli, usitudanganye.
 
Fahari,...

i. Vita vya Maji Maji havikuwa ni vitavya kizalendo, kwamba wazalendo walikuwa wakipigania nchi yao. La. Vilikuwa nivita vya Waislaam wakipigana na Wakristo wa Kijerumani waliovamia maeneo asiliaya Waislaam kwa lengo la kuuwa Uislam na kusimamisha Kanisa kwani mazingirayote utayoyaona ya mashujaa wa vita vya Maji Maji ni mazingira ya Kiislaam,kingine ni kwamba hukuti mahala yalipo makaburi ya askari wa Kijerumani ilakatika miji ya Waislaam kama Kilwa, Bagamoyo n.k. Kwa nini wauliwe maeneo yaWaislaam tu? Walifuata nini huko? ii. Kuna upotoshaji mkubwa sana wahistoria ya vita vya Maji Maji. Vinaoneshwa kama ni vita vya wazalendowakipigana na wakoloni wa Kijerumani, wakati ukweli si hivyo. Ukweli ni kwambavita vya Maji Maji vilikuwa ni vita baina ya Waislaam na Wakrito wa Kijerumani,Waafrika Wakristo wa Songea walijiunga na Wakristo wenzao wa Kijerumani dhidi ya Waafrika wenzao wa Kiislam.
iii. Wakristo wameitafiti hakika hii nawakaijua kisha wameificha kwa maslahi yao...

Mohamed

Mohamed,
Hivi huoni kuwa mafundisho ya namna hii yanapingana na ukweli kuwa Wajerumani walikuja kwa economic interests na sio mambo ya kidini? Hivi kama lengo lingekuwa kuua uislam, kwanini wasingeanzia Meccah?
Kwenye makala zako huko nyuma, wewe na wafuasi wako mliwahi kung'ang'ania hoja kuwa Kanisa katoliki limekuwa likipiga vita uislam hapa Tanzania. Niliwahi kukuuliza pia, kuwa kwa resources na network ambazo kanisa katoliki linazo, kama hoja yenu ni kweli, kwanini hatusikii vita ya namna hiyo Kenya, Msumbiji, Malawi, na kwingineko? Au hii ni paranoia tu ambayo imetokana na watu kama wewe kupandikiza hisia kwa vijana wa kiislam kuwa wao ni wanyonge na wanaonewa, na kwa hiyo kila tatizo likitokea, linakuwa limesababishwa na ukristo??!!
 
Majimajii according To Mohamed said
mohamed said said:
Kuna upotoshaji mkubwa sana wahistoria ya vita vya Maji Maji. Vinaoneshwa kama ni vita vya wazalendo wakipigana na wakoloni wa Kijerumani, wakati ukweli si hivyo.Ukweli ni kwambavita vya Maji Maji vilikuwa ni vita baina ya Waislaam na Wakrito wa Kijerumani,Waafrika Wakristo wa Songea walijiunga na Wakristo wenzao wa Kijerumani dhidiya Waafrika wenzao wa Kiislam. iii. Wakristo wameitafiti hakika hii nawakaijua kisha wameificha kwa maslahi yao.

Organisation Maji Maji accodring to John illife ( Nimechukua ya huyo sababu unaonekana kumtumia sana.)
showArticleImage

Source http://www.jstor.org/pss/179833

  • MS kumbe Kuna maandishi na maadiko ya John illife katika historia ya Tanganyika yanapotosha ?
 
Majimajii according To Mohamed said

Organisation Maji Maji accodring to John illife ( Nimechukua ya huyo sababu unaonekana kumtumia sana.)
showArticleImage

Source JSTOR: An Error Occurred Setting Your User Cookie

  • MS kumbe Kuna maandishi na maadiko ya John illife katika historia ya Tanganyika yanapotosha ?

Fahari,

Huenda hufahamu lakini John Iliffe na mimi ni watu mbalimbali sana.
Ameinishambulia sana katika review ya kitabu changu aliyoandika katika Cambridge Journal of African History.

Majimaji sisi tunaisomesha vingine kama tunavyosomesha harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mohamed
 
Mohamed,
Hivi huoni kuwa mafundisho ya namna hii yanapingana na ukweli kuwa Wajerumani walikuja kwa economic interests na sio mambo ya kidini? Hivi kama lengo lingekuwa kuua uislam, kwanini wasingeanzia Meccah?
Kwenye makala zako huko nyuma, wewe na wafuasi wako mliwahi kung'ang'ania hoja kuwa Kanisa katoliki limekuwa likipiga vita uislam hapa Tanzania. Niliwahi kukuuliza pia, kuwa kwa resources na network ambazo kanisa katoliki linazo, kama hoja yenu ni kweli, kwanini hatusikii vita ya namna hiyo Kenya, Msumbiji, Malawi, na kwingineko? Au hii ni paranoia tu ambayo imetokana na watu kama wewe kupandikiza hisia kwa vijana wa kiislam kuwa wao ni wanyonge na wanaonewa, na kwa hiyo kila tatizo likitokea, linakuwa limesababishwa na ukristo??!!

Nanren,

Unyonge si neno lenyewe halisi.
Nimekusoma na binadamu lazima wapishane fikra.

Mohamed
 
Fahari,

Huenda hufahamu lakini John Iliffe na mimi ni watu mbalimbali sana.
Ameinishambulia sana katika review ya kitabu changu aliyoandika katika Cambridge Journal of African History.

Majimaji sisi tunaisomesha vingine kama tunavyosomesha harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mohamed
Mohamed,
Hivi baadhi ya wazee wako hawa waliopigana vita kuu ya pili sambamba na Waingereza( Wakristo watupu) walilazimishwa nini?
 
Fahari,

Majimaji sisi tunaisomesha vingine kama tunavyosomesha harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mohamed
I
MS dio hivyo vingine sasa tufundishe na siye tujue
Je waislam kama kina syskes walioshirikiana watu wa kanisa ( Wakristu wajerumani) Kuwasaliti wasilam wenzao(Kia Mkwawa) wanfaaa kususiwa mazishi kama ulivyobainisha walivyosusiwa baadhi ya wale wa bakwata ?

Au mafundisho ya historia unayofundisha yanapinda pinda kutegemeaa na mlengwa.?

II
Nimekuuliza ijui hukuliona hili swali. Naomba unifudishe tujue kama tulidanganywa

  • Neno maji maji chanzo chake ni nini? na ni sheikh gani au imamu gani aliwapa nguvu askari
  • utabiri, madawa, matambiko waliyokuwa wanatumia mashujaa wetu wa kisslam kujipaka ili risasi za mjerumani mkristo ziwe maji ni mafundisho ya aya gani ya Qoran . Kama hakukuwa na mtambiko na madwa ya kienyeji nifunishe
  • Je Uislam unatambua matambiko ,uaguzi na kupiga ramli kama yamefanaywa na mashujaa na kama aliyeyafanya na mtu anaitwa Ali, Khamis au yahya? Maana hizi ndizo zilikuwa mbinu za vita za wazee wetu kama nimekosea nifafanuie walitumia mbunu gani ,walienda kuswali wapi kabla na baada ya kupigana
Shukrani
Mohamed,
Hivi baadhi ya wazee wako hawa waliopigana vita kuu ya pili sambamba na Waingereza( Wakristo watupu) walilazimishwa nini?

Hili na mimi napenda kujua maana kuna wale waislam tunaambiwa walisusiwa maiti zaokuzikwa na waislam kwa sababu walishirikiana na nyerere. Sasa walioshirikiana na mkristo wa kijerumani kuwawau na kuwadhalilisha kina Mkwawa na waislam wanafaa adhabu gani?
 
Wewe unataka nikupe darsa lakini unakuja darsani mjuaje sasa mimi nitakufunza nini?
Hebu panga maswali yako na twende na swali moja moja hivyo nitakujibu vyema.

Hivi ulivyoandika unechanganya mambo mengi.

Kwa kuanzia nitakujibu la Sykes Mbuwane.

Mwanae Kleist alipoandika habari za baba yake hakuficha kamtaja baba yake kama mamluki wa Kizulu aliyekuja Tanganyika na Herman Von Wissman na baada ya vita na akina Abushiri na Mkwawa walitiwa katika German Constabulary na wakawatumikia Wajerumani hadi baada ya Vita ya Kwanza.

Ila sijaelewa hilo la kususiwa mazishi lina uhusiano gani na hawa mamluki wa Kizulu, Kinubi na Wamanyema.

Mohamed
 
Sheikh Muhammed, Faiza, barubaru n.k. msishughulike saaaaana na hawa watu. Mungu mwenyewe ameshawaelezea vizuri sana katika qurani; " na mfano wa wale (wanaowalingania) waliokufuru (kwa inadi tu, si ujinga) ni kama mfano wa Yule anaemwita ila sauti na kelele tu. (Wao) ni viziwa, mabubu,vipofu, kwa hivyo hawafahamu." (Qurani 2:171).

Wazee wetu walisema kuwa uyaone…nashkuru sasa nnayaona!.

Sheikh MS endelea kuLeta vitu vilioenda shule tunakufuatilia vizuri.
 
Sheikh Muhammed, Faiza, barubaru n.k. msishughulike saaaaana na hawa watu. Mungu mwenyewe ameshawaelezea vizuri sana katika qurani; “ na mfano wa wale (wanaowalingania) waliokufuru (kwa inadi tu, si ujinga) ni kama mfano wa Yule anaemwita ila sauti na kelele tu. (Wao) ni viziwa, mabubu,vipofu, kwa hivyo hawafahamu.” (Qurani 2:171).

Wazee wetu walisema kuwa uyaone…nashkuru sasa nnayaona!.

Sheikh MS endelea kuLeta vitu vilioenda shule tunakufuatilia vizuri.

Mfumo,

Ahssante sana ndugu yangu na tuendelee na darsa Insha Allah:

"Wakati Tume ya Waislam inasubiri mawazo yaWaislam sasa kundi la Adam Nasibu wakijionesha wazi kuwa serikali na TANUilikuwa nyuma yao, lilikutana kwa ajili ya kile walichokiita Mkutano wa Waislamwa Taifa ulioanza tarehe 13 Desemba, 1968. Serikali ikifanya kazi nyuma yapazia ilijitahidi sana kuhakikisha kuwa mkutano ule unafanikiwa. Serikali ndiyoiliyotoa fedha za kufanyia mkutano ule, ukatoa vyombo vyake vya habari kwaajili ya kuutangaza vizuri na ukatoa ulinzi kwa wajumbe wote. [1] Wajumbe waliohudhuria mkutano ule walikuwa kamamia mbili.Mkutano huu ulihudhuriwa na Waislam waliokuwa na vyeo katika serikalina TANU, Waislam waliokuwa wakuu wa wilaya na mikoa na Waislam wenyeviti waTANU. Waislam wote wenye majina walialikwa, pamoja na Waislam waliokuwa katikahalmashauri kuu ya TANU na baadhi ya wajumbe wa mkutano walitoka Zanzibar.Ulikuwa mkutano wa wanasiasa Waislam ambao ukitoa majina yao walikuwa hawanachochote katika harakati za Uislam isipokuwa majina yao. Lakini uzito wamkutano huu ulitokana hasa na kuwa ulikuwa mkutano ambao ulitawaliwa na Waislamwaliokuwa hawapendezi mbele ya macho ya umma wa Kiislam. Ni ukweli usiowezakupingika kuwa kama mkutano ule ungelikuwa hasa umetayarishwa kwa ajili yakumtumikia Allah, ni wazi ungehudhuriwa na Waislam wa kweli na wenye historiaya unyenyekevu na mapenzi kwa dini yao. Waislam wa sifa hizi hawakuwepo katikamkutano ule ukimtoa Sheikh Mohamed Ramia wa Bagamoyo na wengine wachache ambaokwa kutotambua mambo waliitika mwito. Mkutano ulifunguliwa na Karume nakufungwa na Kawawa. Katika hotuba yake ya ufunguzi Karume alisema maneno haya:Dini haiwezi kuwa nje ya siasa kwa sababu siasandiyo damu inayoipa jamii uhai wake. Wakati wa ukoloni wananchi na daini zaozilikuwa chini ya utawala wa wageni. Hivi sasa watu wamevua mabaki ya ukolonipamoja na kutawaliwa kwa misingi ya dini. Kuanzaia sasa uongozi wa dini lazimaukwe chini ya wananchi wenyewe bila ya kuongozwa na kiongozi kutoka nje.[1]Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiyampya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU. Hivi ndivyoBAKWATA ilivyoundwa. BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambaealikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibuakawa Katibu Msaidizi. Nafasi zote za juu katika BAKWATA kama ilivyotegemewazilichukuliwa na kundi la Adam Nasibu,kundi ambalo toka mwanzo lilikuwa likidai kuvunjwa kwa EAMWS. Uongozi waBAKWATA uliomba serikali itambue jumuiya hiyo mara moja na ipige marufuku EAMWSkama jumuiya isiyo halali na mali zake zizuiwe. BAKWATA ilitoa maazimio kadhalakini azimio namba nne ndilo hasa linafaa kuelezwa. Azimio hilo liliombaserikali, TANU na ASP kuwatazama na kufanya uchunguzi wa kina kwa viongozi wotewa EAMWS, hasa Rais, Makamo wa Rais, Katibu wao na baadhi ya viongozi wa mikoana wilaya ambao wana chuki na hii jumuiya mpya.[1] Uongozi wa BAKWATA katikaushindi wao hawakutaka salama na mawaelewano na Waislam wenzao katika EAMWSwala kuwaonea huruma kama Uislam unavyofundisha, bali ulitaka chama na serikaliuwaandame, hasa wale waliokuwa viongozi.Baada ya kuundwa BAKWATA, ili kuondoa wasiwasina kuwarudishia imani Waislam, Katibu wa Tume ya Waislam, Mussa Kwikima alitoataarifa iliyosema:Hakuna anaeweza kutishia kuwepo kwa EAMWSisipokuwa wanachama wake, sheria na serikali, lakini si watu binafsiÖhata ikiwamikoa yote kumi na saba ikijitoa haitamaananisha kuwa jumiya imekufa kwa kuwakuwepo kwake hakutokani na kuwepo kwa mikoa hiyo kama wanachama isipokuwakuwepo kwa wanachama wake, Waislam.[1]Wakati ilipotoka taarifa hii BAKWATA ilikuwabado haijaandikishwa rasmi na Msajili wa Vyama. Kisheria ilikuwa haiwezekanikwa kundi la Adam Nasibu kuunda jumiya mpya iliyokuwa na malengo sawa najumuiya ambayo tayari ishaandikishwa. Kwa muda wa siku tatu BAKWATA na EAMWSzikawepo kwa wakati mmoja. Ilionekana kama kwamba EAMWS itashinda vitimbi vyaserikali na vya kundi la Adam Nasibu.Tarehe 19 Desemba, 1968 serikali kama vileimegutushwa na taarifa ya Kwikima, iliipa BAKWATA Cerificate of Exemption nakuifungia EAMWS.[1] Waziri wa Mambo ya Ndani Said Ali Maswanyakwa niaba ya serikali alitoa taarifa fupi:Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kuamriwa na Raisanatangaza kuwa tawi la Tanzania la East African Muslim Welfare Society naBaraza la Tanzania la la East African Muslim Welfare Society ni jumuiyazisizotambulika kisheria chini ya kifungu 6 (i) cha Sheria ya Vyama.[1]Kwa tangazo hilo la Rais wa Tanzania, JulusNyerere, Waislam walinyimwa nafasi ya kukutana na kuzungumza kuhusu tatizoambalo kwa kweli liliwahisu Waislam peke yao. Kwa ajili hii basi Waislamwalinyimwa nafasi ya kujadili na kulitolea uamuzi tatizo hilo."

Mohamed
 
Fahari,

Mwanae Kleist alipoandika habari za baba yake hakuficha kamtaja baba yake kama mamluki wa Kizulu aliyekuja Tanganyika na Herman Von Wissman na baada ya vita na akina Abushiri na Mkwawa walitiwa katika German Constabulary na wakawatumikia Wajerumani hadi baada ya Vita ya Kwanza.

Ila sijaelewa hilo la kususiwa mazishi lina uhusiano gani na hawa mamluki wa Kizulu, Kinubi na Wamanyema.

Mohamed

Sawa twende taratibu. Je ni itakuwa sawa waislam kumita huyu mamluki Syskes kuwa ni Msaliti . Hilo La kususiwa lina uhusiano sababu kuna uliowaita wasaliti ulionekana kufurahia na kuunga mkono kususiwa mazishi yao eti kwa kuwa tu walikuwa wasaliti wa waislam. Ndiyo maana nakuuliza katika mafundisho hawa waislam mamluki waliopigana vita sambamba wa akwristu kuwapiga mashujaa wa asilam tuwaiteje ?

Ukisha nieliisha hilo. nielimishe
  • kwa nini ilitwa vita ya maji maji,
  • Vita iliongozwaje n kw misingi gni
  • Kabla na baada ya kutoka wenye mapigano mshujaa waliswalishwa na sheikha ustadh gani?
  • Kama walitumia matmbiko, mila na desturi na dawa walitumia kifungu gani Qora
Nifundishe ni jinsi gan vita vya maji maji i hivi vilikuw ni vita vya waislm dhidi ya wakristo?
 
sheikh nakuombea maisha marefu na allah akuzidishie uckatishwe tamaa na hao vikaragosi wanaotoa kashfa mara nyingi kashfa ni dalili za kuishiwa hoja kama 2navyowaona hawa muflisi.endelea na darsa lako lililoenda shule
 
Back
Top Bottom