Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Hiyo ni yako mkuu halafu utakuwa na ukabila balaa..Jaribu kufuatilia namna mipaka ya mikoa na wilaya inavyowekwa utagundua kuwa inatenganisha makabila na tamaduni. Hii ni hatari kwa umoja wa kitaifa!
Mimi sikatai kugawa maeneo, lakini tuangalie vipaumbele. Unaanzaje kuipa Chato mkoa unaiacha Tabora na Morogoro? Wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora kuna kijiji kiko km 420 toka Makao makuu ya mkoa halafu tunaiacha Tabora tunaanza na Chato?Ni shida sana, ilivyoletwa kigamboni na ubungo watu hawakulalamika, Ila kuundwa Chato itakuwa ni ukabila!!
Wengi huwa wanaongea wasichokijua kwa undani, from Kakonko mpaka Ujiji ni masaa 5, from Kakonko to Chato almost masaa 2 na nusu, sawasawa na watu wa ngara, mtu anatoka Kabanga anaenda Bukoba mjini kwa shida ya kimkoa watu hawaoni haya!
Moa wa Shinyanga ilikuwa si mkubwa sana by then lakini namna ulivyokuwa umekaa ilikuwa shida wakaamua kuugawa, Arusha pia ikazaa manyara, Rukwa ikazaa katavi, mikoa iliyobaki ni Tabora na Morogoro, mtu yuko Malinyi na ulanga anakuja Morogoro mjini safari ya masaa zaidi ya 8, ndani ya mkoa mmoja.
Katika kuundwa mikoa tunaamini serikali unaona umuhimu wake ndio maana wanaona waongeze eneo kiutawala
Katika vitu ambavyo huwa nawashangaa wa tz ni kufananisha USA ,ulaya na Africa.itikadi zetu ni tofauti,wao walijenga miji yao kwa kuwatumia watumwa.cc tunajenga nchi yetu wenyewe.USA kila jimbo linautawala wake kalibia asilimia 80 linajitegemeaMaendeleo gani mkuu unayoyasema, ya Wananchi au viongizi? Toka nipate fahamu sijasikia USA wala Ujerumani wakiongeza Majimbo kwa kuyakata mengine kwa kisingizio cha maendeleo!
USA wapo tangu 1776 uwepo wa taifa lao ni tofauti na uwepo wa hili la kwetu.Maendeleo gani mkuu unayoyasema, ya Wananchi au viongizi? Toka nipate fahamu sijasikia USA wala Ujerumani wakiongeza Majimbo kwa kuyakata mengine kwa kisingizio cha maendeleo!
Anajaribu kuuponda mkoa wa Chato kwa dhana zile zile za chuki dhidi ya hayati JPM.Ombi la kuwa na Mkoa wa Chato tulilisikia wakati wa Msiba wa JPM na halikuwasilishwa na Serikali bali Wananchi. Kama ni zuri au baya, tuwaachie wataalam wa Serikali waamue. Otherwise ni umbea na kueneza chuki.
Kugawa mikoa si tatizo, tatizo ni hizo sababu za kipuuzi zinazowafanya hao wanasiasa wabovu kuigawa mikoa.msifurahie mambo ya kugawa mikoa, ni ukabila mkubwa sana, huu umeletwa awamu ya nne natano, tusikubali kugawana kidogo kilichopo.
Waligawa manyara kusema eti maendeleo karibu na wananchi, them hao wananchi wamepata maendeleo gani?
wanasiasa ni wapuuzi sana.
Hakuna lolote lililojificha kuhusu ubaya wa Magufuli katika kufanya mambo kama haya.Anajaribu kuuponda mkoa wa Chato kwa dhana zile zile za chuki dhidi ya hayati JPM.
Ningeshangaa kama ungemaliza kuandika uzi wako bila kuwataja Watu wa Kilimanjaro[emoji23][emoji23]
Maendeleo gani mkuu unayoyasema, ya Wananchi au viongizi? Toka nipate fahamu sijasikia USA wala Ujerumani wakiongeza Majimbo kwa kuyakata mengine kwa kisingizio cha maendeleo!
Hakuna cha kuiba mikoa. Nchi ni moja Tanzania, wewe vipi ?Binafsi nisingekuwa na tatizo kama mikoa mipya ingetokea Morogoro, Tabora au Pwani.
Tena Morogoro unapatikana mkoa huko wa Kilombero, Ifakara, Malinyi, Mbingu, Ngeta, Mlimba...wala hauibi wilaya wala eneo la mikoa mingine.
Hakuna mgogoro wakati wa ugawaji wa mipaka. Kunakuwa na migogoro ya ardhi katika hili zoezi la umegaji ardhi.
Ila Chato aisee hapana! Hii nchi yetu sote
Everyday is Saturday............................... 😎
Arusha pia kuna wairaq wa KaratuKwaiyo point yako ni kwamba waameru wamemega ardhi ya waarusha na wapalestina wamemega ardhi ya wayahudi, kwa maana nilivyoelewa wapalestina na waameru ni wavamizi, OR?