History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.


Hujanielewesha chochote zaidi ya kujichanganya, na kuyakataa maeneo yako mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

ukinunua kitu chukulia mfano chochote kile iwe laptop,gari,t.v n.k si ni kitu chako na umenunua kwa hela yako ? Inabidi uwe na maamuzi nacho sasa hwcome bado unafuata user manual ya aliyetengeneza hicho kitu kwa mfano gari maji yakiisha kwenye rejeta lazima ujaze n.k kwanini usiwe na uamuzi wa kufanya kitu unachotaka ww unapangiwa wakati umenunua kwa hela yako so hapo tutasema huna maamuzi na hicho kitu ulichonunua???


Yees kiumbe kikamilifu hakina chembe ya imperfection hata kidogo na ni mungu peke yake ndo mkamilifu hana chembe ya imperfection (kukuzuia usije ukaelezea imperfection yake kwa sababu ameumba viumbe ambavyo haviko perfect nishakuelezea tayari kwamba viumbe vimepewa akili na uwezo wa kufikiria so its their choice wakifuata njia ya aliyoiweka mr perfect na wenyewe watakuwa perfect la hasha watakuwa imperct)
 

Unakojichanganya hapoo

"aliumbwa b4 na mungu kama vimbe wengine(malaika) wa kawaida ila amekuwa shetani mkuu coz amekacha direct oda ya mungu"
 
Unakojichanganya hapoo

"aliumbwa b4 na mungu kama vimbe wengine(malaika) wa kawaida ila amekuwa shetani mkuu coz amekacha direct oda ya mungu"

duh nasikitika sana mkuu hujanielewa hapo,sijui nikueleze vipi au nikupe mfano gani mrahisi uelewe,ila jaribu kuirudia hiyo paragraph ipo open and clear,labda nirudie kwa maneno machache sana nisikuchoshe ni kwamba mungu kaumba malaika ila kwa sababu huyo malaika kaacha maamrisho ya mungu ndo imempekea yy kuwa shetani,so kitendo cha yy kuwa shetani ni kutokana na yy kushindwa kufuata order ya mkubwa wake(mungu) the same applied to mwizi(jambazi) hakuna mtu anaezaliwa mwizi ila kitendo cha kuiba au kunyanganya kwa kutumia nguvu kinampelekea yy kuwa mwizi/jambazi
 

Kumfananisha mungu na Bill Gates si sawa.

Mungu supposedly ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Bill Gates hana hata 1% ya hivyo!

Utawafananishaje?

Kwa nini mungu anayeweza yote, kujua yote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao shetani anawezekanika kutokea?

Mungu kama kweli ana uwezo wote, aliweza kuumba ulimwengu ambao tangu mwanzo angeweza kuweka conditions kwamba kiumbe kama shetani hawezi kutokea.

Mungu supposedly alipoumba ulimwengu alikuwa na uwezo wa kuweka parameters kwamba mabaya yoyote yasiwezekane.

Kwa nini hakufanya hivyo?
 

Mungu hajamuumba shetani?

Hii ni kwa mujibu wa mfumo gani? Kitabu gani?

Kwa hiyo mungu si muumba wa vyote?

Na kama mungu hajamuumba shetani, shetani katokeaje? Kaumbwa na nani?

Ina maana kuna ki process cha uumbaji kilichomuumba shetani ambacho mungu hana control nacho?

Kama ni hivyo, je, ni kqeli kwamba mungu ni muweza yote?
 

Kwa nini mungu alipoumba ulimwengu hakuweka parameters za kukataza uovu totally na hivyo kuumba ulimwengu ambao shetani na uovu mwingine wowote usingewezekana kutokea?
 
Kwa nini mungu alipoumba ulimwengu hakuweka parameters za kukataza uovu totally na hivyo kuumba ulimwengu ambao shetani na uovu mwingine wowote usingewezekana kutokea?

Hizi parameters umeweka wewe
 

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao shetani anawezekanika kuwepo?

Kama kweli umesoma mjadala tangu mwanzo utaona swali hili halijajibiwa bado.
 
Last edited by a moderator:
Hizi parameters umeweka wewe

La,

Ningeweka mimi nisingekuwa na haja ya kuzi question.

Kama mungu yupo, naye ndiye mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote. Naye ndiye muumba wa vyote, kwa nini kaumba ulimwengu wenye parameters hizi?

Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao shetani ( pamoja n mabaya yote) hawezekaniki kuwepo?

Alishindwa au hakutaka tu?

Hujajibu swali.
 

Haya mkuu wa Kiranga Msata
 

sijamfananisha mungu na bill gates wewe ndo ulianza kumsifia sana bill gates na limited resources zake zote anafanya mambo makubwa kuliko mngu.


Kuhusu mungu kuweka condition ambayo ambayo shetani hawezi kutokea naweza nikasema kwamba cha kwanza coz yy ni muweza yote hakutaka cha pili ni kwamba kusingekuwa na umuhimu wa kutupa sisi akili(reasoning capacity),iweje atupe akili wakati kila kitu ameshatutafunia tayari kila kitu kipo on the right track sasa hapo mtu unakuwa unamtest nini?? Ni sawa na wewe mwalimu kumfundisha mwanafunzi wako alafu kumpa mtihani at the same time unampa na majibu alafu ukae ujisifie eti mwanafunzi kafaulu,ukitaka kumchallenge mtu(mwanfuzni wako) mpe mtihani ficha majibu lakini ulishamfundisha jinsi ya kupata majibu sahihi(dini) so akifeli atakuwa responsible coz ushaelekezwa na kupewa nafasi ya kurudia na kurudia(kuomba toba).

Tungekuwa hatuna tofauti na wanyama wengine kama mbwa,tembo n.k ndo maana wale ingwaje wameumbwa na mungu ila hawako responsible na matendo yao kwamba watakuja kuhukumiwa kwa waliyoyafanya kwa sababu hawajateremshiwa dini na pia reasoning ya kipi sahihi kipi sicho ambayo binaadamu wanayo wao hawana.
 

hayo maswali yaako yoote kwamba kwa nini mungu karuhusu uwepo wa shetani nimekujibu angalia quote yangu ya mwisho.
 

Lazima niseme kwamba kama mungu na uwezo wake usio mipaka na upendo wake wote kashindwa kuzuia polio kwa miska yote hiyo, mpaka watu wakagundua chanjo na Bill Gates ku fund campaign ya kutokomeza polio, proportionately speaking, Bill Gates kamuacha mungu sana tu.

Mungu lashindwa kuumba ulimwengu wenye parameters za kufanya binadamu wajifunze lakini.watoto wadogo wasio hatia wasife kwa polio, taunami, matetemeko na majanga mengine?

Mungu gani mqenye uqezo wote anaweza kuumba ulimwengu wenye parameters kama hizi?

Unatika kumfananisha mungu na Bill Gates, unakwenda kumfananisha mungu.na mwalimu.

Analogies zote mbili ni mbovu, wote Bill Gates na mwalomun hawana uwezo, ujuzi wala upendo wa mungu.

Utawafananishaje?

Speaking of wanyama walioumbwa na mungu lakini wasio na reaponaibility kwa matendo yao kwa sababu hawana reasoning, kwa nini mungu mqenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe viumbe na kuvibagua, vingine avipe reasoning ability vingine asivipe?

Hata baba wa kibinadamu tu akimpa mtoto mmoja hela ya matumizi na kumnyima mwingine wakati ana uwezo wa kumpa tutamsema kwamba hana maamuzi ya haki.

Sembuse mungu?
 
hayo maswali yaako yoote kwamba kwa nini mungu karuhusu uwepo wa shetani nimekujibu angalia quote yangu ya mwisho.

Hujajibu.

Nimekuuliza kwa.nini mungu hakuumba ulimwengu ambao hauna maovu kama watoto wachanga kufa kwa majanga, lakini ambao binadamu bado anaweza kujifunza?

Hujajibu hili.

I mean it is not a must for children to die violent deaths for humans to learn.

Is it now?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…