mkuu nilikuwa najaribu kukueleza how shetani come to existance since you said earlier you dont believe in nguvu za giza,shetani and other kind of staff through comp,window and antivirus example,kwa hiyo mungu alivyotuumba akatuwekea muongozo tuishi vipi (dini) so atakaekiuka huo mwongozo yuko against na mungu na hamwamini so ana do harmful kwa mungu kama virus zinavyokuwa harmful kwa window na bill gates wakati analaunch window yake aliweka user manual ambayo kila mtu ukiifuata inavyotakiwa huwezi athiriwa na virus hata kidogo na sometime huitaji hata anti-virus,
kuhusu magojwa ni kwa sababu tumeacha user manual ya mungu nitabase kwenye uislam coz ndo ninayoiamini na through na it naamini uwepo wa mungu hadithi ya mtume inasema al uislam nadhiif-meaning uislam ni usafi so kama tutaishi maisha yetu ya kila siku kwa usafi maana yake magonjwa yanayotokana na uchafu yote hatuwezi kuyapata kuanzia kipimdupindu,kuharisha kichocho n.k,kuhusu ukimwi sababu kuu unajua inanenea kwa sex na hakuna dini inayoruhusu sex before marriage,so tungekuwa hatuzini either ukimwi ungekuwepo kwa kiasi kidogo sana au usingekuwepo kabisa pia uislam unatufundisha tusile sana tule kwa kiasi (tule wastani) maana tusishibe sana so kwa kufuata ongozo hilo maana magonjwa yote yanayotokana na kula sana(hovyo) yote tutaepukana nayo,as u knw we muslim tunaswali mara tano kwa siku na unajua muslim wanaswali vipi so yale ni mazoezi tosha kabisa kwa namna moja ama nyingine yanauweka mwili fiti,not to mention faida za kuchukua udhu mara zote ambazo waislam wanaenda kusali
so kuhitimisha ni kwamba kuna baadhi ya magonjwa yanatokana na sisi kuacha user manual ambayo mungu ametuwekea.na hoja yako ya mwisho kwamba eti bill gate na limited resource zake anafanya mambo makubwa kuliko mungu haina mashiko,mungu katupa akili pamoja na huyo bill gates so ni wajibu wetu kutumia akili kusaidia watu wengine mungu hawezi akadondosha dawa za malaria toka mbinguni zikatufikia sisi huku chini au za hizo polio ambazo bill gates anafund, kutupa sisi akili ya kutengeneza dawa za hayo magonjwa ni mchango wake mkubwa tosha.