Labda kwa sababu huna points za kutoa.
Kufikiri kitu hakufanyi kitu hicho kiwepo.
Ingekuwa hivyo kila mtu angekuwa bilionea anayeishi paradiso yake.
natoa point hukubali.
nikikuuliza kwanini hukubali wakati hujui hutoi jibu
huko ni kutumia nguvu
Hujanijibu nafsi ni nini na roho ni nini, zinapatikana wapi?
Nitajuaje hizi si hadithi tu za kufikirika na si vitu vilivyopo vinavyoweza kupimika na kujulikana kwa hakika.
hakika ni nini?
Unaamini au unajua kwamba Mungu hayupo?
"God is just a shorthand for a licentious and biased look at perfection through the lens of ignorant human morality"
kwa hii tafsiri yako hapo juu, unawezaje kukielezea kitu kisichokuwepo? ni Mungu gani unaemuongelea hapa?
Ahsante mkuu Kiranga
ndo mana nakwambia huna hoja unatumia nguvu
natoa point hukubali.
nikikuuliza kwanini hukubali wakati hujui hutoi jibu
huko ni kutumia nguvu
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Hujajibu kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye mabaya na maovu.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Hujajibu kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye mabaya na maovu.
Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.
The godhead idea.
ENDELEA KUPATA MAUMIVU YA KICHWA HAPA CHINI:Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Hujajibu kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye mabaya na maovu.
Uniambie wewe unayejua kuwapo kwa roho.
Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.
Huwa hawalazimishi majibu. Onyesha jibu lako lipo wapi. Nipe linki. UTAKAPO SHINDWA kunipa link, wajibu watu hapa.
Wenye akili hawapo limited kwa Socrates et al. Ndio maana bado unalazimisha Punzi ni Punzi kwasababu umeshindwa na hufahamu na huwezi kuthibitishia kuwa kuna Pumzi, ndio maana unabisha kuwa kuna Roho.
Sio hata ukishindwa KUPROVE. HUWEZI NA HUTO WEZA KUPROVE, that is the bottom line. Stop your bunch of malarkey.By Kiranga
Hata nikishindwa ku prove, hilo halithibitishi kwamba mungu yupo.
You can't prove a negative.
I have underlined this countless times before.
Kama mungu hayupo, of course hakuna njia ya kuprove kwamba hayupo.
Kwa sababu hayupo.
Nitaanzia wapi ku prove kitu ambacho hakipo hakipo?
Wewe unayesema yupo ndiye mwenye kazi ya ku prove yupo.
Kwa sababu kilochopo kinaweza kuwa proved kipo.
Huja prove kwamba yupo.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Hujajibu kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye mabaya na maovu.
Sio hata ukishindwa KUPROVE. HUWEZI NA HUTO WEZA KUPROVE, that is the bottom line. Stop your bunch of malarkey.
Jibu lake la Mungu yupo hili hapa:
Impugn if you can.
Leo nimekuamini upo sahihi kabisa km GREAT THINKERUhai unathibitisha kwamba Roho ipo.