History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

Priscallia

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2019
Posts
496
Reaction score
2,449
EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community.

H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State.
===
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Rais Uhuru Kenyatta ameidhinisha Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kuwa mwanachama wa EAC.

Maamuzi hayo yamefikiwa Machi 29, katika Mkutano wa 19 wa Kawaida wa wakuu wa nchi wanachama. Wanachama wa EAC walikuwa ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini ambapo sasa inaongezeka DR-Congo.

EAC.jpg
 
HISTORIA IMEANDIKWA!

Wakuu wa Nchi za EAC waiingiza RASMI Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Rais Uhuru Kenyatta, Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki atangaza wakati wa Mkutano wa 19 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za EAC uliofanyika kwa njia ya mtandao baina ya Wakuu wa Nchi za EAC leo tarehe 29/03/2022.


1648549329793.png
 
Duh...!. Hii ni habari njema, good news interms of increased coverage area and stability of DRC, but it's bad news kwa instability ya the rest of the area, kama hivi tuu kwa passport Wacongoman wametapakaa hivi, hii free movement of labour itafanya biashara zote zitwaliwe na Wacongoman!.
Tusipo amka...
Kazi Ipo!.
P
 
Safi sana. Sasa inabidi waondoe mambo ya résident permit kwa wakazi wa EAC.Watu tuwe huru kwenda kufanya kazi/biashara/kumiliki ardhi na kuishi nchi yeyote mwanachama.
 
Hapa ni kuwahi mashamba kule kwenye almas wale wapaka mkorogo hawalimagi wanaamini viuno ndio kila kitu.
 
Back
Top Bottom