Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu nilikuwa ninamjibu,maana anaogopa wakenya,wanyarwanda watakuja chukua ardhi yetu endapo wananchi wa EAC tukiwa na haki sawa kwa kila nchi mwanachama.Ya tanzania tu hujamaliza unaiwaza ardhi ya congo
Hofu tu zinawasumbua.Swala la ardhi halitawezekana .
Kuna nchi zinalipinga sana
Nakubali mzee..safi sana, vumbi la kongo litashuka bei
Saafi kabisaEAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community.
H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State.
===
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Rais Uhuru Kenyatta ameidhinisha Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kuwa mwanachama wa EAC.
Maamuzi hayo yamefikiwa Machi 29, katika Mkutano wa 19 wa Kawaida wa wakuu wa nchi wanachama. Wanachama wa EAC walikuwa ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini ambapo sasa inaongezeka DR-Congo.
Inward thinking. Inawezekana ukipewa uenyekiti wa kijiji utafunga mipaka ya kijiji chako kabisa.Duh...!. Hii ni habari njema, good news interms of increased coverage area and stability of DRC, but it's bad news kwa instability ya the rest of the area, kama hivi tuu kwa passport Wacongoman wametapakaa hivi, hii free movement of labour itafanya biashara zote zitwaliwe na Wacongoman!.
Tusipo amka...
Kazi Ipo!.
P
Tunatakiwa tutumie akili. Changamoto zilizopo ni kutokana na matumizi hafifu ya akili.E.Africa Tunaweza kuwa tejiingiza matatizoni kwa kumkaribisha DRC.
Bandari zetu pamoja na Dubai ndogo ya ubungo zitafurika kwa wafanyabiasharaDuh...!. Hii ni habari njema, good news interms of increased coverage area and stability of DRC, but it's bad news kwa instability ya the rest of the area, kama hivi tuu kwa passport Wacongoman wametapakaa hivi, hii free movement of labour itafanya biashara zote zitwaliwe na Wacongoman!.
Tusipo amka...
Kazi Ipo!.
P
LAZIMA TUPATE EAST AFRICA ARMY,YENYE ZANA ZA KISASA KABISA KULINDA NDANI NA NJE YA MIPAKA./ ALTHOUGH NI VYEMA MUUNGANO HUU UKAWA NIWA KIBIASHARA TU,MENGINE NCHI HUSIKA ZIJITEGEMEE.Tunatakiwa tutumie akili. Changamoto zilizopo ni kutokana na matumizi hafifu ya akili.
Mfano kuanzisha jeshi la ulinzi la pamoja kwa bajeti shirikishi sioni muujiza hapo.
Uwezo mdogo wa kukabiliana na changamotoHofu tu zinawasumbua.
Uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto
Ukubwa wa DR Congo unakaribia ukubwa wa Uganda ,Kenya na Tanzania kwa pamoja!
hata mm nalipingaSwala la ardhi halitawezekana .
Kuna nchi zinalipinga sana
Ccm imefubaza vibaya sana akili za watanzania wengi.Yaani Watanzania tunawaogopa hata wakongo ambao hata mfumo wao wa siasa haujaimarika, nchi ambayo inakabiliwa na changamoto za kila aina. Wananchi wake hawana mbele wala nyuma badala ya kuwaona kama fursa tunawaangalia kwa hofu ya kuja kuchukua fursa zetu?
Kweli CCM imedumaza akili zetu aisee.
Hivi uwa kuna faida gani kwenye hii jumuiya au basi tu ipo ipoEAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community.
H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State.
===
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Rais Uhuru Kenyatta ameidhinisha Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kuwa mwanachama wa EAC.
Maamuzi hayo yamefikiwa Machi 29, katika Mkutano wa 19 wa Kawaida wa wakuu wa nchi wanachama. Wanachama wa EAC walikuwa ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini ambapo sasa inaongezeka DR-Congo.