Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...!. Hii ni habari njema, good news interms of increased coverage area and stability of DRC, but it's bad news kwa instability ya the rest of the area, kama hivi tuu kwa passport Wacongoman wametapakaa hivi, hii free movement of labour itafanya biashara zote zitwaliwe na Wacongoman!.
Tusipo amka...
Kazi Ipo!.
P
Unakuaga na akili sana, mpaka unapofika wakati wa masuala yanayohusu Simba!Mazembe wamemfuata Simba wakijua kuwa karibu naye kutawapaisha kimataifa
Kumbuka kwenye IFFHS wamepigwa gape kubwa na mnyama
Kwenye ardhi hapana!Safi sana. Sasa inabidi waondoe mambo ya résident permit kwa wakazi wa EAC.Watu tuwe huru kwenda kufanya kazi/biashara/kumiliki ardhi na kuishi nchi yeyote mwanachama.
Acheni ubinafsi. DRC kuna ardhi,tutakwenda kumiliki.Kwenye ardhi hapana!
Wakenya walishagawana ardhi yao ikaisha, Wanyarwanda ka ardhi kao kanazidiwa mara mbili na ardhi ya Tabora. Tukiwaruhusu kwenye masuala ya ardhi, sisi tutapoteza sana!
Acha tu tuwe wabinafsi, ardhi yetu hapana!Acheni ubinafsi. DRC kuna ardhi,tutakwenda kumiliki.
CCM mtaji wao ni ujinga wa raia.. Kamwe hawatowekeza kwenye uwezo wa raia wao both kifikra na kiuchumi..Fikra mgando za MaCCM hizi. Wamekukataza kuwajengea wananchi wenu uwezo na ujasiri kushindana na waafrika wengine?
Kama serikali ya CCM hata kuwapa raia hati ya kusafiria ni mbinde unataka uwalaumu wakongo wanaopewa hati ili wakazisake fursa nje ya mipaka yao?
Uraia pacha CCM inaiogopa ila inataka wawekezaji.
CCM mtaji wao ni ujinga wa raia.. Kamwe hawatowekeza kwenye uwezo wa raia wao both kifikra na kiuchumi..
Ndio maana kila kitu wanaogopa, mfano Uraia pacha wanajua wazawa walioneemeka ughaibuni watakuja kuwekeza wafaidike.. mara ooh wakenya watachukua kazi zetu.. kiukweli lazima wakenya wachukue kazi zenu sababu wakenya wamewaandaa raia wao intellectually ukilinganisha na sisi...
Kuna faida kubwa sana kuungana na Congo.Safi Tz ichangamke zaidi kuiunganisha miundo mbinu yake na Congo soko kubwa sana.
hakuna...Kuna sehemu yoyote tumepakana na DRC ukiondoa mpaka wa majini wa Ziwa Tanganyika ?
Swala la ardhi halitawezekana .Safi sana. Sasa inabidi waondoe mambo ya résident permit kwa wakazi wa EAC.Watu tuwe huru kwenda kufanya kazi/biashara/kumiliki ardhi na kuishi nchi yeyote mwanachama.
Ya tanzania tu hujamaliza unaiwaza ardhi ya congoAcheni ubinafsi. DRC kuna ardhi,tutakwenda kumiliki.
Acha iwe hivyo!Duh...!. Hii ni habari njema, good news interms of increased coverage area and stability of DRC, but it's bad news kwa instability ya the rest of the area, kama hivi tuu kwa passport Wacongoman wametapakaa hivi, hii free movement of labour itafanya biashara zote zitwaliwe na Wacongoman!.
Tusipo amka...
Kazi Ipo!.
P