History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

E.Africa Tunaweza kuwa tejiingiza matatizoni kwa kumkaribisha DRC.
 
Duh...!. Hii ni habari njema, good news interms of increased coverage area and stability of DRC, but it's bad news kwa instability ya the rest of the area, kama hivi tuu kwa passport Wacongoman wametapakaa hivi, hii free movement of labour itafanya biashara zote zitwaliwe na Wacongoman!.
Tusipo amka...
Kazi Ipo!.
P

Fikra mgando za MaCCM hizi. Wamekukataza kuwajengea wananchi wenu uwezo na ujasiri kushindana na waafrika wengine?

Kama serikali ya CCM hata kuwapa raia hati ya kusafiria ni mbinde unataka uwalaumu wakongo wanaopewa hati ili wakazisake fursa nje ya mipaka yao?

Uraia pacha CCM inaiogopa ila inataka wawekezaji.
 
Mazembe wamemfuata Simba wakijua kuwa karibu naye kutawapaisha kimataifa

Kumbuka kwenye IFFHS wamepigwa gape kubwa na mnyama
Unakuaga na akili sana, mpaka unapofika wakati wa masuala yanayohusu Simba!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Safi sana. Sasa inabidi waondoe mambo ya résident permit kwa wakazi wa EAC.Watu tuwe huru kwenda kufanya kazi/biashara/kumiliki ardhi na kuishi nchi yeyote mwanachama.
Kwenye ardhi hapana!

Wakenya walishagawana ardhi yao ikaisha, Wanyarwanda ka ardhi kao kanazidiwa mara mbili na ardhi ya Tabora. Tukiwaruhusu kwenye masuala ya ardhi, sisi tutapoteza sana!
 
Acheni ubinafsi. DRC kuna ardhi,tutakwenda kumiliki.
 
Fikra mgando za MaCCM hizi. Wamekukataza kuwajengea wananchi wenu uwezo na ujasiri kushindana na waafrika wengine?

Kama serikali ya CCM hata kuwapa raia hati ya kusafiria ni mbinde unataka uwalaumu wakongo wanaopewa hati ili wakazisake fursa nje ya mipaka yao?

Uraia pacha CCM inaiogopa ila inataka wawekezaji.
CCM mtaji wao ni ujinga wa raia.. Kamwe hawatowekeza kwenye uwezo wa raia wao both kifikra na kiuchumi..

Ndio maana kila kitu wanaogopa, mfano Uraia pacha wanajua wazawa walioneemeka ughaibuni watakuja kuwekeza wafaidike.. mara ooh wakenya watachukua kazi zetu.. kiukweli lazima wakenya wachukue kazi zenu sababu wakenya wamewaandaa raia wao intellectually ukilinganisha na sisi...
 
Wakongo kwasasa sisi ndo tunamiliki dar es salam na tunawekeza saana uko
Ni furaha kubwa saana kwa inch yetu kuwa in africa comunite ila watakao tuaribia ni wale wasenge wa kinshasa ambao wanajiona kama kongo ni yao peke yao ndo nimesikia wakitowa malalamiko kuhusu muungano huu ila wakichafua na sisi wa sud Kivu tunachafua tu
 
CCM mtaji wao ni ujinga wa raia.. Kamwe hawatowekeza kwenye uwezo wa raia wao both kifikra na kiuchumi..

Ndio maana kila kitu wanaogopa, mfano Uraia pacha wanajua wazawa walioneemeka ughaibuni watakuja kuwekeza wafaidike.. mara ooh wakenya watachukua kazi zetu.. kiukweli lazima wakenya wachukue kazi zenu sababu wakenya wamewaandaa raia wao intellectually ukilinganisha na sisi...

Ndiyo maana tumedumaa kimaendeleo. MaCCM majinga sana haya. Vitu vya kuwaendeleza raia hawataki. Wanataka waendelee kututawala kwa faida yao tu.

Ndo maana hata katiba mpya eti majinga hayataki.
 
Kuna sehemu yoyote tumepakana na DRC ukiondoa mpaka wa majini wa Ziwa Tanganyika ?
 
Safi Tz ichangamke zaidi kuiunganisha miundo mbinu yake na Congo soko kubwa sana.
Kuna faida kubwa sana kuungana na Congo.

Ombi langu inch zote za EA ziungane sasa ili kuleta amani Congo.

Maana ili tuifaidi Congo lazima Amani ya kudumu iwepo ..
 
Kuna sehemu yoyote tumepakana na DRC ukiondoa mpaka wa majini wa Ziwa Tanganyika ?
hakuna...

Ila Bandari ya Karema ipo mbioni kukamilika na hii itasaidia baisahar kati ya Tz na Congo plus Zambia.
 
Safi sana. Sasa inabidi waondoe mambo ya résident permit kwa wakazi wa EAC.Watu tuwe huru kwenda kufanya kazi/biashara/kumiliki ardhi na kuishi nchi yeyote mwanachama.
Swala la ardhi halitawezekana .
Kuna nchi zinalipinga sana
 
Nafikiri tuwe
1. Jeshi la pamoja tuwaondoe waasi Kongo na S. Sudan
2. Fedha moja
3. Mfumo wa elimu ufanane
4. Rais mmoja wengine wawe wakuu wa majimbo
5. Mkuu wa jeshi mmoja awe chini ya rais
6. Mifumo ya mahakama ifanane.
7. Ardhi ijadiliwe kwa kina tuweze kumiliki popote.
8. Zanzibar iwe nchi kamili yenye kura yaani jimbo kamili
 
Duh...!. Hii ni habari njema, good news interms of increased coverage area and stability of DRC, but it's bad news kwa instability ya the rest of the area, kama hivi tuu kwa passport Wacongoman wametapakaa hivi, hii free movement of labour itafanya biashara zote zitwaliwe na Wacongoman!.
Tusipo amka...
Kazi Ipo!.
P
Acha iwe hivyo!
Sisi kazi yetu ni kupiga umbeya, uchawa na siasa.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom