Priscallia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 496
- 2,449
Hii itakuwa poa, hata kibiashara Kuna soko kubwa sana DRCKwahiyo hata ukanda wa kimpira watauhama na kuja ukanda wa kwetu...nice!
Hakika...Hii itakuwa poa, hata kibiashara Kuna soko kubwa sana DRC
Vita yao sasa vita yetu soteVigezo gani vimetumika kuwaingiza. Je sisi kama wananchi tulijulishwa?. Hawa hatuwataki nchi yao Ina vita
Hii itakuwa poa, hata kibiashara Kuna soko kubwa sana DRC