History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

Duh labda specific iwe mashariki mwa Kongo tu huku kinshanznsah hapan Ni mbali mno kuwa mashariki ya East Africa
 
Sasa nahisi yale mambo ya Uganda na Rwanda kufanya DRC Shamba la bibi kwa kuanzisha vikundi vya uasi ili wao wakapore kwa kisingizio cha kupambana na waasi sasa itakuwa mwisho.
 
Ya tanzania tu hujamaliza unaiwaza ardhi ya congo
Kuna mtu nilikuwa ninamjibu,maana anaogopa wakenya,wanyarwanda watakuja chukua ardhi yetu endapo wananchi wa EAC tukiwa na haki sawa kwa kila nchi mwanachama.
 
Saafi kabisa
 
Inward thinking. Inawezekana ukipewa uenyekiti wa kijiji utafunga mipaka ya kijiji chako kabisa.

Mimi nikiitazama kongo naona fursa kubwa sana ya ajira, uwekezaji, na ulinzi. Mkuu, are you serious kabisa kuwa huoni hii ni fursa kwa wabongo?
 
Bandari zetu pamoja na Dubai ndogo ya ubungo zitafurika kwa wafanyabiashara
 
Tunatakiwa tutumie akili. Changamoto zilizopo ni kutokana na matumizi hafifu ya akili.

Mfano kuanzisha jeshi la ulinzi la pamoja kwa bajeti shirikishi sioni muujiza hapo.
LAZIMA TUPATE EAST AFRICA ARMY,YENYE ZANA ZA KISASA KABISA KULINDA NDANI NA NJE YA MIPAKA./ ALTHOUGH NI VYEMA MUUNGANO HUU UKAWA NIWA KIBIASHARA TU,MENGINE NCHI HUSIKA ZIJITEGEMEE.
 
Uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto

Yaani Watanzania tunawaogopa hata wakongo ambao hata mfumo wao wa siasa haujaimarika, nchi ambayo inakabiliwa na changamoto za kila aina. Wananchi wake hawana mbele wala nyuma badala ya kuwaona kama fursa tunawaangalia kwa hofu ya kuja kuchukua fursa zetu?

Kweli CCM imedumaza akili zetu aisee.
 
Inabidi tutengeneze the biggest economic block in africa.

1. Tuanzishe umoja wa kujihamj wa kijeshi.
Naaminj hii italeta complete stability DRC na S.Sudan.

2. Tuanzishe currency moja.

3. Tufanye harmonisation of academic curriculum

4. Tuweke mkazo kwa lugha ya kiswahili.

5.Lazima tuunganishe infrsatructure zeru wote
  • umeme kuwe na EAC GRID.
  • Barabara and Railway
  • usafiri wa majini uwe serious kidogo along Tanganyika na Victoria lakes


6. Kwa sisi ma pan africanist inabidi tutumie EAC kama launching ground ya the great african empire.inabidi tuendelee ku expand.


The current AU is a puppet organisation imeshindwa kuunganisha waafrica ku unite African interests.
 
Ccm imefubaza vibaya sana akili za watanzania wengi.
 
Hivi uwa kuna faida gani kwenye hii jumuiya au basi tu ipo ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…