Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Mar 30, 2022 #61 Scars said: Mazembe wamemfuata Simba wakijua kuwa karibu naye kutawapaisha kimataifa Kumbuka kwenye IFFHS wamepigwa gape kubwa na mnyama Click to expand... hahahaha. Jifurahishe kwa takwimu.mazembe wana makombe km yote afrika
Scars said: Mazembe wamemfuata Simba wakijua kuwa karibu naye kutawapaisha kimataifa Kumbuka kwenye IFFHS wamepigwa gape kubwa na mnyama Click to expand... hahahaha. Jifurahishe kwa takwimu.mazembe wana makombe km yote afrika
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Mar 30, 2022 #62 Hili ndilo tulikua tunalitaka.hongera wakubwa ktk hili
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Mar 30, 2022 #63 Dafugwadu said: Hapa ni kuwahi mashamba kule kwenye almas wale wapaka mkorogo hawalimagi wanaamini viuno ndio kila kitu. Click to expand... Unalima kwenye vita? Wakongo ni watu wa kujituma sana tofauti na tunavyowachukulia sisi wabongo. Sisi ndiyo watu wa kulala sana hatuchangamkii fursa. Just wait and see..
Dafugwadu said: Hapa ni kuwahi mashamba kule kwenye almas wale wapaka mkorogo hawalimagi wanaamini viuno ndio kila kitu. Click to expand... Unalima kwenye vita? Wakongo ni watu wa kujituma sana tofauti na tunavyowachukulia sisi wabongo. Sisi ndiyo watu wa kulala sana hatuchangamkii fursa. Just wait and see..
N nwankoe JF-Expert Member Joined Oct 17, 2019 Posts 884 Reaction score 1,114 Mar 30, 2022 #64 Tuanze mchakato wa kuwa na sarafu 1 Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
sikongefdc JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,612 Reaction score 2,156 Mar 30, 2022 #65 Naona bibi kizee ana shangaa shangaa tu