Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Duh natamani kukutukanaYalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
very weak reasoning, mapinduzi hayaonhozwi na raia wa nje, vuguvugu huanzia ndani.Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Mapinduzi ya kiraia yaliyofelivery weak reasoning, mapinduzi hayaonhozwi na raia wa nje, vuguvugu huanzia ndani.
Angalia recent countries zilizopinduliwa africa, ni jeshi na wananchi wameamua si raia wa nje
Lingekua mapinduzi within 24 hours serikal ingekwua nyingine
Dhihaka hazisaidii, wacenge wamechezea chuma na macho ndiyo atawapangia maisha kwa miaka mitano ijayoNatoka kuambiwa hapa na wahenga wa Gen Z wanasema eti;
""Kule ikulu awamu hii kuna watu wawili wenye macho makubwa! lakini hawana upeo wa kuona mbali""-nukta
Yet again huna logic, mapinduzi huyajui ww. Ni protest ya kawaida tuMapinduzi ya kiraia yaliyofeli
Mapinduzi ya ufaransa yalikuaje?..wasingedhibitiwa hali ingekuaje ndani ya wiki?..kwa nini rais alibadili kituo cha kupiga kura na kuhakikisha yupo Dodoma wakati wa uchaguzi?Yet again huna logic, mapinduzi huyajui ww. Ni protest ya kawaida tu
Kwa hivyo walioshtakiwa watu wa nje?Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Huwezi mshitaki uhaini raia wa nje,raia wa nje wapo kwenye friji sehemu salamaKwa hivyo walioshtakiwa watu wa nje?
Ndio katiba ya Tanzania inasema hivyo?Huwezi mshitaki uhaini raia wa nje,raia wa nje wapo kwenye friji sehemu salama
ngoja kwanz nchekeYalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Uhaini ni usaliti, huwezi mshitaki raia wa nje kwa kuisaliti nchi isiyo yake, hakuna mantikiNdio katiba ya Tanzania inasema hivyo?
Mapinduzi yapi ya ufaransa unayazungumizia?Mapinduzi ya ufaransa yalikuaje?..wasingedhibitiwa hali ingekuaje ndani ya wiki?..kwa nini rais alibadili kituo cha kupiga kura na kuhakikisha yupo Dodoma wakati wa uchaguzi?
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
unafanya mapinduz kwa kuchoma duka la Nenga ? 🤣 bro kuwa serious aseeMapinduzi ya ufaransa yalikuaje?..wasingedhibitiwa hali ingekuaje ndani ya wiki?..kwa nini rais alibadili kituo cha kupiga kura na kuhakikisha yupo Dodoma wakati wa uchaguzi?
nyiny ndo mnafany ccm watudharauJugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.
Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya viunganishi, bandari, na vituo vya mawasiliano ambavyo ni proganda machines za dola.
Mara nyingi Jugular ikishapigwa vizuri, uwezekano wa nchi kushindwa vita unakuwa ni mkubwa.
Kilichotokea MO29 nakifananisha kwa mbali ni hii approach ya hit the jugular. Baada ya masaa machache ya maandamano, waandamanaji walishaingia uwanja wa ndege wa JKNIA (ni suala la kushukuru hakukuwa na akili butu ya kuchoma uwanja au ndege, vituo vya mafuta vilikuwa under attack, jengo la mamlaka ya mawasiliano (napo ni kuombea kwamba hakukuwa na akili butu ya kuchoma).
Hichi ndo kitu nafikiri kiliwaogopesha dola kwamba hapa, hali ikiendelea hivi kwa masaa 72 zaidi, nchi ingeanguka.
Bado najiuliza kuna mengi sana ya kuandika na kuchambua kuhusu MO29.
Wenu,
MC