Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Ahahah. Mkuu shukrani. Tupo pamoja hapa hapa jukwaani chief
 
Linapokuja suala wanandoa kutalikiana huwa hakuna mshindi,upande unaoathirika ni watoto na ndiyo unaoumia sana. Inaumiza sana ila huwa hatuzungumzi.
Uko sahihi kabisa mkuu. Japo watoto pia huwathirika kulelewa katika ndoa yenye changamoto na migogoro.
So kuna namna ya kukabiliana na haya na ninafanya hili kwq commitment ya 100%
 
Ni wewe tu kuachagua kuamini au lah mkuu. Viewer secretion is highly advised. Hulazimishwi kuamini na hujakatazwa kutafuta habar upande wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…