Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Am watchful man.
 
Na kinachoshangaza zaidi, hivi hii fikra why yeye hakuipa nafasi in the first place??
Usimlaumu unadhani huwa tunafikiria basi!!!! Sisi tudili na mihemuko yetu na kufikiria wakati ulipo tu!!!!
Ndio maana wanaume baadhi husamehe makosa mazito magumu yasiyostahimilika,,, na baada ya kusamehe humo ndani mwanaume ataanza kuishi na mwanamke kibandidu yani hakuna u romantic Wala politely na automatically mwanamke hujitune na kukaa sawa.
 
Upo sahihi mkuu, hakuna sababu ya kuonesha wazi chuki zako kwake, ni utoto na ni battle za kike hizo.
Sure..
Kwa mtu mpenda shali kama huyo wewe nenda nae kwa akili sio kwa shati kama anavotaka yeye, ndio zile kesi za baba kubaka watoto wake zinakoanziaga huko.
Exactly brother..na hii ndio sababu ambayo hata sikutaka ku battle kukaa na watoto nilili fikiria hili pia.
 
Ha ha ha dada yako wa hiyari anaupiga mwingi katika tasnia ya umimi na ulaghai....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…