Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Usipende kusikiliza upande mmoja wa story, acheni watu wajenge familia zao..!!

Wewe nawe umejeruhiwa mana una kisirani ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Nyie mnaomtetea huyo mwanamke kisa watoto, sio sawa huyo mwanamke ni shetani, Polisi kaenda mwenyewe akijua ana watoto, Mahakamani ni yeye kaenda akijua kuna watoto na hiyo talaka yeye ndio anaidai ili apate mgao wa mali, mnamuonea huruma ya nini? Mungu hadhihakiwi unachokipanda ndio unacho kuvuna.

Hao watoto wameyaona yote Baba yao akiwekwa lockup na mama yao
 
Lazima ex wife achangamke kwa namna ile navara inavyovutia.
Hamna wife wake alionyesha kummiss mumewe kabla hajaiona navara, kumbuka kule alipoanza kuongea naye kwenye simu kuhusu kumchukua mtoto shuleniโ€ฆ angekua hataki angemjibu mwalimu asimchukue.

Halafu hana makuu mbona kuna gari yao alikuwa anadrive rafiki wa mumewe anamuona nayo lakini hakumind kuiulizia wala kulalamika?? Na yeye kusema wasimuache yote kuwafanya watoto wao wafurahi wakiwa pamoja..!!

Jirani uoe na wewe uone mziki wa ndoa ulivyo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ukiwa nje kutoa ushauri ni simple sana ujue..!!
 
Angelalamikaje wakati anajua mgao unakuja, angeanzia kulalamika wapi ikiwa alifanya mpango wa kwenda kuvunja nyumba na kubeba vitu? angeanza kumlalamikia nani kwa mfano?
 
Mahakamani raha sana, ukiamua unasema โ€œNimeona nitawanyima watoto wangu haki zao za msingi za kuishi na wazazi wao wote wawili na pia bado nampenda mume wangu hivyo nafuta kesi ๐Ÿ˜œโ€ Hakimu anagonga nyundo case closed safari kutafuta watoto wa uzeeni ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Mimi kasongo wangu anasema, kubishana na wewe siwezi, wanawake mpo km watoto ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ila akikasirika sikai karibu naye anaweza kuninyonga, na mie nna maudhi sometimes huwa natafuta ugomvi kilazima ๐Ÿคฃ

Mtuvumilie tu wababa wetu tutafika tunakokwenda..!!
 
Huyo mkeo kajishusha cheo mwenyewe(kajipeleka mpaka cheo cha mchepuko)

Sasa hivi pambana uoe mtoto mzuuuri, huyo ex waifu wako unakua unamega kama mchepuko(kwa kujificha gest)
Na huyo mtoto mzuri naye akizingua? Halafu atakua na familia ngapi?
Wewe unampoteza mwenzio, anaweza kuruka majivu akakanyaga moto..!!

Unafikiri huyo mkewe mwanzo hakuwa mtoto mzuri??
 
Amsamehe wakati hata huyo mwnamke hajaomba msamaha.?

Hebu kama ni wewe, mwanamke kakufanyia kama jamaa alivyofanyiwa, utasamehe.?

kwa mjibu wa jamaa huyu mwanmke kamtukana hadi Baba wa jamaa.
Kiss hujaliona au umeruka page? ๐Ÿ˜น
Kuna misamaha ya aina nyingi we uko dunia ya wapi?
 
Amsamehe wakati hata huyo mwnamke hajaomba msamaha.?

Hebu kama ni wewe, mwanamke kakufanyia kama jamaa alivyofanyiwa, utasamehe.?

kwa mjibu wa jamaa huyu mwanmke kamtukana hadi Baba wa jamaa.
Sasa kumtukania baba nalo jambo la kuomba msamaha?? Mbona watu wakizagamuana utramu ukikolea wanatukaniana wazazi nao waachane?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kumbe zipo ndoa zinajengwa kwasababu ama mume ama mke ana MALI na sio Upendo! Endeleeni kujenga ndoa kwa misingi ya MALI zitaendelea kuvunjika nyingi! Mtaingia kwenye matatizo ya kisaikolojia. Ungekwenda kwa mguu, uone Upendo wa kweli wa mkeo! Lakini ulikwenda na NISSAN NAVARA ya rafiki yako, mtalaka wako mtarajiwa na watoto wakajua una ndinga mpya!
 
Wifi hata ndoa huna unashauri watu waachane, uje kwa bro akupige matukio kwanza halafu uje useme km hivi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wewe unajua baba yako kavumilia mangapi kwa mama yako ili ukue ukiwaona wote wako pamoja??
 
Yani amsamehe Mwanamke aliyemtukania baba yake na kumdhalilisha mbele ya familia, na aliyesema mbele ya baraza kua anamlawiti kisa watoto.

Sidhani kama familia yako Baba,mama na ndugu zako sidhani kama watakuja kukanyaga nyumbani kwako, imagine angekua amekufa hao watoto wasingeishi?

Hao watoto wanatesekaje wakati wanapata mahitaji yao yote?


Yani mnataka asamehe mtu ambae hajaomba msamaha wala kujutia aliyofanya utakya ni udhaifu wa kiwango cha juu sana
 
Nyie mbona kwenye mizagamuo mnaporomosha mitusi mikubwa mikubwa na mnasamehewa..!! Hizo ni hasira tu inawezekana hata mtoa post naye kuna kitu alimfanyia mwenzie ila hawezi kusema..!!

Suala la kufa ni tofauti na la mzazi kuwa hai, hiyo sio hoja..!!

Mahitaji na malezi pia nayo usichanganye, kwa dunia ya sasa watoto wanahitaji sana malezi ya wazazi wa pande zote mbili labda km na wewe una ajenda ya uharibifu wa jamii..!!

Hao hawajafumaniana ni mzozo tu ulitokea wa kijinga ukapelekea yote hayo..!!
 
Sasa Kwa sabbu hiz ulizotaja hata akimrudia atakuwa mke au mkwekwese ๐Ÿ˜ƒ

Wakat mke anafanya hayo hakuona watoto wake Yani mtu abebe mimba na kuzaa Kwa uchungu then uchungu sahiz muhamishie Kwa mwanaume mwenzenu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Olewa kwanza, hapa unatafuta wanaume wakuchekelee ila Hawa viumbe ni tatizo kubwa hujawajua bado..!! ๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ