Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Mi hii kitu naichukia sana na sisi kama wanawake tuipinge kwa nguvu zote..... Raha ya familia ni ile iliyokamilika na ndiyo inayoweza kutoa watoto wenye nidhamu na maadili kwa familia na taifa!!
Kabisa familia nyingi zinaharibika sababu ya malezi mabovu ya wazazi, sasa wakitengana wanawafundisha kitu gani watoto wao?

Wangekuwa hawajazaa hata mimi ningesema waachane…
 
Wahi Fanya chap!!!! Si unajua wanaume wa hivi wachache ushindani ni mkubwa!!! Usikute saa hii Pm ya gentleman ishajaa!!!
😹😹😹 Hapa ushindani ni mkubwa sijui km nitatoboa mahi..!! Pm itakuwa na maombi mengi nishachelewa 🤣
 
Jaaji Mtemi Kalekamajenga na Wakili Mchomeko watakusaidia katika hili
 
Hii series itengenezewe video ina kitu, yeye aishi nae sababu hata yeye sio mtakatifu..!!

Bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua..!!
Kabisa na hii wanaume wengi hawai elewi laiti kama wangejua hilo wasinge hangaika kuvunja ndoa !¡!!! na baada ya muda unavuta shetani mpya kwa jina la new angel lakini baada ya muda vilio vinarudi palepale
 
Hapa aliyevunja ndoa ni nani? Si mwanamke kaenda kuomba talaka? Mume angefanyaje sasa.
 
Kwa hio wewe unatakaje jitu limekupeleka Mahamani unaliambia myamalize kiutu uzima halitaki ulitaka mdau afanyaje ? Hapo kashaburuzwa sana kila sehemu kuvunjiwa nyumba kukombewa vitu ndani na huyo huyo Shetani anaemjua wewe ulitaka afanyaje? Akenue?
 
Hapa aliyevunja ndoa ni nani? Si mwanamke kaenda kuomba talaka? Mume angefanyaje sasa.
Uko kwenye ndoa??? Unajua neno kuvumilia??? Unajua upendo husahau na upendo haubagui??
Sasa ukweli wanao wao wanandoa maana ki Hali hapa tungempata na mke nae akatoa ya moyoni!!!
Ndani ya ndoa tunavumilia mengi mno ukimsimulia mtu atabaki anakushangaa... Lakini ukweli ni kwamba familia ikibomoka madhara makubwa ni kwa watoto na matokeo yake tunayaona!!!
Mke au mume inawezekana walikosea kuingia kwenye ndoa wao watapata mahusiano yaliyo bora zaidi na ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anayependa mtoto wa mke mwenzio na hakuna mwanaume anayependa mtoto wa mwanaume mwenzie.
 
Kwa hio wewe unatakaje jitu limekupeleka Mahamani unaliambia myamalize kiutu uzima halitaki ulitaka mdau afanyaje ? Hapo kashaburuzwa sana kila sehemu kuvunjiwa nyumba kukombewa vitu ndani na huyo huyo Shetani anaemjua wewe ulitaka afanyaje? Akenue?
Tumpe nafasi afanye anachoona kinafaa
 
Kwa mfano wewe mtu kakupeleka mahakamani anataka kuvunja ndoa ,wewe ungefanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…