Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Kwani ulikuwa hutoi pesa za malezi?
Kivip mkuu!? Utaishije na usitoe matumizi kwenye family?
Ila suala likishakua kimahakama, unakua na uhuru wa kupanga kile unataka kutoa ukiwa a reasons , sasa hapa unaweza ukasema naweza kutoa 50k kwa mwezi, na ukathibitisha kuwa huo ndio uwezo wako, wajat kikawaida before ulikua una spend may be 200k. Sasa hapa ndipo mwenza wako anapoweza kuona mzigo unakua mzito maana kile ulikua unatoa before now hutoi tena na sheria inakua upande wako.
 
Kwahiyo asikusikilize hata wewe
 
Akikupigia anasemaje?.

Unatupa ubuyu nusu nusu mkuu
 
Akikupigia anasemaje?.

Unatupa ubuyu nusu nusu mkuu
Recently imekua ni kuhusu madogo zaidi, nafikie wameanza kumpa challenge ambazo anaona anakwama ku deal nazo so ananipush ku play fatherhood role while am away, na huju alikua hatak niwasumbue. Na kwakua niliamua kuwa kimya, nimeendelea kua kimya tu
 
Recently imekua ni kuhusu madogo zaidi, nafikie wameanza kumpa challenge ambazo anaona anakwama ku deal nazo so ananipush ku play fatherhood role while am away, na huju alikua hatak niwasumbue. Na kwakua niliamua kuwa kimya, nimeendelea kua kimya tu
Badili namba au m block.

Vipi yule mtu wake wameshamwagana tayari?
 
Kiukwel mimi hata mtu wake simjui. Wala hata sijawa kujishughulisha sanaa na mambo yake
Nimesoma kisa chako chote. Kusema kweli wewe kaka /baba una hekima sana Mungu azidi kukupigania na kukutia nguvu kwa hii mitihani unayopitia.Hukustahili haya ila ndo yalishatokea.Cha msingi amka anza upya.Sali sana kwa Mungu wako huyu mwanamke asitumie silaha Pendwa ya wanawake magaidi... UCHAWI.Maana wakishindwaga pote jambo la mwisho wanahamia kwenye kuroga tu.Mungu akuepushie na hili hata kama amekusudia kwako. Zidisha dua na sala Mungu ndiyo mtetezi wako..Binadam tutaongea mengi lakin Mungu ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho ya hatima zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…