Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

Nmeshindwa kumthibitisha huyo Mungu katika hali halisia na hata yeye hana shida ya Kujidhihilisha dhahili,
ila kutwa machawa wa huyo Mungu mnateseka kutaka kutuamisha vitu ambavyo hata nyie hamna ushahidi navyo zaidi ya hekaya na blaa blaa za kale tu.

Nmepigwa chenga za mwili na akili juu ya origin of life mnataka kurahisisha mambo magumu kujibiwa na maswali mepesi,

Mungu ni nadharia tu isiyo katika uhalisia na huna ushahidi wenye ithibati kumthibitisha

Alamsiki
Kujidhihirisha dhahiri!?..kivipi yaani!!!?..huona kakuumba una dhakari na yule uke,dhakari haingii ukeni bila kusimamia,ukiona uke inasimama na ndivyo mnavyozaana...unataka dhahiri ipi Tena!?
 
Mtoa mada yupo brainwashed, hayuko tayari kuwaza kwa kina. Mtu kama huyu ni ngumu ku jadili kwa kuwa tayari ana majibu.
Kwanini umesema hivyo mkuu?
Waislamu wanakuwa brainwashed wakiwa wadogo sana.
Haya madai nikikutaka kuyathibitisha utaweza?
Kama unataka kujadili theists na atheists ni lazima uwe open minded.
Alhamdulillah nilifungua akili yangu kusikiliza hoja zao kwenye uzi nilioweka link kwenye mada hii, sikuishia hapo, nikamsikiliza moja ya Atheists mashuhuri zaidi Profesa Richard Darwkins na Sam Harris.

Katika kufanya hayo yote nimeleta niliyoyapata kama hitimisho kwenye mada hii.
 
Nafasi ya dini sio hoja kubwa na ya msingi. Bali kushindwa ku prove uwepo wa Mungu ndio kunafanya watu wasiamini hizo dini.
Ni kweli nayaelewa mashaka yao, tatizo ni kwamba hata wao hawawezi ‘prove’ kuwa hayupo.

Hoja zao zimejaa mashaka na kutokujua kwingi, ambako nimehitimisha kwa nukuu ya Dr Carl Sagan kuwa:

“Absence of evidence is not evidence of absence”
 
Mimi ninayo hoja ya kuthibitisha hayupo

Kwasababu mimi ndio Mungu wa kweli na huyo mnayedhani ni Mungu hayupo zaidi ya stori

Hautaki?

Kama unabisha basi thibitisha mimi sio Mungu
😂😂😂😂 bila shaka Scars utakuwa miongoni mwa wale Wapumbavu sana!

Haya umeumba nini weye?
 
Mimi ninayo hoja ya kuthibitisha hayupo

Kwasababu mimi ndio Mungu wa kweli na huyo mnayedhani ni Mungu hayupo zaidi ya stori

Hautaki?

Kama unabisha basi thibitisha mimi sio Mungu
Unaweza ukawa mungu hata kuna watu wanaamin ngombe ni mungu
Kwa kukusaidia miungu wako wengi sana kwa hiyo wewe kuwa mmoja wapo wa miungu sio ajabu
 
lakini mkuu tukubaliane jambo moja Mungu yupo ila Apo kwenye dini apo tumepigwa nahisi kabsa dini haina uhusiano na Mungu kabsa, japo vitabu vya dini kuna namna vinaongea kaukwel ila vingi ni kwa madhumuni ya interest zao tu.
 
Sio kuwa kinyume na mtizamo

Alikuwa snitch kwa ku pretend kujitoa katika nafadi ya kuhojiwa kuhusu uthibitisho wa uwepo wa Mungu

Aka switch kwa kujidai anauliza maswali atheists ili apate opinions zao
Kwani ni Kosa kwa yeye kutaka kujua atheist wanachoamin
 
Wewe umesema ni mungu Sasa mim nithibishe ya nin bro mbona umechanganyikiwa
Sijaishia kusema mimi ni Mungu tu, kumbuka nimesema hivyo ili nithibitishe Mungu mnayemuabudu hayupo

Ukikubali madai yangu tafsiri yake umekubali kuwa Mungu unayemuabudu ni wakufikiriki (hayupo) na mpaka hapo nitakuwa nimejibu hoja yenu (ya kuthibitisha Mungu hayupo)

Ukishindwa kukubali madai yangu unapaswa u prove wrong kwa kuthibitisha mimi sio Mungu wa kweli
 
Mimi ninayo hoja ya kuthibitisha hayupo

Kwasababu mimi ndio Mungu wa kweli na huyo mnayedhani ni Mungu hayupo zaidi ya stori

Hautaki?

Kama unabisha basi thibitisha mimi sio Mungu
ukishatambua ww ni Mungu upo kwenye level ya juu zaidi ya kumjua Mungu , umetoka kwenye kuamini na sasa unamjua , ivi umetambua ulichokiandika ?
 
ukishatambua ww ni Mungu upo kwenye level ya juu zaidi ya kumjua Mungu , umetoka kwenye kuamini na sasa unamjua , ivi umetambua ulichokiandika ?
Ukishakua Mungu, unaaminije tena kuwa kuna Mungu?

Na ndio maana nilikuumba ukiwa na uwezo mdogo wa ku reason mambo
 
Sijaishia kusema mimi ni Mungu tu, kumbuka nimesema hivyo ili nithibitishe Mungu mnayemuabudu hayupo
Haya hapo umethibitisha vipi? Kwa kudai wewe ni Mungu basi tayari Mungu tunaemuamini sisi anatoweka ghafla au?

Mungu tumuaminiye ni muumbaji, wewe unaweza umba nini?

Ukikubali madai yangu tafsiri yake umekubali kuwa Mungu unayemuabudu ni wakufikiriki (hayupo) na mpaka hapo nitakuwa nimejibu hoja yenu (ya kuthibitisha Mungu hayupo)
Thisi is nonesense!! Kwahiyo akitokea mtu kusema wewe ni mungu basi tayari Mungu wanaomuamini Waislam anatoweka?!
Inahitaji akili kidogo sana kuelewa.
Ukishindwa kukubali madai yangu unapaswa u prove wrong kwa kuthibitisha mimi sio Mungu wa kweli
Jambo ambalo ni rahisi sana, nadhani hata mtoto anaekwenda ‘sunday school’ anaweza thibitisha huku anakula ‘ice cream’ ya ukwaju.
 
Back
Top Bottom