Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

We jamaa unashida we umesema ni mungu nani akubishie nakukumbusha hata ngombe au mti wako watu wanaamin ni miungu yao u Kuwa mungu sio big deal mkuu hata maradona alikua mungu watu walikua wanamuabudu
Usingebisha ungeniita Mungu, usingeniita "jamaa"
 
Duh. Haya mapya ni viumbe gani hivyo? Labda elimu yako hii Sina utaalam nayo. Ina mana matajir wana asili ya kutumia uchawi au?
Sio KILA elimu ni uchawi.Uchawi ni elimu ndogo kuliko elimu zingine kubwa.Utajiri ni tabia na uchawi ni iman.Na si KILA tajiri ni mchawi
 
Usingebisha ungeniita Mungu, usingeniita "jamaa"
Hata nikikuita Mungu au nisipokuita mungu nikitu gani kwenye maisha yangu kinapungua hamna acha ujinga sikujua unaupeo mdogo hivi aya wewe scar ni mungu umeshafurahi
 
Hata nikikuita Mungu au nisipokuita mungu nikitu gani kwenye maisha yangu kinapungua hamna acha ujinga sikujua unaupeo mdogo hivi aya wewe scar ni mungu umeshafurahi
Ita vizuri usitumie herufi ndogo afu unachukulia simple kuniambia nina upeo mdogo
 
una ushahidi na uliyoyaandika hapa au unajaribu tu kurahisisha mambo uonekane na wewe umetoa jibu la kumsemea huyo Mungu?


nasikitika kutangaza ya kwamba wewe unayedai yupo umeshindwa kumthibitisha na unadai ushahidi wa kutokuwepo kwake toka kwangu
waamini Mungu mna viroja sana!
Ushahidi kivipi, mbona unashindwa kuuliza swali!?..kupitia alivyoumba unapata mwanga kwamba Kuna muumbaji,we unataka umuone anakula!?
 
Katika uzi nilioufungua jukwaani hapa nilioutumia kuwaalika Atheists kuleta hoja za kuthibitisha kuwa Mungu hayupo ili tujifunze kuhusu misingi yao, wachache hawakunielewa kwa kudhani nilitaka mabishano, ila nimepata hitimisho lifuatalo
  1. Baadhi ya Atheists wanashindwa kuelewa Mungu huyu (kama atajavyo na Quran na Biblia) anawezaje kuwepo wakati sifa zake zinajikanganya. Mfano kuwa na hasira na kuwa na huruma, kuwa muweza wa vyote n.k
  2. Atheists hawana maelezo mbadala yanayokubalika juu ya asili ya Dunia hii na UIlimwengu kwa ujumla.

  3. Atheists baadhi wanatatizwa na uwepo wa matatizo hapa Duniani, hivyo wanaona Mungu muweza wa vyote hayupo. Kwa maana angekuwepo angeyaondoa haya matatizo
  4. Baadhi hawana uhakika juu ya uwepo wa Mungu wanataka kumjua zaidi lakini si kwa kupitia hizi ‘mainstream religion’ kwa maana kwao wanaona ni uzushi.
  5. Baadhi wamechanganyikiwa, wanashindwa kuielewa hata kidogo dhana ya Mungu.
  6. Atheists wengi wako ‘on offensive’ wanashambulia hoja za Waumini na unapowaweka mazingira ya kuwalazimu kuthibitisha hoja zao inakuwa mtihani.
  7. Atheists wengi hupata chochote cha kusema kwa kushambulia hoja za waumini Dini wengi wao hawana hoja ukiacha kushambulia za waumini Dini.
  8. Wachache sana ni wakweli, na wana fikra huru.
Dini za Kumfuata Ibrahimu, UHindu, na Ubudha kwa uchache zimekuwa na mchango mkubwa sana ktk kuijenga jamii kama tuionavyo leo, lakini hilo haliondoi ukweli kuwa Dini hizi hizi pia zilichangia kuleta maafa makubwa kwa wanaadamu, lakini faida zake kijamii ni nyingi kuliko maafa yake.

HITIMISHO LANGU;
Awali nilidhani Atheists wana hoja za kusikiliza linapokuja suala la Mungu, lakini nimegundua wao wamejawa mashaka, hawana majibu ila maswali ambayo wanayakataa majibu yake, wengi wanakariri hoja na hawako tayari kupokea mabadiliko.

Hivyo basi, ninaamini Mungu yupo kwa mujibu wa Quran aliyoletewa Muhammad (PBUH)

Nimalize kwa nukuu ya Profesa nguli Jordan B. Peterson
“You can only find out what you actually believe (rather than what you think you believe) by watching how you act. You simply don’t know what you believe, before that. You are too complex to understand yourself.”
Jordan B. Peterson
Wewe huelewi hata atheism ni nini.

Na hapo ndipo tatizo linapoanzia.
 
Wewe ndio unatakiwa upambane unionyeshe huyo Mungu maana mimi simuoni ila najua jua linatupa nguvu
Sihitaji kukushawishi kivyovyote kuwa yupo.
Kama huamini hayupo hiyo ni juu yako endelea na imani hiyo, nami naamini yupo naendelea na imani yangu, hakuna shida.
 
una ushahidi na uliyoyaandika hapa au unajaribu tu kurahisisha mambo uonekane na wewe umetoa jibu la kumsemea huyo Mungu?


nasikitika kutangaza ya kwamba wewe unayedai yupo umeshindwa kumthibitisha na unadai ushahidi wa kutokuwepo kwake toka kwangu
waamini Mungu mna viroja sana!
Hoja za kuwepo kwake katu hamzikubali,
basi ingekuwa vyema kama mngekuwa na hoja za kutokuwepo kwake ila hakuna, zaidi ya maswali juu ya maswali hamna majibu yake na hata yakiwepo yamejawa mashaka kiasi cha kuwafanya baadhi ya wasioamini kuchanganyikiwa.
 
Ukishakua Mungu, unaaminije tena kuwa kuna Mungu?

Na ndio maana nilikuumba ukiwa na uwezo mdogo wa ku reason mambo
jua kwanza Mungu ni nini.mtu anaposema Mungu anamaanisha nni
 
Ukishakua Mungu, unaaminije tena kuwa kuna Mungu?

Na ndio maana nilikuumba ukiwa na uwezo mdogo wa ku reason mambo
hahahaha kwan haujui kuna watu hawajiamini kuwa wao ni wao , unakosea unaposema siwezi kureason mambo , kwa taarfa yako nimewapa vijana 146 ajira katika umri wa miaka 32 nilionao sasa hyo tu inatosha kujiamnisha nikati ya vijana mwenye akili ya juu kwa apa tz.
 
Back
Top Bottom