Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

Mungu ni nadharia tu kama ukijifungia kwenye box la fikra.
Lakini kama ukiamua kufikiri nje ya box na kutojifunga na Yale tu unayoyafahamu kwako Mungu atabakia tu ni nadharia.
 
Nimejiridhisha hawana majibu.
Wanategemea eti sayansi pekee ndo iwape majibu.
Sayansi imeshindwa kutupa majibu kuhusu mambo mengi duniani, imeweza only 10% ya yaliyomo.But maelf ya elimu zingine nje ya sayansi zimetoa majibu.
So ukijifungia kwenye box la kutegemea ya sayansi tu huwezi pata majibu ya vitu vingine.
 
Mi nilikuwepo tangu na tangu na nitaendelea kuwepo

Ukiniangalia katika jicho la kibinadamu lazima uone nimezaliwa juzi

Hiyo ni moja ya weakness niliyokuumbia
Umenyoa sehemu za Siri!?..kanyoe muwasho huathiri fikra
 
We umeshajijibu, ishu sio uwepo au kutokuwepo kwa Mungu, shida ni hizo dini zenu, na uwezo hao Miungu wasioweza kujipigania mpaka mumpiganie kwa kuua watu, na kumdhuru binaadam mwenzako kwa kumtetea Mungu.
 
Matatizo yote uliyoyataja yanasababishwa na muingiliano wa maisha ya binadamu na viumbe visiovyoonekana. Watu wenye kumudu kuvitawala viumbe visiovyoonekana wameyashinda matatizo. Hawateswi na umasikini, uzinzi, wizi, hasira, ubinafsi, nk hawa watu wanakuwa kwenye level ya maturity and civilized.
 

Attachments

  • E1272345-A3ED-47C5-A35F-E747FBBAF3EF.jpeg
    46.2 KB · Views: 4
  • AF50C180-567E-482A-AF27-3F0B6360A913.jpeg
    73.8 KB · Views: 4
  • 2487F763-54E9-45F8-B8D0-86260FAC71BE.jpeg
    67.3 KB · Views: 4
We umeshajijibu, ishu sio uwepo au kutokuwepo kwa Mungu, shida ni hizo dini zenu, na uwezo hao Miungu wasioweza kujipigania mpaka mumpiganie kwa kuua watu, na kumdhuru binaadam mwenzako kwa kumtetea Mungu.
“Ishu” ni kuwepo au kutokuwepo kwake, maana hoja za baadhi ya Dini ni lazima zitegemee hapo, ukisema hayupo Dini nyingi zinapoteza hoja.

Ukisema yupo Dini hupata hoja, hivyo “ishu” ni Kuwepo au kutokuwepo.

Hilo la dini lenyewe ni suala la kuliangalia upya, maana kuna watu wanafanya ya kipuuzi kwa jina la Dini.
 
Spirit au Roho nguvu zisizoonekana ndizo zinazocontrol maisha ya mtu so ni vita either uvishinde au wakushinde.
Kuwashinda utegemeana na nguvu uliyonayo. It's you against nature.
 
Nafasi ya dini sio hoja kubwa na ya msingi. Bali kushindwa ku prove uwepo wa Mungu ndio kunafanya watu wasiamini hizo dini.
Mungu amesha prove uwepo wake tokea enzi za akina nabii Nuhu , Luti , Ibrahim, Musa na manabii wengine wengi na kuacha kumbumbu ya maneno na maandiko Sasa wewe kama hauamini hayo ni matatizo yako yanayo tokana upungufu wa akili uliyo nao

Kama Leo hii Mungu atataka tena aprove uwepo wake kwa vitendo ili wewe uone kwa macho yako
Miaka 2000 ijayo atatokea tena mtu mbumbu kama wewe na atasema kama unavyo sema wewe kuwa kama Mungu yupo atuonyeshe kwa vitendo ili aprove kuwa yupo

Au unahisi wewe ndio mbumbu wa mwisho hapa duniani kuwa Mungu akijifunua kwako basi ndio tena watu wataamini mile na mile kuwa Mungu yupo?
 
Kujidhihirisha dhahiri!?..kivipi yaani!!!?..huona kakuumba una dhakari na yule uke,dhakari haingii ukeni bila kusimamia,ukiona uke inasimama na ndivyo mnavyozaana...unataka dhahiri ipi Tena!?
una ushahidi na uliyoyaandika hapa au unajaribu tu kurahisisha mambo uonekane na wewe umetoa jibu la kumsemea huyo Mungu?

Vizuri, bahati mbaya kwako hauna hoja ya kuthibitisha hayupo.
nasikitika kutangaza ya kwamba wewe unayedai yupo umeshindwa kumthibitisha na unadai ushahidi wa kutokuwepo kwake toka kwangu
waamini Mungu mna viroja sana!
 
Sio viohoja ni uhuru wa kuamin na imekuja gundulika amuheshimu uhuru wa watu wengine kuamini kile wanachoamini

Mfano wewe huamin Mungu which ni haki yako lakin unaweza niprove unachoamin kama ni kweli nauhakika huwez
 
Yupo yeyote aliyeweza kuthibitisha mimi sio Mungu?
 
Yupo yeyote aliyeweza kuthibitisha mimi sio Mungu?
We jamaa unashida we umesema ni mungu nani akubishie nakukumbusha hata ngombe au mti wako watu wanaamin ni miungu yao u Kuwa mungu sio big deal mkuu hata maradona alikua mungu watu walikua wanamuabudu
 
Duh. Haya mapya ni viumbe gani hivyo? Labda elimu yako hii Sina utaalam nayo. Ina mana matajir wana asili ya kutumia uchawi au?
 
Okay basi atheists tukubali Mungu yupo....ila tuje swali la pili..Mungu yupi ni wa kweli? Kati ya Allah, Yahweh, Yesu, Budha, Krishna, Odin nk nk.???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…