Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

We jamaa unashida we umesema ni mungu nani akubishie nakukumbusha hata ngombe au mti wako watu wanaamin ni miungu yao u Kuwa mungu sio big deal mkuu hata maradona alikua mungu watu walikua wanamuabudu
Usingebisha ungeniita Mungu, usingeniita "jamaa"
 
Duh. Haya mapya ni viumbe gani hivyo? Labda elimu yako hii Sina utaalam nayo. Ina mana matajir wana asili ya kutumia uchawi au?
Sio KILA elimu ni uchawi.Uchawi ni elimu ndogo kuliko elimu zingine kubwa.Utajiri ni tabia na uchawi ni iman.Na si KILA tajiri ni mchawi
 
Usingebisha ungeniita Mungu, usingeniita "jamaa"
Hata nikikuita Mungu au nisipokuita mungu nikitu gani kwenye maisha yangu kinapungua hamna acha ujinga sikujua unaupeo mdogo hivi aya wewe scar ni mungu umeshafurahi
 
Hata nikikuita Mungu au nisipokuita mungu nikitu gani kwenye maisha yangu kinapungua hamna acha ujinga sikujua unaupeo mdogo hivi aya wewe scar ni mungu umeshafurahi
Ita vizuri usitumie herufi ndogo afu unachukulia simple kuniambia nina upeo mdogo
 
Ushahidi kivipi, mbona unashindwa kuuliza swali!?..kupitia alivyoumba unapata mwanga kwamba Kuna muumbaji,we unataka umuone anakula!?
 
Wewe huelewi hata atheism ni nini.

Na hapo ndipo tatizo linapoanzia.
 
Wewe ndio unatakiwa upambane unionyeshe huyo Mungu maana mimi simuoni ila najua jua linatupa nguvu
Sihitaji kukushawishi kivyovyote kuwa yupo.
Kama huamini hayupo hiyo ni juu yako endelea na imani hiyo, nami naamini yupo naendelea na imani yangu, hakuna shida.
 
Hoja za kuwepo kwake katu hamzikubali,
basi ingekuwa vyema kama mngekuwa na hoja za kutokuwepo kwake ila hakuna, zaidi ya maswali juu ya maswali hamna majibu yake na hata yakiwepo yamejawa mashaka kiasi cha kuwafanya baadhi ya wasioamini kuchanganyikiwa.
 
Ukishakua Mungu, unaaminije tena kuwa kuna Mungu?

Na ndio maana nilikuumba ukiwa na uwezo mdogo wa ku reason mambo
jua kwanza Mungu ni nini.mtu anaposema Mungu anamaanisha nni
 
Ukishakua Mungu, unaaminije tena kuwa kuna Mungu?

Na ndio maana nilikuumba ukiwa na uwezo mdogo wa ku reason mambo
hahahaha kwan haujui kuna watu hawajiamini kuwa wao ni wao , unakosea unaposema siwezi kureason mambo , kwa taarfa yako nimewapa vijana 146 ajira katika umri wa miaka 32 nilionao sasa hyo tu inatosha kujiamnisha nikati ya vijana mwenye akili ya juu kwa apa tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…