Baada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka.
Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa.
Ndani ya muda mfupi kutokea sasa Dola itashika hatamu na kuonyesha makucha yake. Wananchi tuiunge mkono Dola yetu.