Hitimisho langu kutoka Press za Polepole ni kuwa sasa Dola inapambana na Serikali

Usidanganyike, hizi dhana ndio zinatucheleweshaga. Dola ndio hiyo hiyo CCM na CCM ndio hiyo hiyo dola.

yote yanayofanywa na CCM ni baraka za hiyo inaitwa Dola.

Suluhu pekee ni Kwa wananchi kuchukua hatua na kuleta mageuzi tuyatakayo na kupiga marufuku wahusika wote wa huu ujinga kushiriki siasa na hata kuwapeleka jela..
Wote ni wahusika, hata huyu HP ni mhusika anapaswa kuwa jela.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Ipo Dola ya ccm ambayo ndio serikali na ipo Dola ya raia wema ya wananchi wenye uchungu na nchi yao
 
Polepole ameshamaliza kazi yake, watanzania kusuka au kunyoa imebaki kwetu
 
Baada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka.

Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa.

Ndani ya muda mfupi kutokea sasa Dola itashika hatamu na kuonyesha makucha yake. Wananchi tuiunge mkono Dola yetu.
Naomba ulieleweshe tofauti ya DOLA na SERIKALI
 
Mimi kinachonishangaza ni mwanamke kuwa upande wa udhalimu. Hata haipendezi. Huyu Mama ameonyesha kila kitu tulichokuwa tunasikia kuwa hamna kitu. Aibu sana kwa nchi kupata Rais wa namna hii.
 
Bongo mambo yanakuaga kama ya moto vile like hownit seems now kumbe zooote ni zuga tuuuu.
After sometime mambo yanapoa na kurud normal like nothing happened
 
kwa mtu anayekuja leo Tanzania atadhani umeandika kitu cha maana lakini sisi wote tunajua vile kunakwenda
 
Baada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka.

Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa.

Ndani ya muda mfupi kutokea sasa Dola itashika hatamu na kuonyesha makucha yake. Wananchi tuiunge mkono Dola yetu.
Mbo mbo ngafu!!
 
😆😆😆😆Not in TANZAGIZA
 
Tiss na JW siku wakiamua kutoka kwenye koti la chama tawala ndo siku Utakua mwisho wa kulipia maiti hospital ndo utakua mwisho kabisa wa wanafunzi kukaa chini wakati nchi hii ina rasilmali kibao ila pia. polepole alichotaka kuongea sio hiki ila na hiki ni cha maana
 
Back
Top Bottom