Kwenye muktadha huu ,Kuna Tofauti kubwa!Mjuba serikali na dola si ni kitu kimoja? Labda ungesema mahakama na bunge wameamua kuisulubu serikali. Labda unieleweshe maana ya dola
Could be interesting ikiwa hivi! Ila kwa ufahamu wangu ili hili litokee ishara ya kwanza ni CCM kuparanyika! Sioni hio dalili mpaka sasa! Hii ni vita ya makundi ya CCM na frustration ya kundi mojawapo.Baada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka.
Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa.
Ndani ya muda mfupi kutokea sasa Dola itashika hatamu na kuonyesha makucha yake. Wananchi tuiunge mkono Dola yetu.
Good move!Ndani ya muda mfupi kutokea sasa Dola itashika hatamu na kuonyesha makucha yake. Wananchi tuiunge mkono Dola yetu
Team Msoga hawezi kuwa na maamuzi yoyote,Hivimkuuwamajeshi anaitwa nani? Tumweke kwenye maombi.
Kama mbwai na iwe mbwai🔥Ngoja kwanza na Gwajima aongee
🚮🚮🚮🚮Mifumo ya vyama Kama CMC ni migumu sana
Msaliti atapata taabu sana