Ngoja kwanza na Gwajima aongeeBaada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka.
Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa.
Ndani ya muda mfupi kutokea sasa Dola itashika hatamu na kuonyesha makucha yake. Wananchi tuiunge mkono Dola yetu.
Ugali moto,mboga moto.Pembeni kuna chai moto na pilipili.Vyote vinatakiwa kuliwa kwa umahiri mkubwa hadi viishe.Yani saa hii ugali moto mboga moto
Hata wauza madawa ya kulevya utasikia nao wana wasaliti.Ni muda wa kutumia macho na ubongo kumtambua yupi ni msaliti na nani ni mnyetishaji sahihi kwa wakati bora.Mifumo ya vyama Kama CMC ni migumu sana
Msaliti atapata taabu sana
Watanganyika ni waoga sana. Hao wanajeshi wapo tuBaada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka.
Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa.
Ndani ya muda mfupi kutokea sasa Dola itashika hatamu na kuonyesha makucha yake. Wananchi tuiunge mkono Dola yetu.
Kwani kuna mtu anataka kutoroka maisha?Hivimkuuwamajeshi anaitwa nani? Tumweke kwenye maombi.
Sipo unikomeKwani kuna mtu anataka kutoroka maisha?
Nimekutua.Sipo unikome
Ndilo swali gumu la msingi 😳 ! 😅Nani atamfunga paka kengele🤔🤔