Hitimisho langu kutoka Press za Polepole ni kuwa sasa Dola inapambana na Serikali

Unazungumzia dola hii USD ama ?
 

SHILLING IMEWASHINDA MTAIWEZA DOLA?
 
Tupo tayari!! Na kadi zetu za NIDA ziheshimiwe
 
Dola ni nini na serikali na nini ?

Kuna serikali pasipo na dola ?
 
Dola ipi kama mahakama ndio hizi!
 
Ngoja kwanza na Gwajima aongee
Kwa hiyo wao wakishaongea wamemaliza. Wanawaachia wananchi agenda za kuwa nazo busy mitandaoni siku kadhaa halafu baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawaida au siyo ?
 
Hizi ID mpya hizi

Mada imewekwa mezani kisha huyoo kajiondokea zake πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…