Hitimisho langu kutoka Press za Polepole ni kuwa sasa Dola inapambana na Serikali

Nini tofauti ya serikali na dola
Kwa mawazo yangu tu lakini; Serikali ni wale wote watoao HUDUMA kwa RAIA wa nchi yetu Tz. Hawa utawakuta Maofisini (Sehemu na Vitengo maalum kwa kutolea Huduma -Wizara mbalimbali). Hawa huelekezwa kisiasa zaidi.
Dola ni wadhibiti wa Ubora wa viwango vya Huduma Itolewayo kwa Raia. Hao unaweza kuwafananisha na Refa katika soka. Wana uwezo wa kumtoa nje ya mchezo mchezaji mkorofi anayecheza rafu dhidi ya Timu pinzani.
Dola ndo wenye Nguvu (silaha na Amri)na Maamuzi ya mwisho wa nini kinatakiwa Kiwepo/Kifanyike. Hawa utawakuta ni wakimya fulani hv(Mahakama na Majeshi) na kimsingi hawafungamani na Siasa bali huzingatia Utaratibu na Kanuni za Kisheria - na Hazibadiliki hovyo-hovyo au kirahisi-rahisi.
Tuliobaki ndo sisi ni Raia tunaodai Huduma bora ya kiwango cha juu na pia tunahitaji (sio tunaomba)Ulinzi na Usalama tuweze kuishi kwa Haki na Amani ndani ya nchi yetu na ndo mana tunalipa kodi ili kuwezesha matakwa yetu yatekelezwe ipasavyo.
 
JESHI LA WANANCHI (JWTZ) Tafadhali tunaomba mchukue nchi iwe mikononi mwenu
 
Hao wa mahakama, jeshini, halmashauri na wizarani wote ni watumishi wa umma. Ni kila eneo kuna watchdog wake.
 
Hizo ni mbinu zako chache kati ya nyingi nyinginezo.
Endelea kutegemea karma huku unazidi kuumizwa. Fikiria kama Japan baada ya kutandikwa na lile bomu na Marekani, wangeishia kukaa kinyonge kutegemea siku moja karma itokee. Leo hii wangekuwa wapi ?
 
Yanayoendelea yanasikitisha, naunga mkono hoja japo tutakula mikong'oto ya kisawasawa. Usicheze na jeshi.
 
Endelea kutegemea karma huku unazidi kuumizwa. Fikiria kama Japan baada ya kutandikwa na lile bomu na Marekani, wangeishia kukaa kinyonge kutegemea siku moja karma itokee. Leo hii wangekuwa wapi ?
Kila mwenye plan A ni muhimu plan B ikwekwa kwa utimamu.
 
Kweli wakenya sio wapumbavu kama Hawa wa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…