Hitimisho langu kutoka Press za Polepole ni kuwa sasa Dola inapambana na Serikali

Kwa nini huwezi kujenga hoja bila kashifa Wewe huwezi kua mlemavu?
 
Mjuba serikali na dola si ni kitu kimoja? Labda ungesema mahakama na bunge wameamua kuisulubu serikali. Labda unieleweshe maana ya dola
 
Could be interesting ikiwa hivi! Ila kwa ufahamu wangu ili hili litokee ishara ya kwanza ni CCM kuparanyika! Sioni hio dalili mpaka sasa! Hii ni vita ya makundi ya CCM na frustration ya kundi mojawapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…