JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Ni PM tuzungumze
bado nipo nipo sn umu ndani mie
kwani nimesema waondoka?
Sema nikupe shingapi uvunje hicho chama chenu? Ok ok, nimekusoma
Mmmmhh mbona moyo unanidunda
Ushawahi kunisikia naenda Meatu?Always mbaazi huwa zinasingizia jua
We Erickb52 watoto ni wako na wala huna la kujitetea bana nenda kawatafute na uwape msosi wana njaa mbaya
Kwa mwendo wa konokono! lolTaratiiibu...
Chimbuvu
Najua uko kwenye wakati mgumu ila naamini si wakati mgumu tena kwa kuwa umeshatoa maamuzi.
Cha muhimu ni huyo mkeo ambaye anapapatikia Ma politishiani ( Ben Saanane ) na washakaji wengine kuwa aachane nao coz hawana faida!
Ila angalizo tu ukiona maji shingoni kila siku uje tukakutapishe Limbwata ubaki huru!
Ushawahi kunisikia naenda Meatu?
Wewe ndio kila siku uko njiani kwenda huko kuwaona...unadhani wangekuwa wangu nisingeenda?
Kwanini uwe na upendo wa namna hiyo kwa familia ambayo haikuhusu kwa karibu?
Ni watoto wako na Dena Amsi kama hajui ndio ajue kuwa anateseka kwa ajili ya hao watoto!
HahahahaaaaaMi meatu naenda kikazi zaidi na nikienda kikazi ni lazima nipite nyumbani kwa watoto wako Erickb52 maana wako kwenye barabara ya kuelekea mjini na lazima umkute mama yao anaokota mahindi kwenye mashine za kusagia unga
Sasa hapo wewe unasema sio wanao wakati umewatelekeza hata hujui wako wapi Dena Amsi anajua na hana wasi wasi na mimi kabisa aise