Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B


Mi sijitetei Erickb52 najua hapo na najua unajua kuwa watoto hao ni wako kwani mama yao mlikutana enzi za usharobaro wako ukiwa form six
Tena alikusaidia sana la sivyo hata paper usingefanya na kidogo na wewe ungekuwa kama hawa wa mwaka huu wa form four kupata zero
Ila kakuhurumia we umalize shule ila yeye ndo hivyo ukawa umemharibia maisha
 
Last edited by a moderator:
Shhhhh silaha za maangamizi.


Niliahidi kukupa Nivea hujanijibu bado!
Sema nikupe binti mdogo mtoto digitali mambo yote ni touch tu mkuu!
Oooooh bahati haiji mara mbili!
 
Last edited by a moderator:
usisahau kumwambia Madame B uliyoyakuwa unaniambia kule pm
 
Last edited by a moderator:
niliahidi kukupa nivea hujanijibu bado!
Sema nikupe binti mdogo mtoto digitali mambo yote ni touch tu mkuu!
Oooooh bahati haiji mara mbili!
hivi una habari nimeachika siku nyingi kwa yule uliyeniozesha wa boko ???????niwache nipumuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tamko la Chimbuvu ninaagiza nakala ipelekwe fasta kwa:
kiplagati26.....we mkalenjn ushapiga kura?
Shark......thou shall protect your territory
CHAI CHUNGU......nasikia jana umeonekana mlingotini
tedo....still interested?
Chibolo......umeonekana Angola juzi libolo vs simba
gfsonwin......pole kungwi
Ben Saanane......tupe mwongozo kuhusu mtanange huu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Nashukuru nakala nimeipata kaka Bishanga.
Kifupi ni kua Chimbuvu ni mshamba, kakutana na gumegume la mji a.k. a shankupe mkuu Madame B basi anaona kafika sana.

Binafsi hata mimi ilinichukua sana muda kuweza kubanduka kwani Madame B anayajua mapenzi jamani, hivyo siwezi kumlaumu
 
Last edited by a moderator:
No comment!
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini usikubali kushindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…