Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Mnavyomnanga hivi ndivyo atarudi kule alikokuwa huyu ni mtu anatafuta acceptance katika jamii,mkimkosoa ataona basi bwana nifanye yale yale kumbe hata nikibadilika hamna kukubalika.
Watanzania na acceptance of what seems different from their traditional and religious world is almost impossible. Hata feminine straight guys bado hupitia stigma like people mocking them for being gays cause of sauti, body shape au sura. Imagine white or handsome men wanavyotukanwa kwa sababu wana rangi au sura za mama. Do you think itakuwa any easier for someone like Aggrey aliishi openly as a gay man?. Not true sister
 
I agree mwaya....very sad
 
Binafsi simuamini kama kweli ameacha kuchenyentwa toka atoe hilo tangazo lake la reform kuna siku umemuona labda akiwa na hali yoyote ya uanaume?kila siku kaambatana na ule mshangazi haeleweki anafanya nao nini ni kujipost mambo ya ******* tu hata huyo mkewe achunguzwe vizuri hamna mwanamke atakubali kuolewa na ***** nakaribisha povu kutoka kwa gays popote mlipo mazafanta
Mjomba nimecheka sana😂🤣
Mjini mipango yan wame-time yuko kwenye peak wanajua KICK yakuoa itawalipa sana na aggrey ndo itakua toka yake mana atachangiwa sana..umewaza 🤔
 
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.

Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila kuaga?

Dogo tafuta kazi ili usipate muda wa kufuatilia maisha ya wenzio. Utaishia kupigwa mti. Watu wana mishe mishe zao wewe zako ni kufuatilia wanaume wanaishije. Huyo kaacha ushoga wewe unaanza. Kweli duniani ni kupishana pishana.
 
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.
Wabongo hamna jema! Alipoamua yeye ndo awekwe ndani na kuhudumiwa, mkaanza kumzomea "shoga hilo! Shoga hilo! Shoga hiloo! Leo kasema mwanaume kuolewa sio poa kwahiyo itabidi sasa aoe, oh, ana kazi gani hadi atake aoe!! Sema nini; kwani kuna wangapi wameoa huku kichinichini kumbe na wao wameolewa 😀 😀 😀?!
 
Miaka ya nyuma mapunga wengi niliokuwa nikiwaona walikuwa wamelegea. Ila siku hizi unakutana na mtu anabody la mazoezi,mbavu kwelikweli, kidali na zile pack sita zimekubali unakuja kusikia analiwa, yaani anashinda gym mda wote kumbe mkorosho.Kuna list ya watu niliambiwa ni mikorosho mwanzoni nilikataa, ila baadae nikaja kuamini

Ila siku hizi husijifanye kiokote yanaweza kukuta ya Side Mnyamwezi hasa Sinza na yale maeneo kuanzia Magomeni kuendelea mpaka Morocco, yaani kuna mapunga labda kumjua kuwe na mwenyeji na kumbuka kipindi fulani nipo Kinondoni Manyanya, kuna mtu alikuwa yupo mbele yangu tunamove kwenye direction tofauti umbali kama mita 25,akili yangu ilimtafsiri ni mwanamke. Sasa nawaona wana wanapiga miluzi sasa mmhh,baadae ndipo nikawasikia wakisema yule sio mwanamke ni punga. Nikageuka kumwangalia nikasema duu kweli tunahitaji tuwe makini na hasa sehemu za bata.
 
Back
Top Bottom