Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

huko ni saikolojia tuu, na kujijengea kuona labda me mwenzio ndo anafaa kuliko ke na sio hormones,

Wenye ttz la nguvu ya kiume wakipewa dawa inawasaidia nn ? Ni kwenye uzazi plus uboo wenyewe na sio makalio,

Huyo castle anazingua sana

Kabla ya saikologia huanza kujisikia ndan ya mwili wake
 
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.

Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila kuaga?
MUNGU ndiyee ajuayee kula na kuishi kwetu kwenye kila jambo la heri
 
1. Kama hana sehem ya kuingiliwa je?atachagua tundu lolote, ndio maana wanafanywa mdomon na huko makalion.
Maana hawana Pussy.
Na hii haiondoi ubaoligia wa mdomo wala wa makalio.
Hii kukosa tundu inahalalisha kuwa Ushoga ni tatizo la saikolojia zaidi ya biolojia, it means kibiolojia mwili wako haukuumbwa kupokea uume bali kutoa ndo maana ukanyimwa kipokeleo ukapewa uume.

Sasa sababu ubongo una mambo mengi, saikolojia inakuelekeza mambo mengine kabisa ya makalio na mambo yafananayo na hayo.

Mfano, kibiolojia mwanaume akiwa na hamu anataka mwanamke ila akimkosa saikolojia inamwelekeza ajichue, kujichua ni saikolojia, kibiolojia alitakiwa apate mwenza. Sasa haya mashoga saikolojia inavuka mipaka na kutoa maelekezo ya kutinduliwa sababu yeye ni Mwajuma kwenye mwili wa Juma.
2. Nadhan unawajua wadada waliooa kabisa wanawake wenzao. Au nikutajie?
Jua wale wana hormones za Kiume na hawana uboo wala, wanasagana.
Wanawake wa namna hii wanajisikia kuwa ni wanaume. And opposite yake sasa ndio Gay.
Wana tatizo la saikolojia.
 
Hii kukosa tundu inahalalisha kuwa Ushoga ni tatizo la saikolojia zaidi ya biolojia, it means kibiolojia mwili wako haukuumbwa kupokea uume bali kutoa ndo maana ukanyimwa kipokeleo ukapewa uume.

Sasa sababu ubongo una mambo mengi, saikolojia inakuelekeza mambo mengine kabisa ya makalio na mambo yafananayo na hayo.

Mfano, kibiolojia mwanaume akiwa na hamu anataka mwanamke ila akimkosa saikolojia inamwelekeza ajichue, kujichua ni saikolojia, kibiolojia alitakiwa apate mwenza. Sasa haya mashoga saikolojia inavuka mipaka na kutoa maelekezo ya kutinduliwa sababu yeye ni Mwajuma kwenye mwili wa Juma.

Wana tatizo la saikolojia.

Unawajua Ladyboy?
Shemale?

Na wenyewe ni saikologia?
 
Tukubali kutokubaliana.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mm nimesoma na Shoga, A level .
Shule ya Kiume.
Sasahiv ameolewa anaishi na mwanaume ndan. Apartment.

Yule jamaa hakuwa na uanaume kabisa
Sasa hiyo ndo sababu ya hoja yako kuu? Au ndo yeye huyo anazingizia kuolewa na mwanaume mwenzake, kisa hormones? Bas anakudanganya, na ELIMU yake haijamsaidia.

mwanaume kutokua na uanaume ndani yake haimfanyi awe Shoga. Hili ukae ukilijua
 
Akikosa uanamume ndan yake ndio utakuta hata akioa bado atataman kufanywa .

Ni ushoga.
Ni hormones haziko sawa.
Sio saikologia wala mindset
 
Akikosa uanamume ndan yake ndio utakuta hata akioa bado atataman kufanywa .

Ni ushoga.
Ni hormones haziko sawa.
Sio saikologia wala mindset
Kwahiyo mtu akikosa uanaume ndani yake anakua Shoga? Mbna kuna watu wenye matatizo ya hormones na sio mashoga?

Afadhari hao, vipi hawa khanithi mbna hawawi Mashoga?
Sasa km had anaoa, na bado anatamani kuliwa, huoni ni fikra na mawazo vinatumika, na sio hizo hormones?

Unacho jaribu kukitetea hapa, ni hakipo kabisaa,
 
Nakataa.

Hebu nitajie mfano wa catalyst za hayo mazingira.
Nitajie mfano wa catalyst zahizo mindset na mentality .
Hapa DSM angalia mashoga wengi wanatoka wapi .

Mfano mtoto anayezaliwa Temeke na mtoto anayezaliwa Kinondoni .

Mtoto wa kiume wa kinondoni ni rahisi kuwa gay kuliko wa Temeke .

Hii ni factor ambayo IPO catalyst na mazingira .

Kuwa na hormone imbalance haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na kuwa shoga .

Mfano

Ukipata upara (Ballads ) ukiwa na umri wa 18-22 hii inaweza kuwa imechangia na hormone imbalance.

Ukiwa na sauti ya kike ndogo hii inaweza kuwa hormones imbalance

Kuwa na Mwonekano mfano makalio Makubwa , kifua na kuota maziwa hii ni hormone imbalance.

Kushindwa kuota ndevu hii pia ni hormones imbalance.

So kuna wanawake wapo flat screen ukimtaza akiwa amevaa suruali hauwezi kujua Kama ni KE au ME

Sauti nzito Kama alivyo zuchu n.k zote ni hormones imbalance.

Kwahiyo kuwa shoga inachagazwa na mindset ,mentality na mazingira .
 
Back
Top Bottom